Pamoja na Udhaifu Wote wa Simba, Watachukua Kombe la Shirikisho

Pamoja na Udhaifu Wote wa Simba, Watachukua Kombe la Shirikisho

[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Naomba mtunze hii kumbukumbu, pamoja na udhaifu tunaouona kwa timu ya Simba, hawa ndio mabingwa wa kombe la shirikisho 2022.

Tunza hii..
Simba hii hii gonjwa iwe Mabingwa wa shirikisho! My foot!!😎
 
Ninachojua Simba keshatolewa na orando pirates robo fainali,tunza hii taarifa.
 
Watoa post huwa siwadharau maana wengne huwa wanaona mbali sanaa nakumbuka kunamtu mmoja humu humu aliwahi toa utabiri wake kumuhusu samata na akaelezea kwa kina. Baadhi ya watu walimshutumu sana ila baada ya kama mwaka ama miaka miwili andiko lake likatimia

Pia kunamaandiko meng yaliwahi andikwa na yakatimia.

Mkuu andiko lako ni jema na jema sana na natamani Mungu ajalie na ikawe hivyo. Mafanikio ya Simba kwangu ni mafanikio ya taifa
 
Back
Top Bottom