Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kuna mchezo unaitwa kuwafaulisha ndio unaochezeshwa siku hizi unaujua unachezwaje?Mfano shule kama Kitunda hali ni mbaya, wanafunzi 249 wamepata division zero. Unajiuliza hii shule ina uongozi kweli? Afisa Elimu nae analipwa mshahara kabisa? Nini kifanyike wakuu?
Hawajafaulishwa hao wamechinjwa
Hawajafaulishwa wamechinjwa
Hao ma-zero ndio profit ya CCM yaan hivyo yaan km hujaelewa hujaelewa tena
Hawajafaulishwa wamechinjwa hawa
Kusomesha mtoto mjini ni kazi mno bora kumtupa mikoani tu. Huenda ataambulia hata div.4 akafanye udereva
Subiri kwanza mkuu emu sema tena umesema?Akitoka hapo na zero
Tabora boys wana one 104Ndugu yangu LIKUD unaonaje hiyo shule ya Kitunda ni kayumba inayomfaa mwanao maana wewe hutaki EM schools.
Wakati mwanao anaambulia miswaki wewe unamfanyia "uwekezaji" ili usitumie hela bure kulipa ada. Akitoka hapo na zero, aje awashinde wale kina St. Francis kwenye ufaulu wa chuo cha ndotoni, maana kwa matokeo hayo chuo kikuu its likely atakisikia kwenye redio. Labda ianzishwe kozi ya uyaya.
Baada ya kufika chuo kikuu nini kinafuata ?Ndugu yangu LIKUD unaonaje hiyo shule ya Kitunda ni kayumba inayomfaa mwanao maana wewe hutaki EM schools.
Wakati mwanao anaambulia miswaki wewe unamfanyia "uwekezaji" ili usitumie hela bure kulipa ada. Akitoka hapo na zero, aje awashinde wale kina St. Francis kwenye ufaulu wa chuo cha ndotoni, maana kwa matokeo hayo chuo kikuu its likely atakisikia kwenye redio. Labda ianzishwe kozi ya uyaya.
Sio poa hapo sasa ni kutafuta bajaj bodaboda na hana leseni anaforce kuingia barabarani aokote 10 10Kusomesha mtoto mjini ni kazi mno bora kumtupa mikoani tu. Huenda ataambulia hata div.4 akafanye udereva
Unaambiwa kulipa ada ni matumizi mabaya ya fedha. Eti "ufanye uwekezaji" huku mwanao analima miswaki na zero zisizohesabika, wewe unamnunulia vipande vya 20×20 eti chuo atakutana nao hao kina St. Francis.Shule za kina LIKUD hizi