Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants

Hiki ndicho tunachofanya, kumjulisha Mama kama tunataka Spika bora, Chenge ndie Spika bora, lakini kama tunataka bora Spika, then tumchague mwingine yeyote!.
Tanzania ya sasa, deserves the best!.
P
Mkuu P, sidhan kma mama ambye ni mwenye kiti akubali kukichukua kinyago ambacho hawezi kuki control, atatafuta mdhaifu atakaye tii amri zake, Chenge hawezi kukubali kuburuzwa pmja na madhaifu yake aliyo nayo ana uthubutu wa kukitambua cheo chake kma muhimili tofauti, tutaletewa Bora Spika lkn si Spika Bora!
 
Mimi na sisitiza ni stupid stupid stupid
 
Mimi na sisitiza ni stupid stupid stupid
Naheshimu mawazo yako, na huu ndio uzuri wa mitandao ya jamii, sisi jf tukiwemo, you might be arguing with a fool without noticing, hivyo comments za namna zinatusaidia sana kubaini the stupidity among us. Thanks.
P
 
Sisi sio ignorant pekee sisi tumerogwa.
 
wabunge hawahawa ninao wajua mimi,akina doctor kasheku ambao hawana tofauti na ma professor wa ukweli, kwa ujumla ibilisi alisahau mkoba wake hapa, mpaka siku atakapokuja kuuchukua ndio nchi itajitambua.
 
Good una hoja za msingi sn
 
Hakuna mwenye ushahidi kuwa Chenge ni fisadi
 
umekiri mwenyewe ananukia ufisadi halafu unasema anafaa,mkuu mbona sikuhizi Kama unayumba Sana ,nn kimekukuta kiongozi!!!
 
Chenge ni mwenzake na Msoga!

Kumkabidhi Chenge bunge ni sawa na kuukabidhi mhimili mwingine mikononi mwa mafisadi wa Richmond na Escrow

Tayari wanamdhibiti mama, leo kigogo yuko kwenye baraza la mawaziri.

Hivi mnatuonaje watanzania.

Huyu mzee alikwishafuka vya kutosha na anastahili kukaa na kufurahia udhaifu wa sheria na katiba yetu.
Vinginevyo alistahili kuwa kwenye viunga vya mahakama kama sio jela.

Bado ile kashfa ya mke wake kutumia na kuendesha gari lisilokuwa na Bima na kisha kuwagonga na kuwaua wasichana aliokuwa akiwatuhumu kuwa mmojawao alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mzee huyu wa vijisenti.

Hii ilikuwa mwaka 2009.

Chenge kwa kutumia nafasi na na madaraka.

Alimuondoa mke wake kutoka eneo la ajali na kuuvaa uhusika wa ajali ile kwamba aliendesha yeye.

Baadae aliyamaliza nje ya mahakama nafamilia ya yule binti marehemu, aliyekuwa mfanyakazi wa New Mwanza Hotel. [emoji116][emoji116][emoji116]
 
umekiri mwenyewe ananukia ufisadi halafu unasema anafaa,mkuu mbona sikuhizi Kama unayumba Sana ,nn kimekukuta kiongozi!!!
Pasco ni mnafiki.
Alimpigia chapuo Tulia alipochukua fomu.

Baada ya Chenge kuchukua fomu,akahamia kwake.

Lengo lake anataka akipita mmoja wapo kati ya hao,afufue uzi wa mmoja wapo kati ya hao ili ajisifie kuwa na yeye nae ni mtabiri.

Ataki kupitwa na jambo.
 
Na bahati mbaya kila mkeka hawamuoni,sijui kwa nini tu!

Ila nadhani walikwisha mscreen na ku-mzoom hivyo wanamuelewa kuliko sisi.
 
Ifike mahali hili Taifa tuwe serious,hivi kweli tunajua mtu ni fisadi na ufisadi wake anaufanya kwa kutumia elimu yake,ndio tumpe uspika ?huko si ndio atauza nchi kabisa

Ebu tuachane na huyu bwana,aendelee kuwakilisha ndugu zake huko na ashauri serikali lakini sio uspika
 

Akiamua kuuza nchi atashtakiwa na nani?kwakua hakuna wa kumshitaki basi tumuache apumzike tu bila nguvu kimamlaka tumuachue tu nguvu ya sheria alonayo
 
umekiri mwenyewe ananukia ufisadi halafu unasema anafaa,mkuu mbona sikuhizi Kama unayumba Sana ,nn kimekukuta kiongozi!!!
P
 
Full of ignorants!! Hivi NCHI hii upinzan sometimes wanatakiwa wawe wapongezaji au waunga juhudi? Kazi kubwa ni kuikosoa serikali pale inapokosea! Hayo mengine watapongezana wahusika wa chama na serikali!!
 
Yani Tena Hafai anasema hakuna wa kumshtaki wakati tunajua no one is above the law???Sasa yeye anaijua Sheria ipi hyo adi asishtakiwe,anajihesabia haki,Ata Kama hakushitakiwa but still Hafai kabisa,maana ishu zote alizohusishwa Ni ufisadi kbs mkumbuke akiwa waziri wa miundombinu alivyohusishwa kupata mgao wake,escrow, Richmond zote mmesahau leo Hii mnamuona the best kisa anajua sheria,sheria which???kma aliijua Sheria vzur angesimama na sisi wananchi wa nyonge kuliko kutuuza mchana kweupe,akae kwa kutulia Yani ata nafsi hamsutiii kwnda kuchukua fomu Yani uchu tu wa madaraka.Akae kwa kutulia uko alipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angekuwa brain asingefanya ufisadi.Amedhalilisha chuo cha Harvard means chuo kilipika mwizi kwa kuitumia vibaya elimu yake kuwaibia watz kodi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…