G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Mkuu P, sidhan kma mama ambye ni mwenye kiti akubali kukichukua kinyago ambacho hawezi kuki control, atatafuta mdhaifu atakaye tii amri zake, Chenge hawezi kukubali kuburuzwa pmja na madhaifu yake aliyo nayo ana uthubutu wa kukitambua cheo chake kma muhimili tofauti, tutaletewa Bora Spika lkn si Spika Bora!Hiki ndicho tunachofanya, kumjulisha Mama kama tunataka Spika bora, Chenge ndie Spika bora, lakini kama tunataka bora Spika, then tumchague mwingine yeyote!.
Tanzania ya sasa, deserves the best!.
P