Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants

Bora ili wazo ulitoa 2014 but all I can say uyu mtu hafai tayari alishapoteza uwaminifu. Ila Kaka kweli hauko serious na maisha yetu ya Tz, serious kabisa unasema pamoja na ufisadi wake but still you see him as the best et anatufaa ukiachana na elimu tunahitaji spika wa bunge ambaye mzalendo anayeipenda nchi yake ki kweli kweli atafanya wajibu wake, it doesn't matter uyu mtu Ana akili kiasi gani but tayari alishapoteza uaminifu,ebu acheni kumtetea this man is not supposed to in that position yan hafai,Ina maana kabadilika Nini uyo? Tena wangewka Sheria kma mtu ulishawahi kujihusisha au kuhusishwa na ufisadi hutakiwi kugombea,mfano kweny kada ya jeshi mtu aliyewahi kufungwa au kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya hataakiwi,so same apply kwa Hawa wagombea hawatakiwi kwenye hzo nafasi...au ndo mnaamini uyu mtu kabadilika ebu acheni hzo bhn...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chenge siyo anafaa ana nafuu kidogo, kwenye CCM nani msafi?
 
Tunahitaji spika mzalendo na mwadilifu mwenye kutazama zaidi maslahi ya nchi na wengi na sio maslahi ya vikundi,so we don't need best brains.
 
Kuna yule mzee msomi Emperor mwnyew,mwny PhD zake,degree zake 9 hahaha anaujua uchumi anaijuia Sheria,anaijua siasa huhuhuh nae anasema bunge haliitaji monitor Wala class representative kajua kunikosha...This is Tz bhn ngj tusubiri atakayepita Ila naomba Mungu atayepita awe na Nia njema na taifa letu kwel kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ukiwa mwanasheria mbobezi, mwenye shahada zoote.
Kitendo cha kuwa fisadi, tayari kinazifuta sifa zako zoote kuweza kuongoza taasisi nyeti kama bunge, ambalo ni moja ya mihimili mitatu muhimu kiuongozi nchini.

Huko ndio maamuzi yote muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi hii na wananchi wake hufanyika .

Kumkabidhi Chenge uspika ni sawa na kulikabidhi rasmi bunge kwa mafisadi.

Tutakuwa tumewarahishia kazi wanayoendelea nayo Msoga team & Kigogo14.

#Pascalmayalla angalia baadhi ya hizi post zako na uwe unatafakari.
Baadhi yake tunazielewa ila zingine kama hii, tunakupunguzia credit!
 
Chenge ni mtu wao.

Na sasa wao ndiyo wanaserikali. Natarajia kuona akirudi,labda tu iwe wamemchoka.

Wametoka naye mbali, anazijua formula vizuri.

Kwa nini wamuache mtu wa kuwasaidia.

Ufisadi wa chenge unautenganishe na Ikulu?
Yeye kuwa sehemu hiyo alikuwa ni njia tu,bado wangeweza mkwepa na maisha ya kaendelea.

Binafsi simhukumu moja kwa moja kuhusu ufisadi. Ile ilikuwa chain, lazima angepitiwa na upepo.
 
Akae kwa kutulia tu Yani hajishtukii kabisa uyu babu.Toeni hoja za kutosha kwann awe spika sio muanze kumlunganisha na uyu Mara yle...

Sent using Jamii Forums mobile app

Ok chenge ni fisadi ulishawah kusikia ameshtakiwa?
Chenge alishawah kusema hakuna mtu wa kumshtaki kisheria hata mmoja why kwa sababu ni the best mwanasheria tuliyenae kwa nchi hii
Lile zee linaijua sheria kuliko k ya mke wake ndg
Anafaa kuwa speaker 100% kwa sababu ana misimamo halisi sio bendera fata upepo
Huyu mama makucha aliyoonesha anapaswa akutane na speaker ambaye hataruhuusu mama acontroll bunge
 
Mbona hamjafungua kesi mahakamani
 
Kumbuka mama ndiye m.kiti, atakubali apitishwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…