Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants

Bora ili wazo ulitoa 2014 but all I can say uyu mtu hafai tayari alishapoteza uwaminifu. Ila Kaka kweli hauko serious na maisha yetu ya Tz, serious kabisa unasema pamoja na ufisadi wake but still you see him as the best et anatufaa ukiachana na elimu tunahitaji spika wa bunge ambaye mzalendo anayeipenda nchi yake ki kweli kweli atafanya wajibu wake, it doesn't matter uyu mtu Ana akili kiasi gani but tayari alishapoteza uaminifu,ebu acheni kumtetea this man is not supposed to in that position yan hafai,Ina maana kabadilika Nini uyo? Tena wangewka Sheria kma mtu ulishawahi kujihusisha au kuhusishwa na ufisadi hutakiwi kugombea,mfano kweny kada ya jeshi mtu aliyewahi kufungwa au kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya hataakiwi,so same apply kwa Hawa wagombea hawatakiwi kwenye hzo nafasi...au ndo mnaamini uyu mtu kabadilika ebu acheni hzo bhn...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chenge siyo anafaa ana nafuu kidogo, kwenye CCM nani msafi?
 
Wanabodi,
Natanguliza kwa kuomba msamaha kutumia maneno makali kwenye uzi huu, kwa hapa nchi yetu ilipofika, labda kwa kutumia maneno makali kama haya, ndio yatasaidia tuweze kuelewana na kutubalidisha to change for the better!.

Baadhi ya wananchi wa Tanzania ni ma ignorants, baadhi ya viongozi wetu ni ignorants, na had baadhi ya wabunge wetu pia ni ma ignorants tuu wakiongozwa na wabunge wa CCM, ambao kwa kutumia wingi wao vibaya, ignorantly kupitisha sheria mbovu ambazo mwisho wa siku zinakuja kuligharimu taifa letu.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, Mhe, Andrew Change, japo kweli ni fisadi, lakini kwenye tasnia ya sheria, he is one of the best legal draftsmen we have kwenye Bunge letu, ila kufuatia wengi wa wabunge wetu ni ma ignorants, wazo alilopendekeza jana, kuhusu drafting ya azimio la bunge, kumepelekea kikao muhimu sana cha bunge kuvunjika kwa ujinga tuu wa wabunge wetu!.

Naomba kukiri wazi, wazo la kuandika thread hii, limekuwa inspired na post ya Mkuu Nguruvi3

Mkuu Nguruvi3,

Naomba kuanza kwa kudeclare my interest, mimi Paskali ni ignorant, na najijua ni ignorant!, ndio maana na comment anything ignorantly kwenye public ya jf ili kila mtu ajue my mind.

Tanzania tuna ignorants, wengi, wengine wanajijua ni ma ignorants ila wanaamua kunyamaza bila kucoment chochote ili hiyo ignorance yao, isijulikane, wengine ni ma ignorants ila hawajajijua kuwa ni ma ignorants, na kwa vile wako kimya, one can not tell if they are ignorants or not na wenyewe hawajijui!, ila wengine ni iginorants, hawajijui kuwa ni ignorants, hivyo wanapofanya vitendo vya ignorance kama jana pale bungeni, wakitoka nje wanapongezana kwa ushujaa wa ignorance ile!, hawa wanahitaji kusaidiwa kujulishwa kuwa they are ignorants!, ili angalau next time watumie brain zao to think kabla ya kusema na kutenda na sio kutumia feelings.

Watanzania tuna problem ya Ignorance!, ambayo hata wabunge wetu wetu ni ma ignorants tuu!, sasa huyu Chenge pamoja na ma ufisadi yake yote, ni mmoja wa watu sensible mule bungeni!, pendekezo lake la phrasing azimio lile was the best!. Chenge sio tuu ni mwanasheria wa Havard, bali kwenye sheria kuna maeneo mengi sana ya specialization inayohitaji kipaji fulani on top of being just a lawyer, moja ya eneo gumu kabisa ni legal drafting!, ndio maana tulipota uhuru, sheria zetu zote tulicopy and paste "para materiale" (neno kwa neno) kutoka sheria za India, simpy because bado hatuna good legal drafting people mule ndani ya bunge letu!, tukubali tukatae, Andrew Chenge is the best kwenye legal drafting, ametoa pendekezo ambalo ndio the best, lakini kwa vile bunge letu limejaa ma ignorants (vilaza), ma ignorants hawa wakakataa pendekezo la Change, simply because Chenge ni fisadi, na pendekezo lake limeungwa mkono na Mwenyekiti wa PAC, Mhe. Zitto Kabwe!.

Kiukweli kilichofanywa jana na wale ma ignorants kule bungeni, ni display ya ignorance at the highest top level!, na kwa vile sisi Watanzania pia ni ma ignorants, tunashangilia tuu ile ignorance!, yaani tunashangilia ujinga!.

Naomba Chenge ahukumiwe kwa ugfisadi wake, which has nothing to do with uwezo wake wa being the best legal drafting!.
Kila siku tunasisitiza humu, mnyonge, mnyongeni!, lakini haki yake mpeni!.

Kuhusu Watanzania na Ignorance, nimeizungumzia hapa.

Escrow: Jee Watanzania ni Ignorants? au Tumelogwa?!.

Nasisitiza nimesema we are ignorants, sijasema we are stupid!.
Kuna tofauti kati ya kuwa ignorant na kuwa stupid.
Paskali
Tunahitaji spika mzalendo na mwadilifu mwenye kutazama zaidi maslahi ya nchi na wengi na sio maslahi ya vikundi,so we don't need best brains.
 
Kuna yule mzee msomi Emperor mwnyew,mwny PhD zake,degree zake 9 hahaha anaujua uchumi anaijuia Sheria,anaijua siasa huhuhuh nae anasema bunge haliitaji monitor Wala class representative kajua kunikosha...This is Tz bhn ngj tusubiri atakayepita Ila naomba Mungu atayepita awe na Nia njema na taifa letu kwel kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,
Natanguliza kwa kuomba msamaha kutumia maneno makali kwenye uzi huu, kwa hapa nchi yetu ilipofika, labda kwa kutumia maneno makali kama haya, ndio yatasaidia tuweze kuelewana na kutubalidisha to change for the better!.

Baadhi ya wananchi wa Tanzania ni ma ignorants, baadhi ya viongozi wetu ni ignorants, na had baadhi ya wabunge wetu pia ni ma ignorants tuu wakiongozwa na wabunge wa CCM, ambao kwa kutumia wingi wao vibaya, ignorantly kupitisha sheria mbovu ambazo mwisho wa siku zinakuja kuligharimu taifa letu.

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni, Mhe, Andrew Change, japo kweli ni fisadi, lakini kwenye tasnia ya sheria, he is one of the best legal draftsmen we have kwenye Bunge letu, ila kufuatia wengi wa wabunge wetu ni ma ignorants, wazo alilopendekeza jana, kuhusu drafting ya azimio la bunge, kumepelekea kikao muhimu sana cha bunge kuvunjika kwa ujinga tuu wa wabunge wetu!.

Naomba kukiri wazi, wazo la kuandika thread hii, limekuwa inspired na post ya Mkuu Nguruvi3

Mkuu Nguruvi3,

Naomba kuanza kwa kudeclare my interest, mimi Paskali ni ignorant, na najijua ni ignorant!, ndio maana na comment anything ignorantly kwenye public ya jf ili kila mtu ajue my mind.

Tanzania tuna ignorants, wengi, wengine wanajijua ni ma ignorants ila wanaamua kunyamaza bila kucoment chochote ili hiyo ignorance yao, isijulikane, wengine ni ma ignorants ila hawajajijua kuwa ni ma ignorants, na kwa vile wako kimya, one can not tell if they are ignorants or not na wenyewe hawajijui!, ila wengine ni iginorants, hawajijui kuwa ni ignorants, hivyo wanapofanya vitendo vya ignorance kama jana pale bungeni, wakitoka nje wanapongezana kwa ushujaa wa ignorance ile!, hawa wanahitaji kusaidiwa kujulishwa kuwa they are ignorants!, ili angalau next time watumie brain zao to think kabla ya kusema na kutenda na sio kutumia feelings.

Watanzania tuna problem ya Ignorance!, ambayo hata wabunge wetu wetu ni ma ignorants tuu!, sasa huyu Chenge pamoja na ma ufisadi yake yote, ni mmoja wa watu sensible mule bungeni!, pendekezo lake la phrasing azimio lile was the best!. Chenge sio tuu ni mwanasheria wa Havard, bali kwenye sheria kuna maeneo mengi sana ya specialization inayohitaji kipaji fulani on top of being just a lawyer, moja ya eneo gumu kabisa ni legal drafting!, ndio maana tulipota uhuru, sheria zetu zote tulicopy and paste "para materiale" (neno kwa neno) kutoka sheria za India, simpy because bado hatuna good legal drafting people mule ndani ya bunge letu!, tukubali tukatae, Andrew Chenge is the best kwenye legal drafting, ametoa pendekezo ambalo ndio the best, lakini kwa vile bunge letu limejaa ma ignorants (vilaza), ma ignorants hawa wakakataa pendekezo la Change, simply because Chenge ni fisadi, na pendekezo lake limeungwa mkono na Mwenyekiti wa PAC, Mhe. Zitto Kabwe!.

Kiukweli kilichofanywa jana na wale ma ignorants kule bungeni, ni display ya ignorance at the highest top level!, na kwa vile sisi Watanzania pia ni ma ignorants, tunashangilia tuu ile ignorance!, yaani tunashangilia ujinga!.

Naomba Chenge ahukumiwe kwa ugfisadi wake, which has nothing to do with uwezo wake wa being the best legal drafting!.
Kila siku tunasisitiza humu, mnyonge, mnyongeni!, lakini haki yake mpeni!.

Kuhusu Watanzania na Ignorance, nimeizungumzia hapa.

Escrow: Jee Watanzania ni Ignorants? au Tumelogwa?!.

Nasisitiza nimesema we are ignorants, sijasema we are stupid!.
Kuna tofauti kati ya kuwa ignorant na kuwa stupid.
Paskali
Hata ukiwa mwanasheria mbobezi, mwenye shahada zoote.
Kitendo cha kuwa fisadi, tayari kinazifuta sifa zako zoote kuweza kuongoza taasisi nyeti kama bunge, ambalo ni moja ya mihimili mitatu muhimu kiuongozi nchini.

Huko ndio maamuzi yote muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi hii na wananchi wake hufanyika .

Kumkabidhi Chenge uspika ni sawa na kulikabidhi rasmi bunge kwa mafisadi.

Tutakuwa tumewarahishia kazi wanayoendelea nayo Msoga team & Kigogo14.

#Pascalmayalla angalia baadhi ya hizi post zako na uwe unatafakari.
Baadhi yake tunazielewa ila zingine kama hii, tunakupunguzia credit!
 
Chenge ni mtu wao.

Na sasa wao ndiyo wanaserikali. Natarajia kuona akirudi,labda tu iwe wamemchoka.

Wametoka naye mbali, anazijua formula vizuri.

Kwa nini wamuache mtu wa kuwasaidia.

Ufisadi wa chenge unautenganishe na Ikulu?
Yeye kuwa sehemu hiyo alikuwa ni njia tu,bado wangeweza mkwepa na maisha ya kaendelea.

Binafsi simhukumu moja kwa moja kuhusu ufisadi. Ile ilikuwa chain, lazima angepitiwa na upepo.
 
Akae kwa kutulia tu Yani hajishtukii kabisa uyu babu.Toeni hoja za kutosha kwann awe spika sio muanze kumlunganisha na uyu Mara yle...

Sent using Jamii Forums mobile app

Ok chenge ni fisadi ulishawah kusikia ameshtakiwa?
Chenge alishawah kusema hakuna mtu wa kumshtaki kisheria hata mmoja why kwa sababu ni the best mwanasheria tuliyenae kwa nchi hii
Lile zee linaijua sheria kuliko k ya mke wake ndg
Anafaa kuwa speaker 100% kwa sababu ana misimamo halisi sio bendera fata upepo
Huyu mama makucha aliyoonesha anapaswa akutane na speaker ambaye hataruhuusu mama acontroll bunge
 
Hata ukiwa mwanasheria mbobezi, mwenye shahada zoote.
Kitendo cha kuwa fisadi, tayari kinazifuta sifa zako zoote kuweza kuongoza taasisi nyeti kama bunge, ambalo ni moja ya mihimili mitatu muhimu kiuongozi nchini.

Huko ndio maamuzi yote muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi hii na wananchi wake hufanyika .

Kumkabidhi Chenge uspika ni sawa na kulikabidhi rasmi bunge kwa mafisadi.

Tutakuwa tumewarahishia kazi wanayoendelea nayo Msoga team & Kigogo14.

#Pascalmayalla angalia baadhi ya hizi post zako na uwe unatafakari.
Baadhi yake tunazielewa ila zingine kama hii, tunakupunguzia credit!
Mbona hamjafungua kesi mahakamani
 
Ok chenge ni fisadi ulishawah kusikia ameshtakiwa?
Chenge alishawah kusema hakuna mtu wa kumshtaki kisheria hata mmoja why kwa sababu ni the best mwanasheria tuliyenae kwa nchi hii
Lile zee linaijua sheria kuliko k ya mke wake ndg
Anafaa kuwa speaker 100% kwa sababu ana misimamo halisi sio bendera fata upepo
Huyu mama makucha aliyoonesha anapaswa akutane na speaker ambaye hataruhuusu mama acontroll bunge
Kumbuka mama ndiye m.kiti, atakubali apitishwe?
 
Back
Top Bottom