Talha
JF-Expert Member
- Nov 11, 2021
- 202
- 224
Bora ili wazo ulitoa 2014 but all I can say uyu mtu hafai tayari alishapoteza uwaminifu. Ila Kaka kweli hauko serious na maisha yetu ya Tz, serious kabisa unasema pamoja na ufisadi wake but still you see him as the best et anatufaa ukiachana na elimu tunahitaji spika wa bunge ambaye mzalendo anayeipenda nchi yake ki kweli kweli atafanya wajibu wake, it doesn't matter uyu mtu Ana akili kiasi gani but tayari alishapoteza uaminifu,ebu acheni kumtetea this man is not supposed to in that position yan hafai,Ina maana kabadilika Nini uyo? Tena wangewka Sheria kma mtu ulishawahi kujihusisha au kuhusishwa na ufisadi hutakiwi kugombea,mfano kweny kada ya jeshi mtu aliyewahi kufungwa au kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya hataakiwi,so same apply kwa Hawa wagombea hawatakiwi kwenye hzo nafasi...au ndo mnaamini uyu mtu kabadilika ebu acheni hzo bhn...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app