Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

Sasa kwa nini teamdiamond mnapambana na Kiba huku mkijua mnamzidi kila kitu???kwa nn msitafte wa level yenu???sasa kipi kinawanyima usingizi juu ya mtu asiyewafikia kwa chochote??why Kiba???basi mna matatzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mondi kajipanga..na leo kumetoka taarifa Amealikwa na NEYO kwenye tour yake Uingereza inayoanza September 13...BIG UP DOGO.
 
Mleta mada hayo mafuvu mezani kwa diamond umeyaona ndio yanayompa utajiri.Then alikiba ana drive BMW X3 je hicho ni kipimo cha umaskini kwako
 
Diamond Ana X 6 na V8

Kibakuli ana X 5 used (27 million)

Diamond alipaswa awe na bifu na Davido siyo huyo muimba kwaya wa Kariakoo.

Mkuu X6 ya D ni used as well, hakununua brand new.
V8 unazungumzia ile ya Chief Kiumbe ama?

All in all salute kwa D kwa kuweza kutoa ajira kwa vijana bongo. Though sidhani kama kweli anatumia mil 100 kila mwezi kwa kulipa mishahara tu kama mhenga mmoja hapo juu alivyotaka kutuaminisha.
 
Mleta mada kaongea facts za ukweli na inaonesha mleta mada ana hoja
sasa nyie baadhi mashabiki kama wewe hoja unajibu kwamba anatumia majini na kuzungumzia nyimbo moja tu kwaba kwanini watu wanaupenda ..hamna facts za msingi.
 
Well said mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah!! Umeidadavua vizuri sana ni kweli diamond level zake so wasanii wa hapa bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu aliongea kibakuli juz kama sio jana hapendi kua public talk kisa mali au hela au kuvaa kistar au ku act star wakati ana njaa
So he keep real but according to you

Kibakuli nae inasemekana yuko poa japo hajionyeshi

Tufanye kazi tupate hela zetu hata umdiss dai au kiba hupati hata mia zaidi ya likes tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…