Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

Alafu sio mbinafsi kabisa yani kupitia yeye ameinua familia yake muangalie esmaplatnumz na queendarlin na romyjons alivyowainua kwa kuwatengenezea hali ya kujitegemea
mm namkubali mondi ana roho nzuri sana anazijua shida na mtu yeyote anakusaidia bila kujali kabila lako rangi yako mtu gani mf mzuri pitia story ya kifesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The issue here is not 'my father is richer than thou' but rather who is a better musician .
 
Ushabiki humtia mtu upofu na uziwi wala hamuwezi kuona WCB wanavyofight kuhakikisha wanakuwa wao tu kwenye music,anyway basi kama Kiba wameshamzidi kwa kila kitu wala waspoteze muda kumdis kwenye ngoma na tweets

Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho ndio kitu ambacho d anatakiwa kukifanya kwa sasa aache kumdiss mtu ambaye sio level yake
 
Diamond Ana X 6 na V8

Kibakuli ana X 5 used (27 million)

Diamond alipaswa awe na bifu na Davido siyo huyo muimba kwaya wa Kariakoo.
X6 yenyewe unayoisema anaitumia third hand aliinunua kwa mshkaji flani hv marehemu alikuwa anafanya kazi Tanzanite One na kuhusu V8 hakuwahi kumiliki alizawadiwa na Chief kiumbe baada ya siku akapokonywa baada ya mke wa chief kuleta zogo acha uwongo dogo
 
Umejitahidi kuandika upupu kumtetea umpendae, ni kwa sababu hutumii akili , aliemuanza mwenzie nani diamond ndio anaroho mbaya pamoja na wapenzi wake ambao sio wapenzi wa mziki bali wanapenda maisha yake ya kashfa na kujionyesha. Wimbo wa alikiba ni mzuri sana ukiuchukia wewe sio mpenzi wa mziki unaongozwa na ushabiki ndio maana hutoelewa. Kweli haina ubishi diamond ana hela kuliko alikiba ila imechangia na mambo mengi, alikuwa na management nzuri na amepata umaarufu dunia ikiwa imepamba moto kwenye utandawazi,mitandao ikambeba na walio muongoza wakamsaidia kumjulisha thamani yake tofauti na alikiba aliendelea kuishi kwa mazoea sababu wakati anavuma dunia ilikuwa ya analogia ndio maana haina ubishi kuwa nyuma kuliko diamond. Diamond ametoa nyimbo nyingi mwaka huu zinabuma ndio maana chuki na wivu vikamuingia na hapo ndio kaburi lake kawaudhi watanzania wengi ndio maana wameonyesha hasira yao kwa kumpa sapoti kiba. Diamond ana follower's 4m karibia Alikiba anao follower's 2m tu. Tulichokiona diamond aliamini akitoa wimbo kumjibu kiba atamkimbiza kwa viewer's bahati mbaya imekula kwake sio kwa viboko vile utafikiri hana followers wengi. Diamond na mashabiki wake kama wewe ndio mnachuki na kiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inafanana na issue ya Ronaldo na messi,messi hapendi sifa ila mwenzie sasa balaa,mtoapost kiba sio maskini kama unavyodhani ila kama umetumwa nisahihi kuongea ulichotumwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh mshkaji, watu 19 alipe milion 100 kwa mwezi, unamaanisha kila mmoja anakula zaidu ya milion 5 kwa mwezi?
alitupa na chai kavu kidogo kusapoti uzi

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
 
Mmoja muuza Ngada na Mwingine nadhani ni Innocent...
 
Sasa hana ambacho nakifahamu kinachofanya aonekane ni mkubwa kwa diamond. They both sing sawa.Alikiba was at the top of the game mwanzoni hilo ni wazi. Mbali na hapo amesainiwa na sony thats what i currently know. Kuna jengine kubwa unifahamishe toka kwa ali kiba!?
 
Sio mbaya kuandika vitu vya kujifariji fariji kama hivi

Ila kuna uwezekano diamond ni maskini tu coz haiwezekani yeye ndo awe mwanzisha bifu na mtu ambaye wewe unaona kamzidi...hivi jivishe viatu vya diamond halafu jiulize ungeanza vipi kumuimba mtu uliyemzidi kila kitu?au wewe ndo uliyezidiwa utajiri so unatafuta kiki kwa kuimba mipasho kwa kwa mwenzio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…