kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Story yako haijabalance kabisaa imekua kama ya Bashite na Gwajima ilibidi tuone hata nymba ya Kiba hata gari yake au ndo hana hata iyo gari wala nyumba na show anafanya za bure
Sent using Jamii Forums mobile app
hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhHivi ushawahi ona TAJIRI anatumwa?kwanza acha kabisa kufananisha STUDIO ZA MAREKANI na vitu vya KIPUUZI..pili wasanii wadogo tu hapa wanazo STUDIO japo za KUUNGA UNGA sasa iweje yeye KIBAKULI akose hata hyo STUDIO YA KUUNGAUNGA?kama HUNA KITU utaonyesha nn?PAMBANENI NA HALI zenu... .msifananishe NYEUPE na NYEUSI ni two different things . ...YEYE hana KITU kwa kuwa wakati wake hakuutumia Vzr ... Amwache SIMBA aungurume......
Sent using Jamii Forums mobile app
Modewjo ana show off za kufa mtu na juzi katoa dongo kwenye mtandao wa instagram kuwa aliekutangulia katangulia na wewe kazana hhhhh... alafu kwa kuupload mavitu yake nae yumo hhh... utajiri ni kama pembe la ngmbe jomon haufichikiHakuna tajiri ambae ana shinda kwenye mutando ya kijamii Na kujisifia kuajiri watu kama mo Dewji mkuu anasifa za kijinga Yule Kijana Wa kihindi
Pesa ilipo haijifichi mkuu. Utakua hupendi magari ya kifahari basis aseti zako zitaonekana hadharani tu kwa msanii WA dunia ya Leo huezi kuwa ficha kiti
Tukubaliane na ukweli alikiba mashabiki wake ndio wanaomtia umaskini hhh wamebakia kumpa sifa za kwenye mtandao na kudownload nyimbo zake free wala hawanunui hhhhh ,wengi ni wahuni tu wapiga makelele kwenye show hawaingii wao kazi yao ni kupiga makelele tu wakati msanij wao kiba anazidi kuwa masikini
Diamond wanamshambulia sababu ya wivu tu wa maendeleo na CHUKI kwa ZARI na dada zetu wanavyomchukia....sababu ya diamond kuwa na zari...
Mwambie ivi kiba kabla hajarudi jamaa alishaanza kumchokonoa na ndio sababu ya kiba kurudi kwenye game
Alafu sasa zari ni kichwa na ile mihela ya ivandon ndio inazidi kuwapa vichas watu hhhhhhDiamond wanamshambulia sababu ya wivu tu wa maendeleo na CHUKI kwa ZARI na dada zetu wanavyomchukia....sababu ya diamond kuwa na zari...
Sent using Jamii Forums mobile app
Fafanua wengine Insta hatupoBAADA YA KIONGOZI WAO WA KAMPENI MANGE KIMAMBI BAADA KUSOMA HUU UZI IMEBIDI AELIMIKE HHHHHH
![]()
![]()
Kwl mkuu....Alafu sasa zari ni kichwa na ile mihela ya ivandon ndio inazidi kuwapa vichas watu hhhhhh
Mange kimambi amewachana team kiba kuwa waache kumpa sifa tu kiba wakati hawanunui kazi zakeFafanua wengine Insta hatupo
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Acha awaelimishe tu no way outMange kimambi amewachana team kiba kuwa waache kumpa sifa tu kiba wakati hawanunui kazi zake
Mange kaelewa somo.BAADA YA KIONGOZI WAO WA KAMPENI MANGE KIMAMBI BAADA KUSOMA HUU UZI IMEBIDI AELIMIKE HHHHHH
![]()
![]()
Chokochoko zipi ambazo hatujawahi kuziskia......kiba bila huruma za wana zengo ni zero....domo ni kama toto la kambo halideki linatia kazi majungu baadaye..!!!Mwambie ivi kiba kabla hajarudi jamaa alishaanza kumchokonoa na ndio sababu ya kiba kurudi kwenye game
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA