richaabra
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 1,472
- 3,511
Ni heri akafuge kuku tu hhhhhhhhh kama mziki sio pesawewe ni mpuuzi sana .
Umaskini na Utajiri hauna uhusiano mkubwa na umahiri wa mwana muziki. analogy yenu ni sawa na kusema H Baba ni mwanamziki bora kuliko Mbaraka wa Mwinshehe.
Sent using Jamii Forums mobile app