Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

mo dewji is the billionare lakini maisha yake binafsi hayapo kwenye media walahata gari yake hatuijui anatumia gari gani lakini
jay z anavyojisifia kama Mungu kila kitu chake kinaonekana kwenye media lakini hata nusu ya mali mo dewji hazifikii
haya twende kwa floyd maywealther anapost picha amebebapesa kwenye torori lakini analess than $400 millions lakini dewji hatujawahi kumuona akifanya hivyo jamani haya mamboni hulka bandugu
Hakuna tajiri ambae ana shinda kwenye mutando ya kijamii Na kujisifia kuajiri watu kama mo Dewji mkuu anasifa za kijinga Yule Kijana Wa kihindi

Pesa ilipo haijifichi mkuu. Utakua hupendi magari ya kifahari basis aseti zako zitaonekana hadharani tu kwa msanii WA dunia ya Leo huezi kuwa ficha kiti
 
Hata billget mwenyewe hapendi showoff lakini kashindwa kuficha pesa zake za benki 90billion$ anazomiliki
 
Mkuu hvi siku hizi watu wakienda kushoot video marekani huenda na magari yao??
f4dcea75fc9ad7aeddd0cbf966291e03.jpg

Hebu fafanua umiliki wa diamond kwenye hii gari
Akikujibu niite.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ni mpuuzi sana .
Umaskini na Utajiri hauna uhusiano mkubwa na umahiri wa mwana muziki. analogy yenu ni sawa na kusema H Baba ni mwanamziki bora kuliko Mbaraka wa Mwinshehe.
Kama nilivyosema mashabiki wa KIBAKULI huwa wana matusi sn tu..imejionyesha dhahiri..mada hapa ni kwann DIAMOND ni tajiri na KIBAKULI ni lofa?sasa utasemaje UMASIKINI hauna uhusiano na UMAHIRI wa mwanamuziki...wakati wa KIBAKULI ushapita...UNAPOTOA KITU KIZURI ndy UNAPOUZA KIMATAIFA....NA NDY UNAPOPIGA PESA...MIFANO IPO WAZI KABISA...KIBAKULI NIZILIPENDWA.. ANALOGY...asilazimishe KUPAMBANA NA SIMBA..MWENZIE NI WAKATI WAKE HUU ...wakati KIBAKULI anatamba mbona SIMBA hakujilinganisha au hakumchallenge? KIBAKULI is no more SHINES now.. MBONA MWENZAKE MR NICE halazimishi? katulia?ANAPAMBANA NA HALI YAKE TU?tatizo mnaingiza UADUI na muziki..mambo yenu binafsi mnayomchukia DIAMOND mnajifichia kwa KIBAKULI....DIAMOND muziki wake ni wa kimataifa. .huyo kibakuli wenu MUZIKI wake mtaishia nae kwenye SHEREHE ZA KAMPENI ZA UCHAGUZI NA KIPAIMARA tu....ndy maana kimataifa hauzi sababu ya kumjaza UPUUZI kwa nyimbo zilizojaa UPUUZI na kuendelea kumfananisha SIMBA na vitu vya KIPUUZI..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story yako haijabalance kabisaa imekua kama ya Bashite na Gwajima ilibidi tuone hata nymba ya Kiba hata gari yake au ndo hana hata iyo gari wala nyumba na show anafanya za bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani msanii mkubwa lazima awe na studio? Hivi wasanii wote wakubwa waarekani wana studio? Mbona mnakariri mambo na mnataka kila mmoja afanye hivyo hivyo? Akina Taylor Swift, Katy Perry na Nick Minaji wanamiliki studio?
Hivi ushawahi ona TAJIRI anatumwa?kwanza acha kabisa kufananisha STUDIO ZA MAREKANI na vitu vya KIPUUZI..pili wasanii wadogo tu hapa wanazo STUDIO japo za KUUNGA UNGA sasa iweje yeye KIBAKULI akose hata hyo STUDIO YA KUUNGAUNGA?kama HUNA KITU utaonyesha nn?PAMBANENI NA HALI zenu... .msifananishe NYEUPE na NYEUSI ni two different things . ...YEYE hana KITU kwa kuwa wakati wake hakuutumia Vzr ... Amwache SIMBA aungurume......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani msanii mkubwa lazima awe na studio? Hivi wasanii wote wakubwa waarekani wana studio? Mbona mnakariri mambo na mnataka kila mmoja afanye hivyo hivyo? Akina Taylor Swift, Katy Perry na Nick Minaji wanamiliki studio?
Alafu hatuongelei studio bora studio....tunaongelea studio yenye hadhi upo....tukiachana na swala la lebel maana lenyewe gumu kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna tajiri ambae ana shinda kwenye mutando ya kijamii Na kujisifia kuajiri watu kama mo Dewji mkuu anasifa za kijinga Yule Kijana Wa kihindi

Pesa ilipo haijifichi mkuu. Utakua hupendi magari ya kifahari basis aseti zako zitaonekana hadharani tu kwa msanii WA dunia ya Leo huezi kuwa ficha kiti
Akikujibu nitag.....wanajifichia kweny kichaka cha hapendi show off.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nilivyosema mashabiki wa KIBAKULI huwa wana matusi sn tu..imejionyesha dhahiri..mada hapa ni kwann DIAMOND ni tajiri na KIBAKULI ni lofa?sasa utasemaje UMASIKINI hauna uhusiano na UMAHIRI wa mwanamuziki...wakati wa KIBAKULI ushapita...UNAPOTOA KITU KIZURI ndy UNAPOUZA KIMATAIFA....NA NDY UNAPOPIGA PESA...MIFANO IPO WAZI KABISA...KIBAKULI NIZILIPENDWA.. ANALOGY...asilazimishe KUPAMBANA NA SIMBA..MWENZIE NI WAKATI WAKE HUU ...wakati KIBAKULI anatamba mbona SIMBA hakujilinganisha au hakumchallenge? KIBAKULI is no more SHINES now.. MBONA MWENZAKE MR NICE halazimishi? katulia?ANAPAMBANA NA HALI YAKE TU?tatizo mnaingiza UADUI na muziki..mambo yenu binafsi mnayomchukia DIAMOND mnajifichia kwa KIBAKULI....DIAMOND muziki wake ni wa kimataifa. .huyo kibakuli wenu MUZIKI wake mtaishia nae kwenye SHEREHE ZA KAMPENI ZA UCHAGUZI NA KIPAIMARA tu....ndy maana kimataifa hauzi sababu ya kumjaza UPUUZI kwa nyimbo zilizojaa UPUUZI na kuendelea kumfananisha SIMBA na vitu vya KIPUUZI..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kiongozi wao wa matusi instagram wanamuita shilole kiuno
 
Back
Top Bottom