Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Modewjo ana show off za kufa mtu na juzi katoa dongo kwenye mtandao wa instagram kuwa aliekutangulia katangulia na wewe kazana hhhhh... alafu kwa kuupload mavitu yake nae yumo hhh... utajiri ni kama pembe la ngmbe jomon haufichiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna chabkuonyesha utaonyesha nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukubaliane na ukweli alikiba mashabiki wake ndio wanaomtia umaskini hhh wamebakia kumpa sifa za kwenye mtandao na kudownload nyimbo zake free wala hawanunui hhhhh ,wengi ni wahuni tu wapiga makelele kwenye show hawaingii wao kazi yao ni kupiga makelele tu wakati msanij wao kiba anazidi kuwa masikini
 
BAADA YA KIONGOZI WAO WA KAMPENI MANGE KIMAMBI BAADA KUSOMA HUU UZI IMEBIDI AELIMIKE HHHHHH

 
BAADA YA KIONGOZI WAO WA KAMPENI MANGE KIMAMBI BAADA KUSOMA HUU UZI IMEBIDI AELIMIKE HHHHHH

Fafanua wengine Insta hatupo

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Fafanua wengine Insta hatupo

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Mange kimambi amewachana team kiba kuwa waache kumpa sifa tu kiba wakati hawanunui kazi zake
 
Mange kimambi amewachana team kiba kuwa waache kumpa sifa tu kiba wakati hawanunui kazi zake
Acha awaelimishe tu no way out

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Weak people discuss issues on other people to boost their welfare.
Meanwhile they remain unable to get enough from their luch

What do you earn from this, comrade?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maisha tumepangiwa na Mwenyezi Mungu.Kila mtu ana ngekewa yake.
Nashukuru kwa hiyo investigation hapo . Naweza kusema Mke wake anaplay a great role.
Pili,si kila kingaacho ni dhahabu..ukidukua kwa undani zaidi utajiri wa huyu bhana Unaweza shika mdomo wa chini sitaki niamini ilo zaidi.
Tatu,unadhani kwa nini yeye atoke tofauti na wasanii wengne ambao ni wakongwe kazini, kama akina Ay,Tid na wengine wengi?Ngekewa,Ubunifu,n.k.
Siyo tu wasanii mbona hata tasnia nyingne zinakuwaga hivyo.
Tusubiri mda utasema kiongozi yasije yakawa kama the late Kanumba..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie ivi kiba kabla hajarudi jamaa alishaanza kumchokonoa na ndio sababu ya kiba kurudi kwenye game

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Chokochoko zipi ambazo hatujawahi kuziskia......kiba bila huruma za wana zengo ni zero....domo ni kama toto la kambo halideki linatia kazi majungu baadaye..!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…