Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

Ulichoulizwa haujajibu, unachojibu hata hujaulizwa!

Ni lazim kila msanii mkubwa amiliki studio? Hujajibu swali bado!
 
gwajima nd anajua kuhus utajir wa mondi,muulize
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakumbuka Mondi alifanya kuomba msamaha kwa Gwajima kipindi flani huwenda kuna jambo zito Gwaji analijua kuhusu huyo kijana.

-Ndumilakuwili-
 
Mi nadhani hapa wanafananisha na MTU ambae shulen alikuwa anafaule vzr na badae akapata kaz serikalin tz na mwingne huyu nae alifaulu vzr vzr lakn yupo kwenye makampuni huko geita cjui wapi wapi halafu in meneja CO wazungu wamemwamini wamemwachia kila kitu asimamie na kweli yupo SMART kwenye kazi take

Sasa hapo mfanano cjui tutauwekaje.........may be mwingne ana security ya kazi mwingne hana
Labda naeza changia HVO tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe una utajiri gani kujilinganisha na Kiba ama kumiliki smartphone ndo unadhan unaweza ku critisize maisha ya mwngne? Pambana na hali yako si ajabu bado unaishi nyumba ya kupanga au unakula ugali wa shikamoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo muda ulotumia kuandka thread ndef hvyo ungekuwa unapambana na hali yako usingekuwa una hangaika kujua nani ana uwezo upi kumzidi nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…