Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

Mwache awaendekeze hao wasichana wa mjini msingi kiuno wanaompaka mafuta kwa mgongo wa chupa,
Atakuja kujikuta amebaki na ile suti yake ya zambarau.
"ZILIPENDWA"
 
Tatizo sio Kiba ila ni kizazi cha mziki aliotokea ukicheki hao wasanii waliobamba zamani wakina Kiba, Abby Skillz, Marlaw, TID, Dully, Mr Nice, Ferouz, Daz Baba walikuwa wakipata hela walikuwa hawa wekezi walikuwa bize na wanawake, show off na starehe kipindi kile bongo fleva ilikuwa inachukuliwa sehemu kama ya kuuza sura, kupata jina na kupata mademu sio biashara kama siku izi kama Kiba ashukuru kapewa nafasi ya pili naona hataorudia makosa ya kipindi kile album ya Cinderela ilimuingizia hela ndefu ila ukimuuliza alichofanyia izo hela hamna akawa tu yupo kwa mama'ake k'ko

G.O.M.D
 
Bakhresa hana show off kama kina mengi na mo dewj lkn jamii nzima inajua ana mkwanja wa maana.....utajiri haujifichi uwe mtu wa show off au la....ungejibu kwa fact apo ningekuona wa maana....hata forbes hawaangalii show off za msanii bali wanaangalia resources zake zinazomuingizia mkwanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ally kiba anapambwa na mshabiki...TU...lakini reality ni choka mbaya kwa SIMBA.....na ukiangali sn wote wanaomponda au wenye chuki na Diamond nyuma yake kuna SABABU...za kumponda......mfano mashabiki wa wema...hamissa...mange kimambi..na hata watu chama fulani....wamejiunga pamoja kum DISS Simba na kumpaka MAFUTA KWA MGONGO WA CHUPA KIBAKULI...siku zote elewa MAENDELEO YAKIZIDI NA CHUKI ZINAZIDI kwa Watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli umeshindwa kubalance stori yako ..umeweka wazi uwekezaji wa domo wa kiba hujaweka hata mali za kiba hujazitaja hivo moja kwa moja wewe ni timu domooo..

Kuhusu kufanikiwa hakuna uhakika wowote domo mafanikio kayapata kupitia mziki wake ..

Pia huwezi kujua njia alizopitia mpaka kuwa hapo alipo...japo kweli kuna baadhi ya mambo anamzidi kiba..
 
Mkuu Pesa sehemu ilipo huezi kufanya biashara ya kwenye kikapu
Nyumba anaoishi Kiba pale tabata sio yake mkuu amepanga. Kwa Mara ya kwanza alikua beach Kule kuduch Na walisema ni nyumba yake wakati alikua amepanga piya

Msanii ni mwenzake Na starehe Na starehe ni nyingi kununua magari. Majumba yote hayo no starehe mkuu Na starehe nyingine no ya mademu
 
Kuna hiyo gari rose royce ni ya diamond????


Spelling za hiyo gari sina uhakika
Si kila anayepiga picha nje ya hoteli ni ya kwake ila tambua pesa haijifichi,
ila huyo kibakuli asipobadilika na kuacha kuuwasikiliza hayo malapulapu ya mjini umri utaongea na itajulikana nani aliwekeza.
 
Usimjaji MTU kwa kumuona au kwa kuonesha Mali zake...Ali kiba yupo tofauti xana na wasanii wengine bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana cha kusho off ndo maana yupo kmy......kama hapendi show off mbona kmipindi anasaini sony aliwaalik watangazaji wa clouds fm kin b12 na millard ayo....kwan bila hao tusingejua kuwa kasainiwa sony....hakuna msanii asiyependa show off, ila kama huna cha kushoo off lazima upige kmy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaka NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK KAKA ALI KIBA NI JIRANI YANGU HAPA KAKA ANA BONGE LA NYUMBA HAPA TABATA AFU ANA MAGARI KIBAO IKIWEMO BMW X5
KAKA ALI KIBA YULE MTU MZIMA HAPENDI KUONGEA SAAANA AFU KAKA HIYO ROLLS ROYCE NI GSM YULEE SIMA WA GSM SIO DIOMOND KAKA
HAYA ACCORDING TO SOUTH AFRICAN MAGAZINE DIAMOND ANA NETWORH $ 5 MILLIONS AND ALI KIBA FOLLOWS ANA NET WORTH YA $4 MILLIONS ANA FUATA PROF J ANA NETWORTH YA $ 3.5 MILLIONS NETWORTH UMENICHEKESHA SAAANA KAKA HIVI KUNA MTU ALIEKUWA ANAJUA KWAMBA MO DEWJI ANA PESA ZILE KABLA YA FORBES KUONGEA KILA MTU ALISHANGAAA UTU UZIMA DAWA KAKA
 

Attachments

  • diamond.png
    45 KB · Views: 68
  • alikiba.png
    32.6 KB · Views: 65
  • profjize.png
    43.5 KB · Views: 60
Nani Kakuambia Diamond Karanga Ni Za Domo?? Huyo Domo Kapewa Kazi Ya Kupromote Soko Tu Kumbuka Hizo Karanga Zilikuwepo Toka Mwaka Juzi Na Zilikuwa Za Rangi Ya Blue
Hata kama si zake let say anapewa asilia kumi ya kila mauzo ya kila karanga unafikiri ni hela ndogo?
 
Hivi muziki Na Mungu ni marafiki mkuu
Ungeniambia muziki Na shetani no marafiki. Ningekununulia. Soda ya kopo mkuu
 
Jiulize urafiki wa Diamond na Kinje ni kwa sababu ya muziki au?! Kinje pia alikuwa rafiki wa Mangwea R.I.P...
 
JAMANI TUWE TUNAONGEA TUKIWA TUMESHA FANYA RESEARCH NDUGU ZANGU MIMI NAISHI JIRANI NA ALI KIBA JAMANI KWANZA AFU PIA JAMAA ANA MANSION MOMBASA NA ANAISHI SAAANA HUKO NA UINGEREZA AMBAPO WATOTO WAKE WAWILI NDIO WANAISHI HUKO AMAYA NA YULE MDOGO JAMANI NIMECHEKA SAAAANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…