ndo nini umeandikaMkuu Pesa sehemu ilipo huezi kufanya biashara ya kwenye kikapu
Nyumba anaoishi Kiba pale tabata sio yake mkuu amepanga. Kwa Mara ya kwanza alikua beach Kule kuduch Na walisema ni nyumba yake wakati alikua amepanga piya
Msanii ni mwenzake Na starehe Na starehe ni nyingi kununua magari. Majumba yote hayo no starehe mkuu Na starehe nyingine no ya mademu
Richest Musicians in TanzaniaHabari zenu wana jf
Naombeni uzii huu usichukuliwe kiushabiki bali uchukuliwe kama haki ya kila mtu kutoa ya moyoni pasipo kuvunja sheria
Kwa mda mrefu msanii Alikiba amekuwa yupo kwenye game la mziki na amejizolea umaarufu mkubwa kwa kazi zake nzuri na kujipatia mashabiki wengi huku wengine wakimuita "KING" wa bongofleva.
Lakini pamoja na umaarufu wake alionao na mashabiki wengi aliojizolea lakini bado Alikiba ni mtu mwenye maisha ya ya chini tu ambayo hayafanani kabisa na umaarufu wake
Tukija upande wa pili wa mwanamuziki Naseeb Abdul ~Diamond Platnumz yeye si wazamani sana kwenye game kama alikiba lakini nayeye ametokea kufanya kazi nzuri na kujizolea mashabiki wengi na umaarufu lakini hajaweza kufikia record ya The king himself Alikiba
Lakini ukija kwenye maswala ya maendeleo ambayo ndio kipimo cha kazi anayofanya msanii utagundua kuwa Diamond platnumz amejizolea utajiri wa kutisha zaidi ya King himself Alikiba.
Kutokana na kazi ya mziki Diamond platnumz ameweza kujipatia utajiri mkubwa ikiwemo kuachia mijengo mingi ya maana hapa town na mengine South Africa. Diamond amefunguka zaidi kwa kuanzisha biashara zake za Chibu perfume na Diamond karanga ambazo zinafanya vizuri nzuri sokoni bila kusahau mikataba yake ya matangazo na makampuni makubwa wakati king Kiba hana biashara ya maana wala maendeleo yoyote kumzidi Naseeb
Diamond platnumz amejenga ofisi yake ya kisasa na kufungua studio yake ya wasafi records ambayo inahusika kutengeneza ngoma zote za wasafi na wasanii wengine kutoka nnje kitu ambacho Alikiba hadi leo hana ofisi wala studio yake binafsi
Diamond ameanzisha Label yake mwenyewe ya Wasafi records ambayo inawasimamia wasanii wakali kama Rich mavoko,Harmonize,Rayvanny,lavalava na mtandao wa wasafi.com ambao anauza nyimbo zake na za wasanii wengine online. Label ya wasafi imekuwa ni chanzo kikubwa cha kupiga mkwanja mrefu kwa Diamond platnumz hadi ilifika kipindi TRA wakamkadiria kodi hadi swala hilo likatinga bungeni
Huku Diamond platnumz ni msanii pekee anaeilipa kodi kubwa serikali kuliko msanii yeyote hapa tz, Akiwapiku wasanii wengi wakongwe na wapya ambao wamekuwa wakimchukia lakini wengi wao hata mlango wa TRA hawaujui nikimaanisha wanaendesha kazi zao kiujanja ujanja lakini Diamond platnumz ameonyesha mfano kwa kuilipa kodi serikali kwa kazi zake zote
Wakati upande wa pili wa Alikiba yeye bado amesainiwa na Sony music na hana label yake mwenyewe wala wasanii anaowasimamia,Na wala sina uhakika kama anailipa kodi serikali kama anavyofanya Platnumz
Diamond platnumz ameweza kutoa ajira kwa
~Mameneja 2
~Madancer 5
~producer 1
~Bodyguard 1
~Photographer 1
~Mtu wa IT 1
~Mbunifu 1
~Muhasibu 1
~wasanii chini ya label yake 5
Jumla 19
Ukipiga hesabu hapo Diamond platnumz anaspend zaidi ya 100 millions kwa ajili ya kulipa mishahara tu kwa crew yake au wafanyakazi wa label yake ya wasafi kwa kila mwezi huku mshahara mkubwa ukienda kwa wasanii walio chini ya lebel yake kulingana na mikataba yao
Ukija upande wa pili wa alikiba yeye ni mwajiriwa tu wa sonny music hamlipi mtu mshahara lakini maisha yake hayafanani kabisa na misifa anayopewa na mashabiki wake Mwisho wa siku utagundua kuwa alikiba anaambulia sifa tu kutoka kwa mashabiki zake mitandaoni kakini Diamond ni real money maker nikimaanisha mashabiki wanaompaka sifa Alikiba mchana ndio hao hao Wanaomtajirisha Diamond platnumz wenyewe
Na wapo watakaokuja kusema hapa kuwa alikiba sio mtu wa show off lakini msema ukweli ni mpenzi wa mungu pesa na maisha aliyokuwa nayo Alikiba hata aizidishe mara 10 hamfikii Diamond platnumz japo watu hao hao wanampaka mafuta mwa mgongo wa chupa alikiba kwa sifa ndio hao hao wanaomtajirisha Platnumz
mziki duniani kote sasa hivi ni pesa ndio mpango mzima lakini najiuliza mziki wa alikiba ni wa kuingiza pesa kutokana na kazi nzuri au ni mziki wa sifa mbona hana maendeleo yoyote?
*~Mtotmtamu
Mkuu, kwenye mafanikio yake umesahau ile biashara yetu ile. Unajua ukibrand vizuri ile biashara kwa kutumia umaarufu wa muziki, lazima utoke hata kama una album mbili tu kwenye lifetime yako ya Muziki . Gwajima anaijua zaidi hiyo biashara, uki-mtag kwenye post atakupa majibu yooote!!!Habari zenu wana jf

Waambie mkuu alikiba ana utajiri wa sifa tu lakini pesa hanaMkubali mkatae, Ali Kiba hana utajiri wa kumzidi Diamond na wala hamfikii ata thumuni. Diamond ana vitega uchumi vingi kama nyumba maeneo mbali mbali ya mji, endorsments na muziki wake mwenyewe ulivyo mkubwa.
Ali kiba anapambanishwa nae tu kwa chuki binafsi maana nae anajitutumua tu na watu wanampa bichwa ila ni wazi hawezi kumpiku diamond kimaisha na hata kimuziki kwa sasa.
Ishu ya utajiri hata hainaga haja ya makelele kwa maana umbea tu wa wabongo ungetosha ku reveal ukweli.Ushahidi wa matukio unatosha kudhihirisha hilo.
Kiba kawekeza wapi mkuu kwasababu kuwekeza ni lazima uweke bidhaa zako ili tuzione tununue lakina kiba ameshindwa sana sana aliwahi kuuza tshrt tuna kofia kitambo now hajawahi kuwekeza buashara ya maana kama platnumz ye ni misifa tuKiukweli umeshindwa kubalance stori yako ..umeweka wazi uwekezaji wa domo wa kiba hujaweka hata mali za kiba hujazitaja hivo moja kwa moja wewe ni timu domooo..
Kuhusu kufanikiwa hakuna uhakika wowote domo mafanikio kayapata kupitia mziki wake ..
Pia huwezi kujua njia alizopitia mpaka kuwa hapo alipo...japo kweli kuna baadhi ya mambo anamzidi kiba..
Hiyo nyumba ya tabata sio yake amepanga mimi namfahamu zaidi yako hata kule kunduchi alipoibiwa alikuwa amepangakaka NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK KAKA ALI KIBA NI JIRANI YANGU HAPA KAKA ANA BONGE LA NYUMBA HAPA TABATA AFU ANA MAGARI KIBAO IKIWEMO BMW X5
KAKA ALI KIBA YULE MTU MZIMA HAPENDI KUONGEA SAAANA AFU KAKA HIYO ROLLS ROYCE NI GSM YULEE SIMA WA GSM SIO DIOMOND KAKA
HAYA ACCORDING TO SOUTH AFRICAN MAGAZINE DIAMOND ANA NETWORH $ 5 MILLIONS AND ALI KIBA FOLLOWS ANA NET WORTH YA $4 MILLIONS ANA FUATA PROF J ANA NETWORTH YA $ 3.5 MILLIONS NETWORTH UMENICHEKESHA SAAANA KAKA HIVI KUNA MTU ALIEKUWA ANAJUA KWAMBA MO DEWJI ANA PESA ZILE KABLA YA FORBES KUONGEA KILA MTU ALISHANGAAA UTU UZIMA DAWA KAKA
hahahhahahhahahhahahhahahhahahhahahhahhhahahhahahahahahhahhahaahahhhhhhaaahahhhHiyo nyumba ya tabata sio yake amepanga mimi namfahamu zaidi yako hata kule kunduchi alipoibiwa alikuwa amepanga
Kuishi uingereza sio tatizo tatizo hapa tunaangalia maendeleo yake kama king yapo vipi...msanii mkubwa kama kiba hatastudio yake mwenyewe kashindwa kununua vifaa? Msanii mkubwa hata ofisi yake hana alafu mnamuita king?JAMANI TUWE TUNAONGEA TUKIWA TUMESHA FANYA RESEARCH NDUGU ZANGU MIMI NAISHI JIRANI NA ALI KIBA JAMANI KWANZA AFU PIA JAMAA ANA MANSION MOMBASA NA ANAISHI SAAANA HUKO NA UINGEREZA AMBAPO WATOTO WAKE WAWILI NDIO WANAISHI HUKO AMAYA NA YULE MDOGO JAMANI NIMECHEKA SAAAANA
nyumba tumeiona tangu inajengwa duuuuuuuuuuuuh kweli dunia ina mambo mtu ana networth ya $4 millions apange nyumba you are not serious kakaHiyo nyumba ya tabata sio yake amepanga mimi namfahamu zaidi yako hata kule kunduchi alipoibiwa alikuwa amepanga
Kabisa mkuu wengi wanamchukia tu lakini ni money makerWabongo wivu na unafiki umewazidi,nitoke nje ya mada,rudi nyuma kumbuka jk alivyochukiwa na utawala wake,makonda alivyochukiwa,lowassa alivyopendwa kinafiki,magufuli anavyonangwa na mengi mengine,unakuja pata picha ni tatizo la wabongo tu chuki tu baas.kiba ni mzuri but alitakiwa akubali mondi ni mzuri zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Richest Musicians in TanzaniaKuishi uingereza sio tatizo tatizo hapa tunaangalia maendeleo yake kama king yapo vipi...msanii mkubwa kama kiba hatastudio yake mwenyewe kashindwa kununua vifaa? Msanii mkubwa hata ofisi yake hana alafu mnamuita king?
Sent using Jamii Forums mobile app
hhhhhhhhhhhhhhhhhhh hizo hela atakuwa anahonga basi hhhhhhhhhhhhhhhnyumba tumeiona tangu inajengwa duuuuuuuuuuuuh kweli dunia ina mambo mtu ana networth ya $4 millions apange nyumba you are not serious kaka
Mkuu ushahidi plizHuyo ni mwanachama wa chama kile cha siri pia mwanachama kijani,lazima awe na pesa,selling your soul to the devil si jambo la kitoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Mange kimamberism imekutoa ufahamu, leta documents zinazo support kuwa siyo vyake!!!Nani Kakuambia Diamond Karanga Ni Za Domo?? Huyo Domo Kapewa Kazi Ya Kupromote Soko Tu Kumbuka Hizo Karanga Zilikuwepo Toka Mwaka Juzi Na Zilikuwa Za Rangi Ya Blue