Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

Wabongo wivu na unafiki umewazidi,nitoke nje ya mada,rudi nyuma kumbuka jk alivyochukiwa na utawala wake,makonda alivyochukiwa,lowassa alivyopendwa kinafiki,magufuli anavyonangwa na mengi mengine,unakuja pata picha ni tatizo la wabongo tu chuki tu baas.kiba ni mzuri but alitakiwa akubali mondi ni mzuri zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Pesa sehemu ilipo huezi kufanya biashara ya kwenye kikapu
Nyumba anaoishi Kiba pale tabata sio yake mkuu amepanga. Kwa Mara ya kwanza alikua beach Kule kuduch Na walisema ni nyumba yake wakati alikua amepanga piya

Msanii ni mwenzake Na starehe Na starehe ni nyingi kununua magari. Majumba yote hayo no starehe mkuu Na starehe nyingine no ya mademu
ndo nini umeandika
 
Habari zenu wana jf

Naombeni uzii huu usichukuliwe kiushabiki bali uchukuliwe kama haki ya kila mtu kutoa ya moyoni pasipo kuvunja sheria

Kwa mda mrefu msanii Alikiba amekuwa yupo kwenye game la mziki na amejizolea umaarufu mkubwa kwa kazi zake nzuri na kujipatia mashabiki wengi huku wengine wakimuita "KING" wa bongofleva.

Lakini pamoja na umaarufu wake alionao na mashabiki wengi aliojizolea lakini bado Alikiba ni mtu mwenye maisha ya ya chini tu ambayo hayafanani kabisa na umaarufu wake

Tukija upande wa pili wa mwanamuziki Naseeb Abdul ~Diamond Platnumz yeye si wazamani sana kwenye game kama alikiba lakini nayeye ametokea kufanya kazi nzuri na kujizolea mashabiki wengi na umaarufu lakini hajaweza kufikia record ya The king himself Alikiba

Lakini ukija kwenye maswala ya maendeleo ambayo ndio kipimo cha kazi anayofanya msanii utagundua kuwa Diamond platnumz amejizolea utajiri wa kutisha zaidi ya King himself Alikiba.

Kutokana na kazi ya mziki Diamond platnumz ameweza kujipatia utajiri mkubwa ikiwemo kuachia mijengo mingi ya maana hapa town na mengine South Africa. Diamond amefunguka zaidi kwa kuanzisha biashara zake za Chibu perfume na Diamond karanga ambazo zinafanya vizuri nzuri sokoni bila kusahau mikataba yake ya matangazo na makampuni makubwa wakati king Kiba hana biashara ya maana wala maendeleo yoyote kumzidi Naseeb
1b6a914765dee10191206877f27f3872.jpg

baf5eac734a10fe7a1c795f1258ae853.jpg

b78bdcea38f9fd2b03a2e54e403d5d2b.jpg

dd124671bdcf3d7cdf0e1120c15cafce.jpg

Diamond platnumz amejenga ofisi yake ya kisasa na kufungua studio yake ya wasafi records ambayo inahusika kutengeneza ngoma zote za wasafi na wasanii wengine kutoka nnje kitu ambacho Alikiba hadi leo hana ofisi wala studio yake binafsi
9b5bab3186e9b0ab5b1ec5a21fbd0ab0.jpg

5aba10ffde33e51db20eafe3807c4f89.jpg

a5eefc9f96dbbd47fefa3f02627c4c3f.jpg

0b191687eb9d1141279775010bc4e08f.jpg

Diamond ameanzisha Label yake mwenyewe ya Wasafi records ambayo inawasimamia wasanii wakali kama Rich mavoko,Harmonize,Rayvanny,lavalava na mtandao wa wasafi.com ambao anauza nyimbo zake na za wasanii wengine online. Label ya wasafi imekuwa ni chanzo kikubwa cha kupiga mkwanja mrefu kwa Diamond platnumz hadi ilifika kipindi TRA wakamkadiria kodi hadi swala hilo likatinga bungeni

Huku Diamond platnumz ni msanii pekee anaeilipa kodi kubwa serikali kuliko msanii yeyote hapa tz, Akiwapiku wasanii wengi wakongwe na wapya ambao wamekuwa wakimchukia lakini wengi wao hata mlango wa TRA hawaujui nikimaanisha wanaendesha kazi zao kiujanja ujanja lakini Diamond platnumz ameonyesha mfano kwa kuilipa kodi serikali kwa kazi zake zote
81226d28e38578c6244eb8ea6449258c.jpg

Wakati upande wa pili wa Alikiba yeye bado amesainiwa na Sony music na hana label yake mwenyewe wala wasanii anaowasimamia,Na wala sina uhakika kama anailipa kodi serikali kama anavyofanya Platnumz

Diamond platnumz ameweza kutoa ajira kwa
~Mameneja 2
~Madancer 5
~producer 1
~Bodyguard 1
~Photographer 1
~Mtu wa IT 1
~Mbunifu 1
~Muhasibu 1
~wasanii chini ya label yake 5
Jumla 19

eab9b5e89f9bc0fee68573deed497799.jpg

Ukipiga hesabu hapo Diamond platnumz anaspend zaidi ya 100 millions kwa ajili ya kulipa mishahara tu kwa crew yake au wafanyakazi wa label yake ya wasafi kwa kila mwezi huku mshahara mkubwa ukienda kwa wasanii walio chini ya lebel yake kulingana na mikataba yao

Ukija upande wa pili wa alikiba yeye ni mwajiriwa tu wa sonny music hamlipi mtu mshahara lakini maisha yake hayafanani kabisa na misifa anayopewa na mashabiki wake Mwisho wa siku utagundua kuwa alikiba anaambulia sifa tu kutoka kwa mashabiki zake mitandaoni kakini Diamond ni real money maker nikimaanisha mashabiki wanaompaka sifa Alikiba mchana ndio hao hao Wanaomtajirisha Diamond platnumz wenyewe

Na wapo watakaokuja kusema hapa kuwa alikiba sio mtu wa show off lakini msema ukweli ni mpenzi wa mungu pesa na maisha aliyokuwa nayo Alikiba hata aizidishe mara 10 hamfikii Diamond platnumz japo watu hao hao wanampaka mafuta mwa mgongo wa chupa alikiba kwa sifa ndio hao hao wanaomtajirisha Platnumz

mziki duniani kote sasa hivi ni pesa ndio mpango mzima lakini najiuliza mziki wa alikiba ni wa kuingiza pesa kutokana na kazi nzuri au ni mziki wa sifa mbona hana maendeleo yoyote?

*~Mtotmtamu
Richest Musicians in Tanzania

Tanzania has very talented musicians, who have dominated the East African music industry for decades. Richest musicians in Tanzania, who include Diamond Platnumz, drive sleek cars, live in posh areas and have invested heavily in real estate, entertainment industry, transport as well as stock market.
Talent pays, and that’s exactly the story about these great musicians. For inspiration and motivation, below we discuss the wealthiest musicians in East Africa.

Diamond Platnumz

Diamond Platnumz is the wealthiest Bongo musician. Starting from nowhere in 2009, the celebrated artiste has accumulated enough to call him wealthy. Today he drives a Ferrari, Jaguar, BMW and any luxury car suitable for Tanzanian roads.

His net worth is in excess of $ 5 million, which puts him at position 2 in East Africa and number 1 in Tanzania.

Diamond never performs at an event before pocketing $ 4000 (Tsh 8 million)

Married to model, Zari Hassan, Diamond makes Tsh 2 million per day from his music and his popular Recording Studio.

Apart from his liquid cash, Diamond owns a house in Dar es Salaam and several apartments in Tanzania.

Ali Kiba

Ali Kiba started his music career in 2000 and is one of the biggest names in Tanzania. The Bongo artiste has released hit after hit, raising his profile in length and breadth. When he enters a club, everybody bows for him, not because he is a king but the fact that he conquers.

Ali Kiba is worth a staggering $ 4 million, and his wealth is rising significantly, thanks to the many shows he performs weekly.

Apart from Music,Ali Kiba has a posh home in Dar es Salaam, he also own acres of land and top of the range cars.

A single performance in a top club earns the musician not less than $3,000

Professor Jay

Joseph Haule, popularly known as Professor Jay, the musician comes third with a total net worth $3.5million.

The legislature started his music career in 1990 and has since dominated the industry. Every singer emulates him and looks up to him for direction-he has nurtured many talents.

Professor Jay has invested heavily in the entertainment industry, real estate and transport business. He owns a posh home in Dar es Salaam, a Range Rover and a host of other cars.

Though currently he is a distant behind Diamond and Ali Kiba, Professor Jay still has a fan base, which comprises of mostly youths above age 30.

Lady Jay Dee

The iron lady in Tanzania’s Bongo industry, Lady Jay Dee has made a mark, rising from rags to riches. Today she is among the wealthiest Bongo musicians.

Jay Dee owns a band by the name Machozi,she owns a Mercedes Benz, Toyota V8 and a several models. Apart from property and cars,she also earns at least $ 1500 from every performance.
 
Sasa si Ungeweka na picha zinazoonesha umaskini wa Ali Kiba?
 
hiyo ni mwaka 2016 nahuu mwaka huu 2017 ali kiba ameingiza pesa ngoja tusubiri tuone NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK OR WRITE WADAU
 
Mkuu, kwenye mafanikio yake umesahau ile biashara yetu ile. Unajua ukibrand vizuri ile biashara kwa kutumia umaarufu wa muziki, lazima utoke hata kama una album mbili tu kwenye lifetime yako ya Muziki . Gwajima anaijua zaidi hiyo biashara, uki-mtag kwenye post atakupa majibu yooote!!!
 
Mkubali mkatae, Ali Kiba hana utajiri wa kumzidi Diamond na wala hamfikii ata thumuni. Diamond ana vitega uchumi vingi kama nyumba maeneo mbali mbali ya mji, endorsments na muziki wake mwenyewe ulivyo mkubwa.

Ali kiba anapambanishwa nae tu kwa chuki binafsi maana nae anajitutumua tu na watu wanampa bichwa ila ni wazi hawezi kumpiku diamond kimaisha na hata kimuziki kwa sasa.

Ishu ya utajiri hata hainaga haja ya makelele kwa maana umbea tu wa wabongo ungetosha ku reveal ukweli.Ushahidi wa matukio unatosha kudhihirisha hilo.
Waambie mkuu alikiba ana utajiri wa sifa tu lakini pesa hana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli umeshindwa kubalance stori yako ..umeweka wazi uwekezaji wa domo wa kiba hujaweka hata mali za kiba hujazitaja hivo moja kwa moja wewe ni timu domooo..

Kuhusu kufanikiwa hakuna uhakika wowote domo mafanikio kayapata kupitia mziki wake ..

Pia huwezi kujua njia alizopitia mpaka kuwa hapo alipo...japo kweli kuna baadhi ya mambo anamzidi kiba..
Kiba kawekeza wapi mkuu kwasababu kuwekeza ni lazima uweke bidhaa zako ili tuzione tununue lakina kiba ameshindwa sana sana aliwahi kuuza tshrt tuna kofia kitambo now hajawahi kuwekeza buashara ya maana kama platnumz ye ni misifa tu
 
kaka NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK KAKA ALI KIBA NI JIRANI YANGU HAPA KAKA ANA BONGE LA NYUMBA HAPA TABATA AFU ANA MAGARI KIBAO IKIWEMO BMW X5
KAKA ALI KIBA YULE MTU MZIMA HAPENDI KUONGEA SAAANA AFU KAKA HIYO ROLLS ROYCE NI GSM YULEE SIMA WA GSM SIO DIOMOND KAKA
HAYA ACCORDING TO SOUTH AFRICAN MAGAZINE DIAMOND ANA NETWORH $ 5 MILLIONS AND ALI KIBA FOLLOWS ANA NET WORTH YA $4 MILLIONS ANA FUATA PROF J ANA NETWORTH YA $ 3.5 MILLIONS NETWORTH UMENICHEKESHA SAAANA KAKA HIVI KUNA MTU ALIEKUWA ANAJUA KWAMBA MO DEWJI ANA PESA ZILE KABLA YA FORBES KUONGEA KILA MTU ALISHANGAAA UTU UZIMA DAWA KAKA
Hiyo nyumba ya tabata sio yake amepanga mimi namfahamu zaidi yako hata kule kunduchi alipoibiwa alikuwa amepanga
 
JAMANI TUWE TUNAONGEA TUKIWA TUMESHA FANYA RESEARCH NDUGU ZANGU MIMI NAISHI JIRANI NA ALI KIBA JAMANI KWANZA AFU PIA JAMAA ANA MANSION MOMBASA NA ANAISHI SAAANA HUKO NA UINGEREZA AMBAPO WATOTO WAKE WAWILI NDIO WANAISHI HUKO AMAYA NA YULE MDOGO JAMANI NIMECHEKA SAAAANA
Kuishi uingereza sio tatizo tatizo hapa tunaangalia maendeleo yake kama king yapo vipi...msanii mkubwa kama kiba hatastudio yake mwenyewe kashindwa kununua vifaa? Msanii mkubwa hata ofisi yake hana alafu mnamuita king?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo nyumba ya tabata sio yake amepanga mimi namfahamu zaidi yako hata kule kunduchi alipoibiwa alikuwa amepanga
nyumba tumeiona tangu inajengwa duuuuuuuuuuuuh kweli dunia ina mambo mtu ana networth ya $4 millions apange nyumba you are not serious kaka
 
Wabongo wivu na unafiki umewazidi,nitoke nje ya mada,rudi nyuma kumbuka jk alivyochukiwa na utawala wake,makonda alivyochukiwa,lowassa alivyopendwa kinafiki,magufuli anavyonangwa na mengi mengine,unakuja pata picha ni tatizo la wabongo tu chuki tu baas.kiba ni mzuri but alitakiwa akubali mondi ni mzuri zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu wengi wanamchukia tu lakini ni money maker
 
Kuishi uingereza sio tatizo tatizo hapa tunaangalia maendeleo yake kama king yapo vipi...msanii mkubwa kama kiba hatastudio yake mwenyewe kashindwa kununua vifaa? Msanii mkubwa hata ofisi yake hana alafu mnamuita king?

Sent using Jamii Forums mobile app
Richest Musicians in Tanzania

Tanzania has very talented musicians, who have dominated the East African music industry for decades. Richest musicians in Tanzania, who include Diamond Platnumz, drive sleek cars, live in posh areas and have invested heavily in real estate, entertainment industry, transport as well as stock market.
Talent pays, and that’s exactly the story about these great musicians. For inspiration and motivation, below we discuss the wealthiest musicians in East Africa.

Diamond Platnumz

Diamond Platnumz is the wealthiest Bongo musician. Starting from nowhere in 2009, the celebrated artiste has accumulated enough to call him wealthy. Today he drives a Ferrari, Jaguar, BMW and any luxury car suitable for Tanzanian roads.

His net worth is in excess of $ 5 million, which puts him at position 2 in East Africa and number 1 in Tanzania.

Diamond never performs at an event before pocketing $ 4000 (Tsh 8 million)

Married to model, Zari Hassan, Diamond makes Tsh 2 million per day from his music and his popular Recording Studio.

Apart from his liquid cash, Diamond owns a house in Dar es Salaam and several apartments in Tanzania.

Ali Kiba

Ali Kiba started his music career in 2000 and is one of the biggest names in Tanzania. The Bongo artiste has released hit after hit, raising his profile in length and breadth. When he enters a club, everybody bows for him, not because he is a king but the fact that he conquers.

Ali Kiba is worth a staggering $ 4 million, and his wealth is rising significantly, thanks to the many shows he performs weekly.

Apart from Music,Ali Kiba has a posh home in Dar es Salaam, he also own acres of land and top of the range cars.

A single performance in a top club earns the musician not less than $3,000

Professor Jay

Joseph Haule, popularly known as Professor Jay, the musician comes third with a total net worth $3.5million.

The legislature started his music career in 1990 and has since dominated the industry. Every singer emulates him and looks up to him for direction-he has nurtured many talents.

Professor Jay has invested heavily in the entertainment industry, real estate and transport business. He owns a posh home in Dar es Salaam, a Range Rover and a host of other cars.

Though currently he is a distant behind Diamond and Ali Kiba, Professor Jay still has a fan base, which comprises of mostly youths above age 30.

Lady Jay Dee

The iron lady in Tanzania’s Bongo industry, Lady Jay Dee has made a mark, rising from rags to riches. Today she is among the wealthiest Bongo musicians.

Jay Dee owns a band by the name Machozi,she owns a Mercedes Benz, Toyota V8 and a several models. Apart from property and cars,she also earns at least $ 1500 from every performance.
 
Ningetamani kelele zote za mashabiki WA king Kiba angalau nao wangetupia hata kagari au nyumba kama alivyosem yule aneishi Jirani ya Kiba. Sijui kakatazwa hata kupiga Picha hilo jumba aliolonalo Kiba
 
Nani Kakuambia Diamond Karanga Ni Za Domo?? Huyo Domo Kapewa Kazi Ya Kupromote Soko Tu Kumbuka Hizo Karanga Zilikuwepo Toka Mwaka Juzi Na Zilikuwa Za Rangi Ya Blue
Mange kimamberism imekutoa ufahamu, leta documents zinazo support kuwa siyo vyake!!!
Mbali na hapo huna tofauti na kimambee kwenye issues za udaku wa celebrities.
 
Back
Top Bottom