madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,421
- 864
Tofauti kulingana na ubora wa harufu huwa ndio natembea nayo au nikijisikia najificha pembeni nanusaVipi harufu zinafanana au zinatofautiana Mkuu?
Hata sielewiThis is too much mkuu, linaweza kuwa hata pepo.
unapenda harufu nzuri au mbaya MkuuTofauti kulingana na ubora wa harufu huwa ndio natembea nayo au nikijisikia najificha pembeni nanusa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tofauti kulingana na ubora wa harufu huwa ndio natembea nayo au nikijisikia najificha pembeni nanusa
Mimi Ugonjwa wangu ni kubusu viwiko na visigino hasa vilivyo athiriwa na mkorogoHaya ndiyo yamenifanya nirudi humu
Haha hata vya kwetu Kwamtogole?Mimi Ugonjwa wangu ni kubusu viwiko na visigino hasa vilivyo athiriwa na mkorogo