Pamoja na utandawazi kuenea lakini bado kuna watu wananunua antivirus, windows, software za kwenye CD madukani

In software engineering professional ethics,one of the principles is that"there is no free lunch",if someone created something that you find has got value,then they need compensation for the same.
Free implies that it has no constraints,but it does not mean or imply the lack of development costs.Umaskini ndio chanzo cha hizo cracks
 
Akili Mkichwa Mkuu, BURE GHALI!
Kuna siku nimeinstall crack ya adobe, kumbe ni robots za warussia wanasaka traffic[emoji3][emoji3]
Siku hiyo ndo nilijua sijui, mafile yote yaliliwa, browser zikawa zinafungua new tabs hata 10 kwa wakati mmoja.
 
Hakuna suala linaloniudhi kama kitozingatia/kusimamia HAKI nasema haki kwa sababu unapotumia kitu kisichokuwa halisi unafanya dhulma.

Binafsi hununua, au kutumia zilizo idhinishwa na wahusika (Free Version). Hata nyimbo au filamu hufanya streaming moja kwa moja.

Ukiona usimami na haki fahamu wewe ni mtu mbaya sana. Hata watumiaji wa WhatsApp, Instagram fake huwa nawaondosha katika maisha yangu sababu kuna jambo limejificha kwa mtu asiyeweza kusimamia HAKI.
 
anti-virus natumiaga ya OS yenyewe(Windows 10) window defender... bt hii ni kwa desktop iliyopo home... for my PC nakomaa na zorin from Linux, maisha burdaaan kabisa... 😁😄🙌
 
In software engineering professional ethics,one of the principles is that"there is no free lunch",if someone created something that you find has got value,then they need compensation for the same.
Free implies that it has no constraints,but it does not mean or imply the lack of development costs.Umaskini ndio chanzo cha hizo cracks
Tumieni angalau hoja defensively kutetea hizo patched software, ama kweli katika hoja ambazo naziona ni very weak ni hii dhana ya kuhisi watu wanaotumia cracks hawana uwezo kifedha.

Huku ni kufikiri kizamani sana tena bila kushirikisha ubongo yaani mtu ambaye ameweza ku afford akanunua pc ya laki 5 ashindwe kununua CD ya antivirus ya 35 yenye 2 users?

Hapo umepwaya mzee kwasababu mimi sipendi kuwa limited kwenye bidhaa niliyoilipia wakati sehemu nyingine najua naweza pata full access ambayo niko huru (tena for free). Haiwezekani uniuzie godoro bei juu halafu uninyime usingizi

Mfano mimi sipendi iphone kulingana na limitation zake kwasababu kuna upande wa pili (android) hizo services ni free na huwekewi limit, sasa anakuja mtu kama wewe anasema sipendi iphone kwasababu sina gharama za kuimudu

Inawezekana kweli ni kawa sipendi iphone kwasababu sina gharama lakini sometimes sio kila anayetoa pesa bila mpangilio au kimahesabu ahesabike kama ni mkwasi, mda mwingine unaweza ukatoa pesa kwasababu hauna ujuzi wa kujua kua hicho unachokinunua kuna mahali kina patikana for free bila kujibana

Ebu icheki hii, nachukua 35k nanunua antivirus yenye 2 users tayari ishakuja na limit kwamba hata ikitokea nimepiga windows mara tatu basi sitaweza ku run hiyo antivirus tena. Wakati ukiwa na crack hauwi limited muda wowote utaojiskia kupiga window au kufanya mabadiliko yoyote haupati hiyo bugdha.

Bora hata ambao wanaosema cracks ni illegal kwasababu haina hati miliki na pia haimfaidishi official developer
 
Rafiki yangu kanunua kaspersky kwa 35k yenye MB300 halafu ina user wawili.

Anaamini kwamba antivirus za mtandaoni si salama jambo ambalo si kweli kwasababu hata hizo za kwenye CD zimetolewa huko huko kwenye mitandao

Sasa kanunua CD kafanya installation halafu sasa kwenye ku activate zile licence zinagoma so mchizi kapigwa

Technolojia inakua kila kukicha na saizi hatuko kwenye soko la CD tena kulinganisha na miaka ya nyuma. Na ndio maana PC latest hata mlango wa CD nowdays haziwekwi. Kama antivirus unataka kununua unaweza uka request licence kwenye official website ya antivirus husika tena kwa bei nzuri (japo mimi hii pia nayo sikubaliani nayo)

Nishajiwekea kiapo kwamba katika huu ulimwengu wa tech wenye manguli wakucheza na cracking software sitokuja kulipia software yeyote

Au hadi humu namo kuna watu wenye spirit hiyo ya kuamini bidhaa za kwenye maduka za mfumo wa CD ni bora zaidi na kuzidharau hizi za mtandaoni?
Uko sahihi mkuu,huwa bado hata mimi napataga mshangao unapokwenda kwenye mikutano ya kiroho,unakuta mchungaji anakwambia wakati wa kutoka kuna CD zangu hapo nje,bado sijaelewa watu tuko zama gani...
 
Rafiki yangu kanunua kaspersky kwa 35k yenye MB300 halafu ina user wawili.

Anaamini kwamba antivirus za mtandaoni si salama jambo ambalo si kweli kwasababu hata hizo za kwenye CD zimetolewa huko huko kwenye mitandao

Sasa kanunua CD kafanya installation halafu sasa kwenye ku activate zile licence zinagoma so mchizi kapigwa

Technolojia inakua kila kukicha na saizi hatuko kwenye soko la CD tena kulinganisha na miaka ya nyuma. Na ndio maana PC latest hata mlango wa CD nowdays haziwekwi. Kama antivirus unataka kununua unaweza uka request licence kwenye official website ya antivirus husika tena kwa bei nzuri (japo mimi hii pia nayo sikubaliani nayo)

Nishajiwekea kiapo kwamba katika huu ulimwengu wa tech wenye manguli wakucheza na cracking software sitokuja kulipia software yeyote

Au hadi humu namo kuna watu wenye spirit hiyo ya kuamini bidhaa za kwenye maduka za mfumo wa CD ni bora zaidi na kuzidharau hizi za mtandaoni?
Tunazidiana maujanja rafiki ndio maana tunapigwa. Nipe ujanja wa kuweza kupata serial key za program fulani bilaa kuilipia maana hata kulipiaa online tu sijui hata kama hela ningekuwa nayo!!??
 
Hakuna suala linaloniudhi kama kitozingatia/kusimamia HAKI nasema haki kwa sababu unapotumia kitu kisichokuwa halisi unafanya dhulma.

Binafsi hununua, au kutumia zilizo idhinishwa na wahusika (Free Version). Hata nyimbo au filamu hufanya streaming moja kwa moja.

Ukiona usimami na haki fahamu wewe ni mtu mbaya sana. Hata watumiaji wa WhatsApp, Instagram fake huwa nawaondosha katika maisha yangu sababu kuna jambo limejificha kwa mtu asiyeweza kusimamia HAKI.
Haki ya kweli ipo kaburini, hata humu jf kuna payments kwanini usifanye hivyo ukata hata u platnam member kama kweli hutaki vya bure?

Mnajifanya hamtaki vya bure wakati kuna watu wanameza ARV ambazo zinatolewa bure

Kama kweli unazingatia itifaki utagundua hata ku stream hizo ngoma online nako ni kudidimiza haki ya msaniivile vile kwasababu ungeweza kuzinunua official

Wewe unafurahia ku stream nyimbo online bure ukihisi kufanya hivyo ni kusuport kazi ya msanii wakati mimi nimenunua album ya dizasta kwa pesa taslimu (nauhakika katika career yako hujawahi kununua album ya mwanamziki)
 
Sasa wataalam tusaidieni.. mnabishana tu basi tuambieni kipi bora cracks au kununua?
We mwenewe unaweza ukachenjua

Utoe 35k ulipie software ambayo inakuja na protocols za mganga (masharti) ambayo nayo masharti yanakuja na vikwazo kama vile vya marekani alivyomuwekea mchina hauko huru kwenye pesa yako wakati nje na hapo kuna jamaa napata full access anapopita yeye wa bure, wewe wa hela hupiti

Uchaguzi ni wako, ununue godoro kisha unyimwe usingizi au upate godoro bure na usingizi kwa lifetime

Yaani nia sawa na mtu anayelipia account ya netflix kwa dola kadhaa ili atizame movies halafu na kibopa ambaye anapakua hizo hizo movies bure utorrent. Uchaguzi ni wako
 
Umasikini tu
Aliyekuambia matumizi rough ya pesa ni icon ya utajiri nani?

Ushawahi yaona magari ya Mo ya viwandani kwake yalivyo? Unaweza fananisha na magari ya baharesa?

Bila shaka hauwezi ni kwasababu magari ya Mo yanaonekana kuchoka na pia ni kama yana fanana na powertiller hayalingani na sifa ya jamaa

Sasa jiulize inamaana Mo ni masikini mpaka anazidiwa na baharesa kwenye ubora wa magari ambayo yanamsaidia kwenye uzalishaji?

Matumizi rough ya pesa kwa namna nyingune yanaweza kuonesha ni ushamba wa kitu fulani, au ukosefu wa mipango au maarifa juu ya kitu hicho

Kuna mtu alikua anajinadi kua yeye ni mkwasi kanunua kitu chenye thamani ya 1M nakuwasshusha wengine kwamba wanauwezo mdogo kulingana na kipato chao. nikamwambia umepigwa maana hiyo product bei yake halisi haizidi laki 5 akabisha nikampeleka mpaka wanakouza lakini kwasababu hakutaka kuonekana mshamba kua kaingizwa chaka ikabidi atumie kauli ya kusema "ni umasikini tu ndio unaokufanya uhangaike kutafuta vyenye bei rahisi"

So mwanzo jamaa alijua ni ufahari kununua vitu vyenye gharama bila kuangalia nje na hapo upatikanaji wa hicho kitu kinapatikana kwa bei hiyo
 
anti-virus natumiaga ya OS yenyewe(Windows 10) window defender... bt hii ni kwa desktop iliyopo home... for my PC nakomaa na zorin from Linux, maisha burdaaan kabisa... 😁😄🙌
Hata mimi natumia windows defender na toka nimenunua PC sijapata tatizo kabisa huu mwaka wa 3.
 
Aliyekuambia matumizi rough ya pesa ni icon ya utajiri nani?

Ushawahi yaona magari ya Mo ya viwandani kwake yalivyo? Unaweza fananisha na magari ya baharesa?

Bila shaka hauwezi ni kwasababu magari ya Mo yanaonekana kuchoka na pia ni kama yana fanana na powertiller hayalingani na sifa ya jamaa

Sasa jiulize inamaana Mo ni masikini mpaka anazidiwa na baharesa kwenye ubora wa magari ambayo yanamsaidia kwenye uzalishaji?

Matumizi rough ya pesa kwa namna nyingune yanaweza kuonesha ni ushamba wa kitu fulani, au ukosefu wa mipango au maarifa juu ya kitu hicho

Kuna mtu alikua anajinadi kua yeye ni mkwasi kanunua kitu chenye thamani ya 1M nakuwasshusha wengine kwamba wanauwezo mdogo kulingana na kipato chao. nikamwambia umepigwa maana hiyo product bei yake halisi haizidi laki 5 akabisha nikampeleka mpaka wanakouza lakini kwasababu hakutaka kuonekana mshamba kua kaingizwa chaka ikabidi atumie kauli ya kusema "ni umasikini tu ndio unaokufanya uhangaike kutafuta vyenye bei rahisi"

So mwanzo jamaa alijua ni ufahari kununua vitu vyenye gharama bila kuangalia nje na hapo upatikanaji wa hicho kitu kinapatikana kwa bei hiyo
kulingana na mdau SuperImpressor hapo juu hiyo PC yako ni unatumia kuchezea maGame ya Zuma deluxe tu hunaga ishu za msingi humo ndani
 
Hakuna suala linaloniudhi kama kitozingatia/kusimamia HAKI nasema haki kwa sababu unapotumia kitu kisichokuwa halisi unafanya dhulma.

Binafsi hununua, au kutumia zilizo idhinishwa na wahusika (Free Version). Hata nyimbo au filamu hufanya streaming moja kwa moja.

Ukiona usimami na haki fahamu wewe ni mtu mbaya sana. Hata watumiaji wa WhatsApp, Instagram fake huwa nawaondosha katika maisha yangu sababu kuna jambo limejificha kwa mtu asiyeweza kusimamia HAKI.
Ngoja ufilisike tupime level yako ya usimamizi wa haki.
 
Tumieni angalau hoja defensively kutetea hizo patched software, ama kweli katika hoja ambazo naziona ni very weak ni hii dhana ya kuhisi watu wanaotumia cracks hawana uwezo kifedha.

Huku ni kufikiri kizamani sana tena bila kushirikisha ubongo yaani mtu ambaye ameweza ku afford akanunua pc ya laki 5 ashindwe kununua CD ya antivirus ya 35 yenye 2 users?

Hapo umepwaya mzee kwasababu mimi sipendi kuwa limited kwenye bidhaa niliyoilipia wakati sehemu nyingine najua naweza pata full access ambayo niko huru (tena for free). Haiwezekani uniuzie godoro bei juu halafu uninyime usingizi

Mfano mimi sipendi iphone kulingana na limitation zake kwasababu kuna upande wa pili (android) hizo services ni free na huwekewi limit, sasa anakuja mtu kama wewe anasema sipendi iphone kwasababu sina gharama za kuimudu

Inawezekana kweli ni kawa sipendi iphone kwasababu sina gharama lakini sometimes sio kila anayetoa pesa bila mpangilio au kimahesabu ahesabike kama ni mkwasi, mda mwingine unaweza ukatoa pesa kwasababu hauna ujuzi wa kujua kua hicho unachokinunua kuna mahali kina patikana for free bila kujibana

Ebu icheki hii, nachukua 35k nanunua antivirus yenye 2 users tayari ishakuja na limit kwamba hata ikitokea nimepiga windows mara tatu basi sitaweza ku run hiyo antivirus tena. Wakati ukiwa na crack hauwi limited muda wowote utaojiskia kupiga window au kufanya mabadiliko yoyote haupati hiyo bugdha.

Bora hata ambao wanaosema cracks ni illegal kwasababu haina hati miliki na pia haimfaidishi official developer

There is software piracy and there is open source software,there is a huge difference between the two, open source does not mean it fell from heaven like manna,a developer spent resources to develop it and in most cases such developers rely on donations, open source implies libre not minus development costs and there is a licence that explains all that you can do with that software,go read that documentation.If you can afford a pc worth 35k,why not afford a software worth 3k?,unaweza kununua Gari ilhali petrol you siphon from other people's cars?mawazo Duni Na ya ukatili hayo.
Anything that has value to you,the owner of that copyright deserves a compensation,ask any copyright owner how it feels to have their works pirated Eg authors, musicians, developers etc
Also read about the 7 cadindate ethical principles of software engineering usilete hoja bila tetesi.
 
Unaposema hutoweza kununua softwares kwa developers unakua unakosea sana. Developers wanakutegemea wewe ili software iendelee kuwepo na ubunifu zaid. Sasa mnapotumia cracks mnawafelisha sana. Mfano kampuni ya Sony walikuwa wanatengeneza software ya Vegas Pro, Baada ya kuona faida ni ndogo, Cracks zinekuwa nyingi na developers kuwalipa ni ishu wakaona bora waiuze software brand yote kwa kampuni nyengine, Sasa inaitwa Magix Pro.
 
Ukielewa utendaji wa masuala ya kidigitali, utafahamu namaanisha nini. Sipo hapa kuonesha idadi ya albamu nilizonunua.

Back
Top Bottom