Pamoja na utandawazi kuenea lakini bado kuna watu wananunua antivirus, windows, software za kwenye CD madukani

Pamoja na utandawazi kuenea lakini bado kuna watu wananunua antivirus, windows, software za kwenye CD madukani

Kupigwa inategemea na yeye ana uzoefu gani kwenye ununuzi wa software, huenda CD aliyonunua Activation Keys zilikuwa mwisho wake wa kutumika ni 2020.

Last time kutumia software ya kwenye CD ilikuwa ni last year, nili-install Kaspersky Antivirus ambayo ilikuwa Activation Keys zake mwisho wa kutumika ni 2020.

Kwa software kama za Antivirus ni bora kutumia official packages kuliko cracks. Pia ununuzi wa CD ni salama zaidi kuliko kununua mtandaoni kwa wale wasio wazoefu na manunuzi na malipo ya mtandaoni, hii ni kwa usalama wa fedha zao pale wanapotumia details zao za bank.
Sikuhizi tunatumia mpes mastercards au airtel master cards tuuuu
 
Kutumia pirated software sio salama kabisa ni bora ukanunua au ukatafuta alternative kama open source software
 
Kaspersky ikiwa trial, unapewa siku 30


resetter ina reset Kaspersky ianze kuhesabu upya

so kila mwezi una reset
mkuu hii KRT ina feature ya kukupa access ya ku activate kabisa kutumia siku 180 au 360 bila kutumia trial resetter
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Unachanganya kati ya umasikini na utandawazi, nyie bongo hamnunui original software ni kwa sababu masikini torrent zinawaokoa.



USA simu yako ama laptop maafisa wakiikutwa na torrent app mzee Miez 6 inakuhusu Jela, No bail.
Kuna mmarekani alikuja home akamkuta jamaa anaistall Ms office ya 2007 kwny laptop nayeye aliazima kwa mshkaji mwingine

Yule Mzungu akashangaa sana kusikia tunashare software kienyeji tu na hakuna mamlaka ya kutukataza
 
kulingana na mdau SuperImpressor hapo juu hiyo PC yako ni unatumia kuchezea maGame ya Zuma deluxe tu hunaga ishu za msingi humo ndani
huo ni mtazamo wake na siwezi kumzuia yeye kuona hivyo, kuna wenzake wameniita maskini kutokana na kuzipa cracks kipaumbele wote hao ni perspective zao ambao wao wanaamini hivyo siwezi lazimisha waone navyoona mimi
 
Huu ni ujinga. 2021 unalipia cheap-leapy software? Umepoteza TZS 150,000 kijinga kabisa
Hivi kulipa dollar 64 ukaitumia software kuingiza zaidi ya dollar 4000 kuna shida gani. Mimi kulipia kitendea kazi wkangu ni sawa. If I can afford it, basi nitanunua nishapata shida na cracked softwares. Kama kuna mbadara wake wa open source ntatumia mbadara mfano kwa sound natumia audacity.
Siyo kwamba situmii pirated softwares, natumia ila likija suala la kazi na ikiwa ninaweza kuafford nitanunua tu. Na hapa niko mbioni kununua lifetime lisence ya Trados.
 
Back
Top Bottom