Mkuu mimi sijaelewa hapo. Yaani kwa mfano mimi ni mpenzi wa Fl Studio natoa hela yangu mfukonu nalipia leseni nitumie ili nifanikishie kazi zangu inakuaje matumizi mabaya ya fedha?
Au tuseme kuna kiatu nimekipenda basi nikiibe ili nisave pesa?!
Sio kwamba situmii Cracks, natumia sana. Vile tu mambo hayajakaa sawa ila naamini ntaachana nazo tu. Kama umepitia programming hata kwa ufupi utagundua hawa jamaa hawastahili tunachowatendea.
Hatukatai tunaishi kwenye ulimwengu wa dhambi ila inapotokea umepata nafasi ya kumfurahisha Mungu itumie vizuri.
Anyway jaribu kupitia kwa hawa ndugu zetu wa quora wamediscuss vizuri tu madhara ya cracked software.
Answer (1 of 13): The disadvantages of having a pirated software * Crashes – Having a pirated software can result to a computer crash. ... * Updates – If you are worried about the security of your computer, having a pirated OS could give you a difficult time updating. ... * Bugs – Some pirate...
www.quora.com