Kuna siku nimeinstall crack ya adobe, kumbe ni robots za warussia wanasaka traffic[emoji3][emoji3]
Siku hiyo ndo nilijua sijui, mafile yote yaliliwa, browser zikawa zinafungua new tabs hata 10 kwa wakati mmoja.
Tumieni angalau hoja defensively kutetea hizo patched software, ama kweli katika hoja ambazo naziona ni very weak ni hii dhana ya kuhisi watu wanaotumia cracks hawana uwezo kifedha.In software engineering professional ethics,one of the principles is that"there is no free lunch",if someone created something that you find has got value,then they need compensation for the same.
Free implies that it has no constraints,but it does not mean or imply the lack of development costs.Umaskini ndio chanzo cha hizo cracks
Uko sahihi mkuu,huwa bado hata mimi napataga mshangao unapokwenda kwenye mikutano ya kiroho,unakuta mchungaji anakwambia wakati wa kutoka kuna CD zangu hapo nje,bado sijaelewa watu tuko zama gani...Rafiki yangu kanunua kaspersky kwa 35k yenye MB300 halafu ina user wawili.
Anaamini kwamba antivirus za mtandaoni si salama jambo ambalo si kweli kwasababu hata hizo za kwenye CD zimetolewa huko huko kwenye mitandao
Sasa kanunua CD kafanya installation halafu sasa kwenye ku activate zile licence zinagoma so mchizi kapigwa
Technolojia inakua kila kukicha na saizi hatuko kwenye soko la CD tena kulinganisha na miaka ya nyuma. Na ndio maana PC latest hata mlango wa CD nowdays haziwekwi. Kama antivirus unataka kununua unaweza uka request licence kwenye official website ya antivirus husika tena kwa bei nzuri (japo mimi hii pia nayo sikubaliani nayo)
Nishajiwekea kiapo kwamba katika huu ulimwengu wa tech wenye manguli wakucheza na cracking software sitokuja kulipia software yeyote
Au hadi humu namo kuna watu wenye spirit hiyo ya kuamini bidhaa za kwenye maduka za mfumo wa CD ni bora zaidi na kuzidharau hizi za mtandaoni?
Tunazidiana maujanja rafiki ndio maana tunapigwa. Nipe ujanja wa kuweza kupata serial key za program fulani bilaa kuilipia maana hata kulipiaa online tu sijui hata kama hela ningekuwa nayo!!??Rafiki yangu kanunua kaspersky kwa 35k yenye MB300 halafu ina user wawili.
Anaamini kwamba antivirus za mtandaoni si salama jambo ambalo si kweli kwasababu hata hizo za kwenye CD zimetolewa huko huko kwenye mitandao
Sasa kanunua CD kafanya installation halafu sasa kwenye ku activate zile licence zinagoma so mchizi kapigwa
Technolojia inakua kila kukicha na saizi hatuko kwenye soko la CD tena kulinganisha na miaka ya nyuma. Na ndio maana PC latest hata mlango wa CD nowdays haziwekwi. Kama antivirus unataka kununua unaweza uka request licence kwenye official website ya antivirus husika tena kwa bei nzuri (japo mimi hii pia nayo sikubaliani nayo)
Nishajiwekea kiapo kwamba katika huu ulimwengu wa tech wenye manguli wakucheza na cracking software sitokuja kulipia software yeyote
Au hadi humu namo kuna watu wenye spirit hiyo ya kuamini bidhaa za kwenye maduka za mfumo wa CD ni bora zaidi na kuzidharau hizi za mtandaoni?
Haki ya kweli ipo kaburini, hata humu jf kuna payments kwanini usifanye hivyo ukata hata u platnam member kama kweli hutaki vya bure?Hakuna suala linaloniudhi kama kitozingatia/kusimamia HAKI nasema haki kwa sababu unapotumia kitu kisichokuwa halisi unafanya dhulma.
Binafsi hununua, au kutumia zilizo idhinishwa na wahusika (Free Version). Hata nyimbo au filamu hufanya streaming moja kwa moja.
Ukiona usimami na haki fahamu wewe ni mtu mbaya sana. Hata watumiaji wa WhatsApp, Instagram fake huwa nawaondosha katika maisha yangu sababu kuna jambo limejificha kwa mtu asiyeweza kusimamia HAKI.
We mwenewe unaweza ukachenjuaSasa wataalam tusaidieni.. mnabishana tu basi tuambieni kipi bora cracks au kununua?
Aliyekuambia matumizi rough ya pesa ni icon ya utajiri nani?Umasikini tu
ndiyo nini hiitorrent
hawana device wafanyajeKuna watu bado wananunua nyimbo 500 za audio na 1000 za video
Hata mimi natumia windows defender na toka nimenunua PC sijapata tatizo kabisa huu mwaka wa 3.anti-virus natumiaga ya OS yenyewe(Windows 10) window defender... bt hii ni kwa desktop iliyopo home... for my PC nakomaa na zorin from Linux, maisha burdaaan kabisa... πππ
kulingana na mdau SuperImpressor hapo juu hiyo PC yako ni unatumia kuchezea maGame ya Zuma deluxe tu hunaga ishu za msingi humo ndaniAliyekuambia matumizi rough ya pesa ni icon ya utajiri nani?
Ushawahi yaona magari ya Mo ya viwandani kwake yalivyo? Unaweza fananisha na magari ya baharesa?
Bila shaka hauwezi ni kwasababu magari ya Mo yanaonekana kuchoka na pia ni kama yana fanana na powertiller hayalingani na sifa ya jamaa
Sasa jiulize inamaana Mo ni masikini mpaka anazidiwa na baharesa kwenye ubora wa magari ambayo yanamsaidia kwenye uzalishaji?
Matumizi rough ya pesa kwa namna nyingune yanaweza kuonesha ni ushamba wa kitu fulani, au ukosefu wa mipango au maarifa juu ya kitu hicho
Kuna mtu alikua anajinadi kua yeye ni mkwasi kanunua kitu chenye thamani ya 1M nakuwasshusha wengine kwamba wanauwezo mdogo kulingana na kipato chao. nikamwambia umepigwa maana hiyo product bei yake halisi haizidi laki 5 akabisha nikampeleka mpaka wanakouza lakini kwasababu hakutaka kuonekana mshamba kua kaingizwa chaka ikabidi atumie kauli ya kusema "ni umasikini tu ndio unaokufanya uhangaike kutafuta vyenye bei rahisi"
So mwanzo jamaa alijua ni ufahari kununua vitu vyenye gharama bila kuangalia nje na hapo upatikanaji wa hicho kitu kinapatikana kwa bei hiyo
Ngoja ufilisike tupime level yako ya usimamizi wa haki.Hakuna suala linaloniudhi kama kitozingatia/kusimamia HAKI nasema haki kwa sababu unapotumia kitu kisichokuwa halisi unafanya dhulma.
Binafsi hununua, au kutumia zilizo idhinishwa na wahusika (Free Version). Hata nyimbo au filamu hufanya streaming moja kwa moja.
Ukiona usimami na haki fahamu wewe ni mtu mbaya sana. Hata watumiaji wa WhatsApp, Instagram fake huwa nawaondosha katika maisha yangu sababu kuna jambo limejificha kwa mtu asiyeweza kusimamia HAKI.
Tumieni angalau hoja defensively kutetea hizo patched software, ama kweli katika hoja ambazo naziona ni very weak ni hii dhana ya kuhisi watu wanaotumia cracks hawana uwezo kifedha.
Huku ni kufikiri kizamani sana tena bila kushirikisha ubongo yaani mtu ambaye ameweza ku afford akanunua pc ya laki 5 ashindwe kununua CD ya antivirus ya 35 yenye 2 users?
Hapo umepwaya mzee kwasababu mimi sipendi kuwa limited kwenye bidhaa niliyoilipia wakati sehemu nyingine najua naweza pata full access ambayo niko huru (tena for free). Haiwezekani uniuzie godoro bei juu halafu uninyime usingizi
Mfano mimi sipendi iphone kulingana na limitation zake kwasababu kuna upande wa pili (android) hizo services ni free na huwekewi limit, sasa anakuja mtu kama wewe anasema sipendi iphone kwasababu sina gharama za kuimudu
Inawezekana kweli ni kawa sipendi iphone kwasababu sina gharama lakini sometimes sio kila anayetoa pesa bila mpangilio au kimahesabu ahesabike kama ni mkwasi, mda mwingine unaweza ukatoa pesa kwasababu hauna ujuzi wa kujua kua hicho unachokinunua kuna mahali kina patikana for free bila kujibana
Ebu icheki hii, nachukua 35k nanunua antivirus yenye 2 users tayari ishakuja na limit kwamba hata ikitokea nimepiga windows mara tatu basi sitaweza ku run hiyo antivirus tena. Wakati ukiwa na crack hauwi limited muda wowote utaojiskia kupiga window au kufanya mabadiliko yoyote haupati hiyo bugdha.
Bora hata ambao wanaosema cracks ni illegal kwasababu haina hati miliki na pia haimfaidishi official developer
Haki ya kweli ipo kaburini, hata humu jf kuna payments kwanini usifanye hivyo ukata hata u platnam member kama kweli hutaki vya bure?
Mnajifanya hamtaki vya bure wakati kuna watu wanameza ARV ambazo zinatolewa bure
Kama kweli unazingatia itifaki utagundua hata ku stream hizo ngoma online nako ni kudidimiza haki ya msaniivile vile kwasababu ungeweza kuzinunua official
Wewe unafurahia ku stream nyimbo online bure ukihisi kufanya hivyo ni kusuport kazi ya msanii wakati mimi nimenunua album ya dizasta kwa pesa taslimu (nauhakika katika career yako hujawahi kununua album ya mwanamziki)