Pamoja na vivutio vya utalii, Rungwe hakuna hoteli ya maana

Wewe kwenu umejenga hotel gani? Usije ukawa wawapa majukumu tu wenzako, wakati wewe kwenu hufanyi lolote.
 
rungwe ujenge hotel ya kitalii kweli, unaenda kupata faida vip , utakuwa umepoteza pesa tu , no way ukazipata tena , mimi huko ni asili yetu napafahamu vyema, huko kuna hitaji kutengenezwa camp site na hostel tu za kawaida, hakuna kivutio cha maana ulichokitaja chenye kuweza kuleta return kwenye biashara , nyie endeleeni kulima small scale tu , uwekezaji unafuata fursa, sio fursa zifuate uwekezaji , hatusubiri soko likufuate, tunalifuata soko thats bussines bro,
 
Tukubaliane kwamba utalii haufuati vivutio pekee. Accomodation ni sehemu muhimu sana ya utalii. Mtalii anaenda sehemu anayopata uhakika wa malazi. Rungwe pana vivutio ila hoteli ya maana hadi Mbeya mjini.
 
Tukubaliane kwamba utalii haufuati vivutio pekee. Accomodation ni sehemu muhimu sana ya utalii. Mtalii anaenda sehemu anayopata uhakika wa malazi. Rungwe pana vivutio ila hoteli ya maana hadi Mbeya mjini.
Mbeya Mjini yenyewe hamna cha maana labda Dar au Arusha
 
Kajenge yako pimbi wewe
 
Kajenge yako pimbi wewe
Uwezo wako mchache umeishia kutoa lugha ghafi badala ya kujibu hoja leta hoja. Hapa sio Facebook, hapa ni Jamii Forum where issues are discussed not crushed.
 
Umesahau kijungu Mkuu.
 
Hasheem rungwe anasemaje kuhusu hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…