Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Pamoja na kukosa kiti cha uspika, bado atavuta mkwanja mrefu na atapata 80% ya mshahara aliokuwa anaupata mpaka kufa.
Chadema walifurahi kama vile anaenda kuteseka. Kumbe sio hata kidogo.
Pia ndani ya chama chao bado atakuwa na nafasi ya ujumbe wa Halmashauri kuu. Kwa hiyo hajapoteza kama Chadema walivyofurahi.
Lakini Chadema kisiasa na kiuchumi wana hali mbaya sana. Hili halina ubishi.