G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Hivi wee jamaa mbona walisema kuwa unaendelea vizuri? Kwani Chadema ndiyo walimsuta Ndugai ajiuzulu?Pamoja na kukosa kiti cha uspika, bado atavuta mkwanja mrefu na atapata 80% ya mshahara aliokuwa anaupata mpaka kufa.
Chadema walifurahi kama vile anaenda kuteseka. Kumbe sio hata kidogo.
Pia ndani ya chama chao bado atakuwa na nafasi ya ujumbe wa Halmashauri kuu. Kwa hiyo hajapoteza kama Chadema walivyofurahi.
Lakini Chadema kisiasa na kiuchumi wana hali mbaya sana. Hili halina ubishi.
View attachment 2078685