Pamoja na Wanachadema kufurahia anguko la Ndugai kujiuzulu Uspika, Ndugai hajapoteza kitu

Kati ya chadema na CCM waliomtaka ndugai ajiuzulu NI akina Nani?
ni kweli unaichukia chadema Ila weka mipaka
 
Chadema ni genge la visasi kwa sasa.
Hawafanyi siasa zaidi ya kufurahia vifo vya wapinzani wao.

Wao wako ili kufurahia na kuifitinisha nchi mitandaoni.

Sasa hivi hawafanyi siasa bali wamejiunga CCM kama kundi maalum la kuchochea migogoro na baadae kuifurahia inapoleta impact kama hii ya Ndugai.

Sasa hivi ofisi za chadema zimemehamia kwa Maria Sarungi kule Maria Space.

Huko ndiko Lissu, Msigwa, Lema,Heche na wafuasi uchwara wao wanako ripoti kila siku.

Huku ufipa kinondoni wamemuachia Mnyika,Mrema na wanachama wapenda chama halisi ndio wanahangaika na kesi ya mheshimiwa Mbowe.

Lissu na Lema wanaifurahia ile kesi na hawapendi iishe maana inawapa au kuwajengea mazingira mazuri ya kuendeleza ukimbizi wao kule wanakohudumiwa.

Ikiisha au mfano Mbowe akiachiwa, wao pia wataulizwa nini bado kitisho kwenu kurudi Tanzania ilhali mliemkimbia alikwisha Fariki?

Siasa za chadema ni za kijanja janja sana.

Mimi walau huyu Mbowe na Mnyika ninawaamini kuliko hili genge la pili la wasakatonge.
 
Kama picha yako inayo onyesha wewe ni mfu unaotembea akili mgando
 
Pamoja na kukosa kiti cha uspika, bado atavuta mkwanja mrefu na atapata 80% ya mshahara aliokuwa anaupata mpaka kufa.

Chadema walifurahi kama vile anaenda kuteseka. Kumbe sio hata kidogo.

Pia ndani ya chama chao bado atakuwa na nafasi ya ujumbe wa Halmashauri kuu. Kwa hiyo hajapoteza kama Chadema walivyofurahi.

Lakini Chadema kisiasa na kiuchumi wana hali mbaya sana. Hili halina ubishi.
View attachment 2078685
Hizo ndio kati ya sheria mbovu ambazo Chadema wana piga kelele KATIBA MPYA kama ange kuwa katumikia nchi kwa uadilifu ni sawa kutunzwa na serikali. Ila huyu kawajibishwa. Iweje aendelee kutunzwa na serikali?
Sheria mbovu hizi..
 
Chadema walifurahi kama vile anaenda kuteseka. Kumbe sio hata kidogo
We ni mmpuuzi mmoja usiyejitambua na kutambua thamani ya utu wako; Rejea.
1. Gwajima aliyemshauri Ndugai ajiudhuru ni Chadema?
2. Lusinde aliyemshauri Ndugai ajiudhuru ni Chadema.
3. Yule Diwani wa Njombe aliyemtaka Ndugai ajiudhuru ni wa Chadema?
4. Rais Samia ambaye alimchamba Ndugai ni wa Chadema.
Mnakanyagana wenyewe sasa hv mnaanza kutaja taja watu Ovyo.

We mpuuzi mmoja usiyejielewa wakati mwingine ficha ujinga wako wa kukaa kimya.
 
Acha matusi bwamdogo. Ulichoandika kinahusiana na hii mada?
 
Pamoja na Wanachadema kufurahia anguko la Ndugai kujiuzulu Uspika, Ndugai hajapoteza kitu​

Hiyo ndo Heading ya utopolo wako angalia kinahusiana au lah?
 
Back
Top Bottom