Pamoja na Wanachadema kufurahia anguko la Ndugai kujiuzulu Uspika, Ndugai hajapoteza kitu

Hivi wee jamaa mbona walisema kuwa unaendelea vizuri? Kwani Chadema ndiyo walimsuta Ndugai ajiuzulu?
 
Mkuu uwa walipwa sh ngapi KWa post za ajabu ,kwamba CCM mnakaa badilisha upepo wa mh Mbowe kisa yupo ndani,na mkilitia hasara taifa kwamba tunaenda kuwa na spika mwingine ambae nae akijiuzulu tu basi ,anapata fulsa Kama za Ndugai, Mambo ya ajabu Taifa lapitia ,ila ipo siku mtalipa, ,
 
Sasa hapa niulize nijue zaid.. hivi kwa vita ile chadema ilipigwa, teswa, potezwa, vunjwavunjwa, na marufuku ya kufanya siasa na mikutano wangesavaivu vp? Yaan hata hapo walipo ntawasifu wana chadema maan walipotoka paliku pabaya san yaan ni do or die! Mwenye akili hawez wabeza CDM maan kila mtanzania anajua waliyoyapitia!!
 
Hivi wee jamaa mbona walisema kuwa unaendelea vizuri? Kwani Chadema ndiyo walimsuta Ndugai ajiuzulu?
Mlikenua meno mkafurahi kuwa kapigwa chini, nasikia aliwabana sana Bungeni.
 
Kwa nini mshangilie Ndugai kupigwa chini? Ina husiana nini na Chadema kupotea kwenye ramani?
 
Kwanini mmemvalisha viatu visivyo vyake
 
Hivi wee jamaa mbona walisema kuwa unaendelea vizuri? Kwani Chadema ndiyo walimsuta Ndugai ajiuzulu?
Mkuu leo ni 13.1 hivyo kwake bado ni mwezi mchanga lazima atafanya mambo yake
 
MTU mjinga huwaza pesa pekee sio heshima MTU aliyonayo.
Kuitwa msaliti na mwenyetamaa za vyeo na kuelezewa kamamtu mwenyenjama za kumharibia kiongozi ili wewe uupate uongozi huo nijambo la kufedhehesha sana kwa MTU mwenye maadili lkn tukiacha majingajinga yasojielewa!!
 
Umeenda shule?
 
Lakini Chadema kisiasa na kiuchumi wana hali mbaya sana. Hili halina ubishi.
Chadema ingefilisika kisiasa na kiuchumi usingekuwa hapa na kuipiga vijembe wewe hayawani wa buku 7 Toka Lumumba.Hakuna siku inapita bila wanambogamboga kuitaja chadema.
Kama chadema imeshajifia,kwanini msishughulike na vyama vyenye uhai kama ;Act,Cuf,nccr na vingine vingi bali mnashughulika na chadema?
Kuhangaika na chadema inaonyesha jinsi Gani inawakosesha usingizi wewe hayawani wa buku 7 toka Lumumba 😠😠😠
 
Utu Heshima ndiyo kwanza
Leo Ndugai kapoteza vyote
Unamlinganisha na Chadema!
Haifutiki Ndugai ni Nonsense
Ndiyo maana ametumika kama
Toilet paper tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…