Pamoja na yote, Magufuli aachwe amalize vipindi vyake viwili vya Urais

Kwa hiyo ukijenga hiyo taasisi basi ndiyo hautahitaji a visionary and daring president kwa ajili ya kuleta maendeleo ya nchi? Au unadhani taasisi ni kitu special ambacho chenyewe ndicho automatically kina plan na ku-command maendeleo ya nchi yaje. Huko kwenye taasisi kama USA au most European countries hawahitaji a strong and visionary leader kisa wana taasisi imara? You are basing your argument on accountability of leadership while we are basing our arguments on strong and visionary leadership to nurture the development of our country. I think that's where we deffer!
 
Mbona hao walikuwa kabla yake waliwadanganya mengi tu na mkashindwa kuwatoa madarakani, ten wengine wlikuwa dhaifu kwelikweli, sasa ndiyo utaweza kumtoa huyu mwamba madarakani kirahisi hivyo? Nyie tulieni tu hizo kelele mzipeleke 2025.
 
Mkuu bado msimamo wangu ni ule ule.
Sioni chama wala harakati mbadala bila kubadili katiba na kuiboresha.
Huoni unavyojichanganya?
Huyu unayemlilia ndiye asiyetaka katiba ibadilishwe kwa sababu inamnufaisha yeye.

Niliandika hapo mwanzo kwamba mjadala huu tumeumaliza; na sina nia wala uwezo wa kubadili msimamo wako.
 
Usimpangie Mungu...akiamua akaongoze Malaika...hiyo miradi watamalizia wengine...kwanza tupambane na Corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa namkubali kwenye usimamizi wa matumizi. Miradi hiyo pia, hata hivyo hiyo miradi ameikuta. Kinachonifanya nimwondoe kichwani kwangu ni chuki zake kwa baadhi ya watu na kutukuwa na utu kwa watu wake. Kama nilivyoeleza juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee najuta kumaliza chuo kipindi hiki Cha magu natamani nihame nchi kwa muda,anakatisha tamaa

California love
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…