pamoja na yote ya Pole Pole lakini huu wimbo wake ni mzuri sana aisee

Wahuni ni kama mwewe halafu wazalendo (akina Polepole & Co) ni kama kuku. Dua la kuku .........
 
Pole pole Ana creative mind jana ilikuwa good day to me.
 
"tudumu kukataa wahunii...
Wahuni sio watu wazurii..
Tuwakatae kila mahali ili..
Wahunii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…