Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujaamua, JK aliishaga wahi mpigisha magoti kimbau mbauHuo uwezo hamna.
Panama wana machaguzi mawili tu kukubali ama kukataa na kila chaguzi lina matokeo yake hasi ama chanya.
View: https://x.com/spectatorindex/status/1876706550745604455?t=gfzczjKumBLokoA4hazNpA&s=19
View: https://x.com/spectatorindex/status/1885435907119219022?t=f8sUV9V7JRt5nGlnbXtRDA&s=19
View: https://x.com/spectatorindex/status/1886133360722157610?t=V8dEycdTZohhdQIWgzur5A&s=19
View: https://x.com/spectatorindex/status/1886212621017510069?t=aro-yHVeNhO6vYFnJrS2GA&s=19
View: https://x.com/spectatorindex/status/1886313444779204767?t=jezPVi2MpWKrlFRpIckEMw&s=19
Najua hilo kwani bandari ya Dar ipo chini yetu au Dubai? Ipo chini ya Dubai yaani China wana deal kama la DP WorldCanal haipo chini ya China ipo chini ya Panama wenyewe.
Huwezi linganisha ishu ya Taiwan na hii ya Panama canal, ni vitu viwili tofauti.
Na wale wakichukua GomaHalafu Russia wakichukua Crimea watu wanabana pua, Israel akichukua Judea watu wanabana pua Tanganyika wakiichukua Zanzibar watu wanabana pua moroco wakichukua west sahara watu wana bana pua, iran akichukua kisiwa kile cha UAE watu wanabana pua. Hii dunia ni ubabe ubaben. Ndio maisha
Hatari sana; Canada + Mexico + Panama + Greenland, zote ziwe Marekani!
Itakuwa anataka kujenga historia kutoka kwa wababe wa viat waliomtangulia.
Trump ni mwendawazimu, anomaly katika mfumo wa US.Halafu Russia wakichukua Crimea watu wanabana pua, Israel akichukua Judea watu wanabana pua Tanganyika wakiichukua Zanzibar watu wanabana pua moroco wakichukua west sahara watu wana bana pua, iran akichukua kisiwa kile cha UAE watu wanabana pua. Hii dunia ni ubabe ubaben. Ndio maisha