PANAMA machaguzi ni mawili tu ni akubali Panama Canal irudi chini ya usimamizi wa Marekani au avamiwe, Trump kazi kaanza

PANAMA machaguzi ni mawili tu ni akubali Panama Canal irudi chini ya usimamizi wa Marekani au avamiwe, Trump kazi kaanza

Mi nadhani acha marekani afanye chochote anachotaka hapa duniani hadi sisi wengine tutie akili.., acha hadi awe anawafir@ wake wa viongozi wote duniani.., labda hapo ndio tutapata akili ya kupambana nae..
 
Umekosea USA hawataki bandari iwe chini ya China hapo ndiyo tatizo. wanaweza kukata mkataba na China hali ikarudi kama zamani
Canal haipo chini ya China ipo chini ya Panama wenyewe.
 
Canal haipo chini ya China ipo chini ya Panama wenyewe.
Najua hilo kwani bandari ya Dar ipo chini yetu au Dubai? Ipo chini ya Dubai yaani China wana deal kama la DP World
 
Huwezi linganisha ishu ya Taiwan na hii ya Panama canal, ni vitu viwili tofauti.
Miaka 54 iliyopita Taiwan iliondolewa kuwa member wa U.N na China (PRC) ikawa na kiti U.N badala ya Taiwan (ROC)

Waitaiwan ni Wachina waliokimbia PRC (People's Republic of China) baada ya Revolution ya 1949

U.S ana uhusiano gani na Panama taifa ambalo ni sovereign?

Screenshot_20250203-222506_Chrome.jpg

ROC (Republic of China) ni Taiwan
 
Halafu Russia wakichukua Crimea watu wanabana pua, Israel akichukua Judea watu wanabana pua Tanganyika wakiichukua Zanzibar watu wanabana pua moroco wakichukua west sahara watu wana bana pua, iran akichukua kisiwa kile cha UAE watu wanabana pua. Hii dunia ni ubabe ubaben. Ndio maisha
Na wale wakichukua Goma
 
Hatari sana; Canada + Mexico + Panama + Greenland, zote ziwe Marekani!
Itakuwa anataka kujenga historia kutoka kwa wababe wa viat waliomtangulia.​
Hawezi kufanya kitu kama hicho ni porojo tu za kisiasa

Kwa upande wa Canada na Mexico alichodeal nacho ni kuwaongezea tariffs ili kuziforce zikubaliane na matakwa yake

Greenland anataka ainunue lakini Denmark ambaye ndiye mmiliki wa Greenland imemkataa

Panama anachotaka ni kucontrol Panama Canal sio kuifanya Panama kuwa sehemu ya Marekani
 
Halafu Russia wakichukua Crimea watu wanabana pua, Israel akichukua Judea watu wanabana pua Tanganyika wakiichukua Zanzibar watu wanabana pua moroco wakichukua west sahara watu wana bana pua, iran akichukua kisiwa kile cha UAE watu wanabana pua. Hii dunia ni ubabe ubaben. Ndio maisha
Trump ni mwendawazimu, anomaly katika mfumo wa US.
 
Kabla ya raisi Trump kushika madaraka kwa mara ya pili aliweka wazi baadhi ya ndoto zake ikiwemo kuudhibiti mfrereji wa Panama unaounganisha bahari ya Pacifi na Atlantic.

Mara kadhaa raisi Trump ametoa kitisho cha kuuchukua kwa nguvu mfereji huo ambao waliujenga mwanzo mwa karne ya 20.

Hapo juzi katibu mkuu wa serikali ya Marekani Marco Rubio alienda Panama na baada ya kuondoka akatangaza kuwa kuanzia sasa meli za Marekani hazitalipa tena ada ya kutumia mfereji huo wenye urefu wa mali 51.

Raisi Mulino wa Panama ameshtushwa na tangazo hilo ambapo amesema Panama itaendelea kuwa na mahusiano na ushirika na Marekani lakini hawana mpango wa kuiondolea ada nchi hiyo na wala kuruhusu taifa hilo kuwa na mamlaka ya mwisho wa mfereji huo tena kwa njia za uongo na hadaa.

 
Back
Top Bottom