Nimeshangaa unaweka na siagi na maziwa. Mie huweka chumvi na sukari kidogo afu naongeza hoho, vitunguu, na carrots kwenye mchanganyiko. Situmii baking powder, maziwa wala siagi.
Kuna aina moja inaitwa veffel, ni asili ya norway. Naipenda kweli manake same mix naweka kwenye jiko lake maalum na sikaangi na mafuta.
Ndo najistukia leo. Sikujua tafauti ya crepes na pancakes. Elimu bahari best.
Ila kwa afya nadhani napenda crepes na veffels. Na nna mpango wa kuanza kutengeneza hizo crepes zako kwa jiko la burger ili nisiweke mafuta kabisa saa ya kukaanga.
Wajua kuna confusion hapa King'asti baina ya pancake na crepes....
Pancake ndio hiyo haiweki vegetables na inawekwa baking powder
Crepes ndio sisi huita chapati za jamani asili yake ni ufaransa...wenyewe pia hawaweki vegetables ila sisi ndio tunaweka
Nadhani kibongo bongo crepes ndio watu wanaita pancake....ndio maana ukaniuliza why naweka maziwa na siagi?
and it ill look like thisThanx mamito, napenda pancakes. Mimi huwa nafanya simple yani unga wa ngano, maziwa na mayai vilevile sukari kwa mbali sana au bila sukari. Halafu nina-top up na pancake syrup au nikaweka strawberries. Tamuuu!!
Asante kwa darsa. Mie ningebisha crepes ni pancakes mpaka mwisho wa siku. Lol.Lakini hata crepes ni aina ya pancakes pia. Tofauti ya crepes na pancakes ni kwamba crepes ni nyembamba halafu haziko fluffy. Pancakes kama hizo za McDonald's ulizoziweka kwenye bandiko lako la kwanza huwa ni nene nene halafu ziko fluffy.
Sasa kwa mfano kwa mbongo ambaye hajawahi kuziona hizo za McDonald's na anazozijua yeye ni hizo za aina ya crepes, anaweza akabisha kabisa kuwa hizo pancakes (kama hizo za McDonald's) siyo pancakes.
Halafu Marekani hizo pancakes pia huitwa hotcakes.
Hotcakes (pancakes) za McDonald's
Crepes
Asante kwa darsa. Mie ningebisha crepes ni pancakes mpaka mwisho wa siku. Lol.
Asanteni wandugu kwa elimu(pancakes/hotcakes & crepes!
Farkhina hivi niliwahi kuweka maziwa zikaganda kwenye pan why? Au mayai madogo?
asante mama..kiukweli hizi zinanishindaga naishia kununua tu mitaani...asante sana!
Asante kwa darsa. Mie ningebisha crepes ni pancakes mpaka mwisho wa siku. Lol.
Mashallah toto la kizenji. Asante umenikumbusha Zenji.:cool2:
Thanx mumie
Ubishi jadi yako wewe...