- Thread starter
- #21
Nimeshangaa unaweka na siagi na maziwa. Mie huweka chumvi na sukari kidogo afu naongeza hoho, vitunguu, na carrots kwenye mchanganyiko. Situmii baking powder, maziwa wala siagi.
Kuna aina moja inaitwa veffel, ni asili ya norway. Naipenda kweli manake same mix naweka kwenye jiko lake maalum na sikaangi na mafuta.
Unaongelea chapati za maji?
Mie ndio huweka mayai unga,kitunguu na karot...
Ila pancake nijuavyo mimi upishi wake ndio huo...
Siku hii nlifanya za haraka nkaweka onion na mayai basi...