Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Daraja lipo free ni ww tu kuvukaMimi ndio maana kigamboni kumenikalia kushoto aisee. Imagine unapangiwa kurudi nyumbani kwako.
Tunataka kufanya Kafara Kubwa la Vifo ili Nyota iliyofifia kwa Nuksi na Kutokukubalika ianze Kung'aa na Mambo yaende vyema hasa kwa Mwezi Oktoba, 2025.Wakuu,
Hali ya usafiri Kigamboni leo sio shwari. Kama mnavyoona watu wapo wa kutosha. Pantoni linalotumika ni moja tu, likipakia tunasubiri ligeuze kuja kutufate wengine huku. Utafikiri sio weekend.
Hakuna backup ikitokea kuna shida kama hivi? Maana jinsi watu wanasukumana kuingia ni balaa, yanaweza kutokea maafa hivihivi kimasihara huku tunaangalia.
Ikiwa hatuna backup basi kuwe na utaratibu mzuri kusimamia watu yasitokee mengine, hasa ukuzingatia kuna watoto, wanawake, wazee na wenye ulemavu ambako kwenye msongamano kama huu bila usimamizi mzuri kuna uwezekano mkubwa wa tatizo kutokea.
Upande huku uvuviniNilishaacha kutumia hayo mapantoni yenu.Viboti vimejeaa kibao.Dk 3 tu upo nchi kavu
Boti gani,sea tax ya Azam mbona ipo moja tu ndo inayofanya kazi au unasemea boti za wavuvi?Nilishaacha kutumia hayo mapantoni yenu.Viboti vimejeaa kibao.Dk 3 tu upo nchi kavu
Kuna watoto wa NYERERE, IFM,CBE,UTUMISHI,DIT,BANDARI wanategemea hapo,unawapa taharukiTunataka kufanya Kafara Kubwa la Vifo ili Nyota iliyofifia kwa Nuksi na Kutokukubalika ianze Kung'aa na Mambo yaende vyema hasa kwa Mwezi Oktoba, 2025.
Mv kazi na sea tax ndo zipo kaziniPole sana mkuu mv kigamboni ndo inafanya kazi au ni mv magogoni? Vipi kuhusu sea tax ya Azam haifanyi kazi?
Kuna ambaye hatokufa hapa duniani?Kuna watoto wa NYERERE, IFM,CBE,UTUMISHI,DIT,BANDARI wanategemea hapo,unawapa taharuki
Yaa zile za wavuvi,hazina kulemba hata mkiwa wawili,chombo inatembeaBoti gani,sea tax ya Azam mbona ipo moja tu ndo inayofanya kazi au unasemea boti za wavuvi?