Pantsir-SM | Mfumo mpya wa ulinzi wa anga kuzinduliwa nchini Urusi

Well said .. Clap clap clapp
 
Huyo kilaza atayajulia wapi mambo kama hayo
 
Jamaa hajui hata anachokiongea halafu anasema watu wanachuki

Anayalaumu maendeleo ya RUSSIA wakati ajue kabisa mataifa yote wanachama wa EU+US+CANADA wanapinga maendeleo ya RUSSIA KISIASA KIUCHUMI NAKIJESHI.

halafu mkumbushe yakwamba DUNIA hio RUSSIA anayoilaumu ndio taifa linalo ongoza kwakuekewa vikwazo na US navibaraka wake umkumbushe namalengo yavikwazo pengine anaweza akawa kajisahau

Mkumbushe pia yakwamba RUSSIA kabla yakua RUSSIA ilikua USSR jambo ambalo lilipelekea kusambaratika pakubwa UCHUMI wao kabla yakuja kuwekwa tena sawa na PUTIN

Kama ukimkumbusha akakujibu usisahau kunitag
 
Haya madini nilikua sijayaona natamani jamaa akuelewe

Mkumbushe nahili kama RUSSIA anapambana namataifa zaidi ya 30s halafu bado anatokea mtu anaibeza eti daah.....
 
Lakini pia nchi kama marekani ina watu milioni 40 wanaishi kwa kulishwa na serikali ,ikiwatena na mahomeless wengi sana,
Uchumi wa USA uko mikononi mwa wachache waliohodhi rasilimali za nchi hiyo,,
Russia iko na rasilimari nyingi ambazo bado hazijawa utilized
 
Nonsense.
 
Uchumi wa Tanzania unamilikiwa na watu wangapi na lini hizo rasilimali nyingi za Russia zitakuwa utilized na wanasubiri nini wasizi-utilize leo hadi wanasota hivyo.
 
Per capita inaathiriwa na population kiaje? US ana per capita kuliko Britain au Germany au France au Italy na US population unaunganisha hizo nchi zote combined na hapa unasemaje
Kama una GDP kubwa na idadi ndogo ya watu per capita itakuwa kubwa ndio kama ilivyo kwa nchi za Scandinavia Luxembourg, Singapore, Brunei nk.

Pia kama una GDP kubwa na idadi kubwa ya watu per capita itakuwa ndogo kama ilivyo kwa China, Russia, India nk.
 
Uchumi wa Tanzania unamilikiwa na watu wangapi na lini hizo rasilimali nyingi za Russia zitakuwa utilized na wanasubiri nini wasizi-utilize leo hadi wanasota hivyo.
Kwanza russia ni taifa kubwa sana in term of landmass,,kuna resource nyingi sana kuanzia ardhi yenyewe,madini,miti,matuta,gases etc,
Kwa ukubwa wa russia,idadi ya watu bado ni sparse,,
Tatizo la Russia,ni kuwa ina mabiluonea wengi sana ambao wanaweza kuinvest pesa yao nchini mwao,,tabu inayosumbua hali ya siasa haiko stable,,unaweza kuamka asubuhi unakuta umetaifishwa mali na ukaswekwa na jela kwa mashitaka ya kubumba.
Kwa hiyo kwanza matajiri wanakimbiza fedha zao kuinvest nje ya Russia ambako kuna democracy kwamba huwezi kutaifisha mali kienyeji maana kule mahakama ziko huru kuangalia haki ya kila mtu,
Makampuni mengi makubwa yanamilikiwa na serikali,,kwahiyo hayako flexible kujiexpand bila ok ya viongozi au amri toka juu
 
Nimeuliza mnipe ushahidi wa namna walivyoiba mafuta ya wengine lkn naona mnanizungusha tu mbuyu.

Unaposema wananyonya wengine au sijui wanatumia jeshi kutajirisha nchi yao bila kuthibitisha hayo madai naona kama mnaongea kama walevi tu wasiojua "Principles of Economics" ambazo kimsingi ndicho kinachowa-favour wamarekani.

Hawajalazimisha watu watumie sarafu yao lkn ni economic realities ndio imeamua iwe hivyo. Hili swala naona mumeamua mliwekee propaganda nyingi za kisiasa kuliko hoja halisi za kiuchumi.
 
Very good. Uko sahihi kabisa na ndio maana tunasema Russia bado sana kama taifa.

Wako nyuma ya mataifa mengi ya magharibi kwa miongo sita au saba labda wabadilishe mifumo na waiweke iwe na nguvu lkn hii ya sasa ya kumfanya Putin eti ndio mfumo, hamna kitu, wataendelea kuzidiwa hata na South Korea kiuchumi.
 
Lengo la marekani iraq ilikuwa ni kupata deals za mafuta,,walifanikiwa kupata baadhi ya visima japo si vyote.
Kule syria wameshikilia visima kwa nguvu,
Libya wamezidiwa akili na Russia,
Kuhusu kutumia petroldollar,,hapo ndipo sasa siri ya uchumi wa marekani ilipo,
Marekani chini ya yule rais mlemavu Roosevelt waliingia mkataba na king wa saudi arabia,,mohamed al saud,kwamba kuanzia kipindi kile mafuta yanayouzwa na waarabu yatatumia US dollar kama pesa ya kununulia,
Hii ililenga kuifanya dola ichukue nafasi ya dhahabu kama world reserve,ili kuifanya dola iwe na mzunguko mkubwa na hivyo kuwapa US uhuru mkubwa wa kuprint dollar kusolve cost zao,
In exchange,saudi arabia iliahidiwa kulindwa na marekani dhidi ya adui yeyote ,
Maana yake ikatokea nchi duniani ziachane na kutumia dollar,ndani ya mwezi uchumi wa US utaporomoka,
Ndo sababu saddamu alipogusia kuachana na dollar akauawa,ghadafi pia na sasa china,russia na iran hazitakaa kwa amani iwapo zitaendelea kupanga kuachana na USd
 
Hii inahusiana sasa na usalama wa taifa,,mfano US alipoiporomosha soviet union,,kama sio ujio wa putini,hata russia ingeshakuwa vinchi vidogo vidogo,
US anataka akutawale ndo muishi kwa amani,
South korea ina majeshi ya marekani,
Germany pia,japan pia,
Hizi nchi kiuchumi ziko vizuri na hazishindwi kujilinda,,lakini majeshi ya marekani,tangu viishe vita vya pili vya dunia hayajatoka,kifupi hizi nchi ni koloni la US,,haziko huru kwa asilimia 100.
Sasa warusi ni watu wako very nationalistic,,hawakubali hiyo
 
Hii sio kweli, hakuna anayelazimishwa kutumia dola na hichi ni kitu ambacho hakiwezekani, hii ilikuja kutokana na Economic Superiority ya Marekani.

Sababu zilizopelekea akina Saddam na Gaddafi kuuliwa hazihusiani na kutaka kuacha kutumia dola bali zinahusiana zaidi na aina ya utawala waliokuwa wakifuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…