Pantsir-SM | Mfumo mpya wa ulinzi wa anga kuzinduliwa nchini Urusi

Kaka sio natetea tu Urusi,Urusi ilikua Bora Sana kiuchumi enzi za USSR,ikavurugika ikavunjikavunjika,zikatoka nchi nyingine mpya kabisa na Zina uchumi wao,Estonia,Latvia,Georgia,Lithuania,Khazakistan,Tajikistan,Azebaija ,Moldova,Ukraine,Uzebakista n,Berarusi n.k.
Sasa fikiria zote hizo zilikua majimbo ndani ya USSR.
Baada ya kuvunjika Urusi imekaa miaka kumi tu ikijijenga upya.China na USA zikiinjoi mshikamano wa majimbo yao.
Hivyo happy ilipo Urusi Sasa hivi inastahili sifa.
Zingatia inavyobaguliwa na kuwekewa vikwazo na west.Ni lazima ichomoze taratibu.
Fikiria ulikua bingwa wa riadha za masafa marefu duniani,katikati ya mashindano ukaanguka chini ukavunjika mguu,ukainuka,ukakaa hospitality miaka miwili,ukapona,ukarudi mashindanoni,ukashika nafasi ya tatu nyuma ya mabingwa wawili wa wakati huu.
Kwa kifupi Mimi ntakuona wewe Ni shujaa. hayo ndio mapito ya Urusi ya Putin.
Well said .. Clap clap clapp
 
wewe mwenyewe unaonekana ndio mchawi, kwanza unaonekana huelewa wako ni finyu katika siasa na mambo ya kiuchumi ya dunia ndio mahana unadhani maendeleo ya USA yamepatikana eti kisa wanajituma na kufanya kazi kwa bidii.

Kitu usichokijua ni kwamba marekani ni nchi ya kibepari uchumi wao kwa kiasi kikubwa umetokana na unyonyaji wa rasilimali za nchi nyingine, huku wakitumia silaha ya kuwawekea vikwazo mataifa yale wanayoisi uchumi wao unakua na yanaweza kua mshindani kwao, na hii ni mbinu anayoitumia ili yeye abaki kama super power.

Marekani ndio nchi hapa duniani inayohongoza kwa kutumia jeshi kujenga uchumi wake, na hii ndio sababu wanawekeza sana kwenye jeshi lao, walitumia propaganda kuhiaminisha dunia kua iraki wanamiliki silaha za nyukilia kisha kuivamia iraki bila idhini ya UN, kumbe lengo lao ilikua ni kuchukua mafuta, kwa ufupi tu inabidi ujifunze side B ya marekani na sio unakomaa na side A ambayo ndio wanataka kuwahaminisha watu kupitia propaganda zao
Huyo kilaza atayajulia wapi mambo kama hayo
 
Kwani alipo kuwa USA Leo Russia haijawahi kufika ? Ulitaka Russia aendelee kubaki kuwa super power milele ?? Ina maana kama ulitaka iwe hivyo una maanisha kwamba duniani hakuna watu wengine wenye akili na wenye kiu ya kuwa na madaraka Kama waliyo kuwa nayo Russia hapo awali .... Una anza vipi kuidharau Russia wakati ni taifa ambalo limewahi kuitawala dunia ... Ni taifa ambalo limechangia kwa kiasi kikubwa kuifanya dunia iwe na haya maendeleo tulliyo nayo hii Leo

Je hivi nikweli haujui kwa nini Russia wako hivyo walivyo Leo ? Kuna taifa linalo pigwa vita na mataifa ya ulaya pamoja na USA kama Russia.. Mimi nilitegemea kuona kwamba una isifu Russia kutokana na hatua waliyo fikia hii Leo licha ya kufanyiwa vitimbi na fitna kibao na mataifa ya NATO na mshirika wao USA na kumuwekea vikwazo kibao lakini bado kwa macho yetu tunaishuhudia Russia ikisonga na imekuwa ni moja ya mataifa yenye nguvu kubwa ya kijeshi na kiushawishi duniani mbaya zaidi ni taifa linalo ogopeka ile mbaya USA na washirika wake wote ...wakisikia jina la Russia wana kuwa wadogo kama mbwa aliye muona chatu
Jamaa hajui hata anachokiongea halafu anasema watu wanachuki

Anayalaumu maendeleo ya RUSSIA wakati ajue kabisa mataifa yote wanachama wa EU+US+CANADA wanapinga maendeleo ya RUSSIA KISIASA KIUCHUMI NAKIJESHI.

halafu mkumbushe yakwamba DUNIA hio RUSSIA anayoilaumu ndio taifa linalo ongoza kwakuekewa vikwazo na US navibaraka wake umkumbushe namalengo yavikwazo pengine anaweza akawa kajisahau

Mkumbushe pia yakwamba RUSSIA kabla yakua RUSSIA ilikua USSR jambo ambalo lilipelekea kusambaratika pakubwa UCHUMI wao kabla yakuja kuwekwa tena sawa na PUTIN

Kama ukimkumbusha akakujibu usisahau kunitag
 
wewe mwenyewe unaonekana ndio mchawi, kwanza unaonekana huelewa wako ni finyu katika siasa na mambo ya kiuchumi ya dunia ndio mahana unadhani maendeleo ya USA yamepatikana eti kisa wanajituma na kufanya kazi kwa bidii.

Kitu usichokijua ni kwamba marekani ni nchi ya kibepari uchumi wao kwa kiasi kikubwa umetokana na unyonyaji wa rasilimali za nchi nyingine, huku wakitumia silaha ya kuwawekea vikwazo mataifa yale wanayoisi uchumi wao unakua na yanaweza kua mshindani kwao, na hii ni mbinu anayoitumia ili yeye abaki kama super power.

Marekani ndio nchi hapa duniani inayohongoza kwa kutumia jeshi kujenga uchumi wake, na hii ndio sababu wanawekeza sana kwenye jeshi lao, walitumia propaganda kuhiaminisha dunia kua iraki wanamiliki silaha za nyukilia kisha kuivamia iraki bila idhini ya UN, kumbe lengo lao ilikua ni kuchukua mafuta, kwa ufupi tu inabidi ujifunze side B ya marekani na sio unakomaa na side A ambayo ndio wanataka kuwahaminisha watu kupitia propaganda zao
Haya madini nilikua sijayaona natamani jamaa akuelewe

Mkumbushe nahili kama RUSSIA anapambana namataifa zaidi ya 30s halafu bado anatokea mtu anaibeza eti daah.....
 
Swala sio eneo kubwa, swala ni kuwa Russia wana rasilimali nyingi sana kuliko nchi yoyote ile duniani lkn hilo haliendani na kiwango cha maendeleo waliyo nayo.

Ndio maana tunakuja kugundua kwamba kuna tatizo ktk uongozi, hili la Russia inafanana sana na scenario yetu Tanzania, tunasujudia kuimba mapambio wakati umaskini unazidi kutamalaki.
Lakini pia nchi kama marekani ina watu milioni 40 wanaishi kwa kulishwa na serikali ,ikiwatena na mahomeless wengi sana,
Uchumi wa USA uko mikononi mwa wachache waliohodhi rasilimali za nchi hiyo,,
Russia iko na rasilimari nyingi ambazo bado hazijawa utilized
 
Kwani alipo kuwa USA Leo Russia haijawahi kufika ? Ulitaka Russia aendelee kubaki kuwa super power milele ?? Ina maana kama ulitaka iwe hivyo una maanisha kwamba duniani hakuna watu wengine wenye akili na wenye kiu ya kuwa na madaraka Kama waliyo kuwa nayo Russia hapo awali .... Una anza vipi kuidharau Russia wakati ni taifa ambalo limewahi kuitawala dunia ... Ni taifa ambalo limechangia kwa kiasi kikubwa kuifanya dunia iwe na haya maendeleo tulliyo nayo hii Leo

Je hivi nikweli haujui kwa nini Russia wako hivyo walivyo Leo ? Kuna taifa linalo pigwa vita na mataifa ya ulaya pamoja na USA kama Russia.. Mimi nilitegemea kuona kwamba una isifu Russia kutokana na hatua waliyo fikia hii Leo licha ya kufanyiwa vitimbi na fitna kibao na mataifa ya NATO na mshirika wao USA na kumuwekea vikwazo kibao lakini bado kwa macho yetu tunaishuhudia Russia ikisonga na imekuwa ni moja ya mataifa yenye nguvu kubwa ya kijeshi na kiushawishi duniani mbaya zaidi ni taifa linalo ogopeka ile mbaya USA na washirika wake wote ...wakisikia jina la Russia wana kuwa wadogo kama mbwa aliye muona chatu
Nonsense.
 
Lakini pia nchi kama marekani ina watu milioni 40 wanaishi kwa kulishwa na serikali ,ikiwatena na mahomeless wengi sana,
Uchumi wa USA uko mikononi mwa wachache waliohodhi rasilimali za nchi hiyo,,
Russia iko na rasilimari nyingi ambazo bado hazijawa utilized
Uchumi wa Tanzania unamilikiwa na watu wangapi na lini hizo rasilimali nyingi za Russia zitakuwa utilized na wanasubiri nini wasizi-utilize leo hadi wanasota hivyo.
 
Per capita inaathiriwa na population kiaje? US ana per capita kuliko Britain au Germany au France au Italy na US population unaunganisha hizo nchi zote combined na hapa unasemaje
Kama una GDP kubwa na idadi ndogo ya watu per capita itakuwa kubwa ndio kama ilivyo kwa nchi za Scandinavia Luxembourg, Singapore, Brunei nk.

Pia kama una GDP kubwa na idadi kubwa ya watu per capita itakuwa ndogo kama ilivyo kwa China, Russia, India nk.
 
Uchumi wa Tanzania unamilikiwa na watu wangapi na lini hizo rasilimali nyingi za Russia zitakuwa utilized na wanasubiri nini wasizi-utilize leo hadi wanasota hivyo.
Kwanza russia ni taifa kubwa sana in term of landmass,,kuna resource nyingi sana kuanzia ardhi yenyewe,madini,miti,matuta,gases etc,
Kwa ukubwa wa russia,idadi ya watu bado ni sparse,,
Tatizo la Russia,ni kuwa ina mabiluonea wengi sana ambao wanaweza kuinvest pesa yao nchini mwao,,tabu inayosumbua hali ya siasa haiko stable,,unaweza kuamka asubuhi unakuta umetaifishwa mali na ukaswekwa na jela kwa mashitaka ya kubumba.
Kwa hiyo kwanza matajiri wanakimbiza fedha zao kuinvest nje ya Russia ambako kuna democracy kwamba huwezi kutaifisha mali kienyeji maana kule mahakama ziko huru kuangalia haki ya kila mtu,
Makampuni mengi makubwa yanamilikiwa na serikali,,kwahiyo hayako flexible kujiexpand bila ok ya viongozi au amri toka juu
 
wewe mwenyewe unaonekana ndio mchawi, kwanza unaonekana huelewa wako ni finyu katika siasa na mambo ya kiuchumi ya dunia ndio mahana unadhani maendeleo ya USA yamepatikana eti kisa wanajituma na kufanya kazi kwa bidii.

Kitu usichokijua ni kwamba marekani ni nchi ya kibepari uchumi wao kwa kiasi kikubwa umetokana na unyonyaji wa rasilimali za nchi nyingine, huku wakitumia silaha ya kuwawekea vikwazo mataifa yale wanayoisi uchumi wao unakua na yanaweza kua mshindani kwao, na hii ni mbinu anayoitumia ili yeye abaki kama super power.

Marekani ndio nchi hapa duniani inayohongoza kwa kutumia jeshi kujenga uchumi wake, na hii ndio sababu wanawekeza sana kwenye jeshi lao, walitumia propaganda kuhiaminisha dunia kua iraki wanamiliki silaha za nyukilia kisha kuivamia iraki bila idhini ya UN, kumbe lengo lao ilikua ni kuchukua mafuta, kwa ufupi tu inabidi ujifunze side B ya marekani na sio unakomaa na side A ambayo ndio wanataka kuwahaminisha watu kupitia propaganda zao
Nimeuliza mnipe ushahidi wa namna walivyoiba mafuta ya wengine lkn naona mnanizungusha tu mbuyu.

Unaposema wananyonya wengine au sijui wanatumia jeshi kutajirisha nchi yao bila kuthibitisha hayo madai naona kama mnaongea kama walevi tu wasiojua "Principles of Economics" ambazo kimsingi ndicho kinachowa-favour wamarekani.

Hawajalazimisha watu watumie sarafu yao lkn ni economic realities ndio imeamua iwe hivyo. Hili swala naona mumeamua mliwekee propaganda nyingi za kisiasa kuliko hoja halisi za kiuchumi.
 
Kwanza russia ni taifa kubwa sana in term of landmass,,kuna resource nyingi sana kuanzia ardhi yenyewe,madini,miti,matuta,gases etc,
Kwa ukubwa wa russia,idadi ya watu bado ni sparse,,
Tatizo la Russia,ni kuwa ina mabiluonea wengi sana ambao wanaweza kuinvest pesa yao nchini mwao,,tabu inayosumbua hali ya siasa haiko stable,,unaweza kuamka asubuhi unakuta umetaifishwa mali na ukaswekwa na jela kwa mashitaka ya kubumba.
Kwa hiyo kwanza matajiri wanakimbiza fedha zao kuinvest nje ya Russia ambako kuna democracy kwamba huwezi kutaifisha mali kienyeji maana kule mahakama ziko huru kuangalia haki ya kila mtu,
Makampuni mengi makubwa yanamilikiwa na serikali,,kwahiyo hayako flexible kujiexpand bila ok ya viongozi au amri toka juu
Very good. Uko sahihi kabisa na ndio maana tunasema Russia bado sana kama taifa.

Wako nyuma ya mataifa mengi ya magharibi kwa miongo sita au saba labda wabadilishe mifumo na waiweke iwe na nguvu lkn hii ya sasa ya kumfanya Putin eti ndio mfumo, hamna kitu, wataendelea kuzidiwa hata na South Korea kiuchumi.
 
Nimeuliza mnipe ushahidi wa namna walivyoiba mafuta ya wengine lkn naona mnanizungusha tu mbuyu.

Unaposema wananyonya wengine au sijui wanatumia jeshi kutajirisha nchi yao bila kuthibitisha hayo madai naona kama mnaongea kama walevi tu wasiojua "Principles of Economics" ambazo kimsingi ndicho kinachowa-favour wamarekani.

Hawajalazimisha watu watumie sarafu yao lkn ni economic realities ndio imeamua iwe hivyo. Hili swala naona mumeamua mliwekee propaganda nyingi za kisiasa kuliko hoja halisi za kiuchumi.
Lengo la marekani iraq ilikuwa ni kupata deals za mafuta,,walifanikiwa kupata baadhi ya visima japo si vyote.
Kule syria wameshikilia visima kwa nguvu,
Libya wamezidiwa akili na Russia,
Kuhusu kutumia petroldollar,,hapo ndipo sasa siri ya uchumi wa marekani ilipo,
Marekani chini ya yule rais mlemavu Roosevelt waliingia mkataba na king wa saudi arabia,,mohamed al saud,kwamba kuanzia kipindi kile mafuta yanayouzwa na waarabu yatatumia US dollar kama pesa ya kununulia,
Hii ililenga kuifanya dola ichukue nafasi ya dhahabu kama world reserve,ili kuifanya dola iwe na mzunguko mkubwa na hivyo kuwapa US uhuru mkubwa wa kuprint dollar kusolve cost zao,
In exchange,saudi arabia iliahidiwa kulindwa na marekani dhidi ya adui yeyote ,
Maana yake ikatokea nchi duniani ziachane na kutumia dollar,ndani ya mwezi uchumi wa US utaporomoka,
Ndo sababu saddamu alipogusia kuachana na dollar akauawa,ghadafi pia na sasa china,russia na iran hazitakaa kwa amani iwapo zitaendelea kupanga kuachana na USd
 
Very good. Uko sahihi kabisa na ndio maana tunasema Russia bado sana kama taifa.

Wako nyuma ya mataifa mengi ya magharibi kwa miongo sita au saba labda wabadilishe mifumo na waiweke iwe na nguvu lkn hii ya sasa ya kumfanya Putin eti ndio mfumo, hamna kitu, wataendelea kuzidiwa hata na South Korea kiuchumi.
Hii inahusiana sasa na usalama wa taifa,,mfano US alipoiporomosha soviet union,,kama sio ujio wa putini,hata russia ingeshakuwa vinchi vidogo vidogo,
US anataka akutawale ndo muishi kwa amani,
South korea ina majeshi ya marekani,
Germany pia,japan pia,
Hizi nchi kiuchumi ziko vizuri na hazishindwi kujilinda,,lakini majeshi ya marekani,tangu viishe vita vya pili vya dunia hayajatoka,kifupi hizi nchi ni koloni la US,,haziko huru kwa asilimia 100.
Sasa warusi ni watu wako very nationalistic,,hawakubali hiyo
 
Lengo la marekani iraq ilikuwa ni kupata deals za mafuta,,walifanikiwa kupata baadhi ya visima japo si vyote.
Kule syria wameshikilia visima kwa nguvu,
Libya wamezidiwa akili na Russia,
Kuhusu kutumia petroldollar,,hapo ndipo sasa siri ya uchumi wa marekani ilipo,
Marekani chini ya yule rais mlemavu Roosevelt waliingia mkataba na king wa saudi arabia,,mohamed al saud,kwamba kuanzia kipindi kile mafuta yanayouzwa na waarabu yatatumia US dollar kama pesa ya kununulia,
Hii ililenga kuifanya dola ichukue nafasi ya dhahabu kama world reserve,ili kuifanya dola iwe na mzunguko mkubwa na hivyo kuwapa US uhuru mkubwa wa kuprint dollar kusolve cost zao,
In exchange,saudi arabia iliahidiwa kulindwa na marekani dhidi ya adui yeyote ,
Maana yake ikatokea nchi duniani ziachane na kutumia dollar,ndani ya mwezi uchumi wa US utaporomoka,
Ndo sababu saddamu alipogusia kuachana na dollar akauawa,ghadafi pia na sasa china,russia na iran hazitakaa kwa amani iwapo zitaendelea kupanga kuachana na USd
Hii sio kweli, hakuna anayelazimishwa kutumia dola na hichi ni kitu ambacho hakiwezekani, hii ilikuja kutokana na Economic Superiority ya Marekani.

Sababu zilizopelekea akina Saddam na Gaddafi kuuliwa hazihusiani na kutaka kuacha kutumia dola bali zinahusiana zaidi na aina ya utawala waliokuwa wakifuata.
 
Back
Top Bottom