We jamaa mzima kweli? Per capita ni wastani wa kipato kwa mtu mmoja mmoja kwamba pato likigawanywa kwa watu wote mnapatajeKama una GDP kubwa na idadi ndogo ya watu per capita itakuwa kubwa ndio kama ilivyo kwa nchi za Scandinavia Luxembourg, Singapore, Brunei nk.
Pia kama una GDP kubwa na idadi kubwa ya watu per capita itakuwa ndogo kama ilivyo kwa China, Russia, India nk.
Thubutu kama aina yautawala ndio zimesababisha mbona hajawaua kina Salman au Amiri wa QATAR wakati wana aina zamifumo zinazo fanana ?!Hii sio kweli, hakuna anayelazimishwa kutumia dola na hichi ni kitu ambacho hakiwezekani, hii ilikuja kutokana na Economic Superiority ya Marekani.
Sababu zilizopelekea akina Saddam na Gaddafi kuuliwa hazihusiani na kutaka kuacha kutumia dola bali zinahusiana zaidi na aina ya utawala waliokuwa wakifuata.
Hujanielewa.!! Kipato hakiendani na ukubwa wa nchi kieneo ila ni swala la uzalishaji zaidi. Uwe unajaribu kusoma vizuri.We jamaa mzima kweli? Per capita ni wastani wa kipato kwa mtu mmoja mmoja kwamba pato likigawanywa kwa watu wote mnapataje
Sasa unavodai Russia eneo kubwa inabidi awe na kipato kikubwa hakuna msingi wa hoja kama hiyo
Hii inahusiana sasa na usalama wa taifa,,mfano US alipoiporomosha soviet union,,kama sio ujio wa putini,hata russia ingeshakuwa vinchi vidogo vidogo,
US anataka akutawale ndo muishi kwa amani,
South korea ina majeshi ya marekani,
Germany pia,japan pia,
Hizi nchi kiuchumi ziko vizuri na hazishindwi kujilinda,,lakini majeshi ya marekani,tangu viishe vita vya pili vya dunia hayajatoka,kifupi hizi nchi ni koloni la US,,haziko huru kwa asilimia 100.
Sasa warusi ni watu wako very nationalistic,,hawakubali hiyo
Bora hawa kuliko serikali yako iliyo na kipao mbele cha kuua upinzani.kawaida yao hawa kipaumbele chao ni silaha tu
Aleyekwambia ubepari ni unyinyaji pekee ni nani,Marekani wameanza kuzivamia nchi nyingine baada ya kuwa na nguvu ya kiuchumi na kijeshi,wangekuwa dhaifu wangemnyonya nani??..Marekani wali invest kwenye brain toka nchi inazaliwa,watu wakawa na mawazo huru kufikiri na kugundua chochote wanachokitaka with full government support na mazingira pia..Top 20 ya vyuo bora duniani vingi vinatoka Marekani,na ni mavyuo ya zamani kana Yale,Stanform,MIT n.k.Unafirki hii ni bahati mbaya?.No,wali invest katika akili za watu,na hii ni faida moja wapo ya ubepari watu hamtaki ku admit,.Ubepari unaruhusu mawazo huru na ugunduzi huru na umiliki pia..Ndio maaana hata Mchina aliona Marekani ni sehemu sahihi kupata mfano akaanza kupeleka wachina wakasoma USA na kupata exposure na maarifa ya kibepari then wanakuja China kuyatumia mawazo hayo na uwezo waliopata marekani..Sayansi yote ya wachina Mentor wake ni marekani.Unafkiri wachina ni wajinga kuiga marekani?.Kwa nini wasiige Russia au kwa Wacommunists wenzake?..Angalia nchi kama South Korea,miaka ya 60s walikuwa kama sisi,ila baada ya ku adopt mifumo ya kimarekani,nchi ipo kama ilivyo sasa hivi,very innovative.Cheki wajapan,walipo sasa,huwezi sema ndio walipigwa bomu mwaka 45,hii ni baada ya kuiruhusu marekani kuwa mentor wake..Kuna mifano kibao sana tu,.Hizi akili za kusema eti ubepari ni kunyonya tuu nchi masikini ni mawazo ya ajabu sana,.Ubepari una faida zake nzuri sana tu,na hasara pia zipo.Kama ilivyo mifumo mingine.Ila tusikaririshwe tu eti ubepari ni unyonyaji..NO.wewe mwenyewe unaonekana ndio mchawi, kwanza unaonekana huelewa wako ni finyu katika siasa na mambo ya kiuchumi ya dunia ndio mahana unadhani maendeleo ya USA yamepatikana eti kisa wanajituma na kufanya kazi kwa bidii.
Kitu usichokijua ni kwamba marekani ni nchi ya kibepari uchumi wao kwa kiasi kikubwa umetokana na unyonyaji wa rasilimali za nchi nyingine, huku wakitumia silaha ya kuwawekea vikwazo mataifa yale wanayoisi uchumi wao unakua na yanaweza kua mshindani kwao, na hii ni mbinu anayoitumia ili yeye abaki kama super power.
Marekani ndio nchi hapa duniani inayohongoza kwa kutumia jeshi kujenga uchumi wake, na hii ndio sababu wanawekeza sana kwenye jeshi lao, walitumia propaganda kuhiaminisha dunia kua iraki wanamiliki silaha za nyukilia kisha kuivamia iraki bila idhini ya UN, kumbe lengo lao ilikua ni kuchukua mafuta, kwa ufupi tu inabidi ujifunze side B ya marekani na sio unakomaa na side A ambayo ndio wanataka kuwahaminisha watu kupitia propaganda zao
Wambie huenda wakaelewa ila wengine ni wagumu sana kuelewa ukichanganya na imani kali za kidini zisizoruhusu reason kutawala.Aleyekwambia ubepari ni unyinyaji pekee ni nani,Marekani wameanza kuzivamia nchi nyingine baada ya kuwa na nguvu ya kiuchumi na kijeshi,wangekuwa dhaifu wangemnyonya nani??..Marekani wali invest kwenye brain toka nchi inazaliwa,watu wakawa na mawazo huru kufikiri na kugundua chochote wanachokitaka with full government support na mazingira pia..Top 20 ya vyuo bora duniani vingi vinatoka Marekani,na ni mavyuo ya zamani kana Yale,Stanform,MIT n.k.Unafirki hii ni bahati mbaya?.No,wali invest katika akili za watu,na hii ni faida moja wapo ya ubepari watu hamtaki ku admit,.Ubepari unaruhusu mawazo huru na ugunduzi huru na umiliki pia..Ndio maaana hata Mchina aliona Marekani ni sehemu sahihi kupata mfano akaanza kupeleka wachina wakasoma USA na kupata exposure na maarifa ya kibepari then wanakuja China kuyatumia mawazo hayo na uwezo waliopata marekani..Sayansi yote ya wachina Mentor wake ni marekani.Unafkiri wachina ni wajinga kuiga marekani?.Kwa nini wasiige Russia au kwa Wacommunists wenzake?..Angalia nchi kama South Korea,miaka ya 60s walikuwa kama sisi,ila baada ya ku adopt mifumo ya kimarekani,nchi ipo kama ilivyo sasa hivi,very innovative.Cheki wajapan,walipo sasa,huwezi sema ndio walipigwa bomu mwaka 45,hii ni baada ya kuiruhusu marekani kuwa mentor wake..Kuna mifano kibao sana tu,.Hizi akili za kusema eti ubepari ni kunyonya tuu nchi masikini ni mawazo ya ajabu sana,.Ubepari una faida zake nzuri sana tu,na hasara pia zipo.Kama ilivyo mifumo mingine.Ila tusikaririshwe tu eti ubepari ni unyonyaji..NO.
Communism is against human nature,hata wao ni wanafiki tu,najua in real life wanaishi kibepari...Wambie huenda wakaelewa ila wengine ni wagumu sana kuelewa ukichanganya na imani kali za kidini zisizoruhusu reason kutawala.
Watu wanaishi leo lkn bado wamekumbatia mawazo ya karne ya saba kabla hata haijajulikana kama mababu wa mababu zao watakuja ktk dunia hii. Very astonishing.
Kwa hiyo wewe unapingana Na serikali yetu kuhusu msimamo wetu kuhusu ubepariAleyekwambia ubepari ni unyinyaji pekee ni nani,Marekani wameanza kuzivamia nchi nyingine baada ya kuwa na nguvu ya kiuchumi na kijeshi,wangekuwa dhaifu wangemnyonya nani??..Marekani wali invest kwenye brain toka nchi inazaliwa,watu wakawa na mawazo huru kufikiri na kugundua chochote wanachokitaka with full government support na mazingira pia..Top 20 ya vyuo bora duniani vingi vinatoka Marekani,na ni mavyuo ya zamani kana Yale,Stanform,MIT n.k.Unafirki hii ni bahati mbaya?.No,wali invest katika akili za watu,na hii ni faida moja wapo ya ubepari watu hamtaki ku admit,.Ubepari unaruhusu mawazo huru na ugunduzi huru na umiliki pia..Ndio maaana hata Mchina aliona Marekani ni sehemu sahihi kupata mfano akaanza kupeleka wachina wakasoma USA na kupata exposure na maarifa ya kibepari then wanakuja China kuyatumia mawazo hayo na uwezo waliopata marekani..Sayansi yote ya wachina Mentor wake ni marekani.Unafkiri wachina ni wajinga kuiga marekani?.Kwa nini wasiige Russia au kwa Wacommunists wenzake?..Angalia nchi kama South Korea,miaka ya 60s walikuwa kama sisi,ila baada ya ku adopt mifumo ya kimarekani,nchi ipo kama ilivyo sasa hivi,very innovative.Cheki wajapan,walipo sasa,huwezi sema ndio walipigwa bomu mwaka 45,hii ni baada ya kuiruhusu marekani kuwa mentor wake..Kuna mifano kibao sana tu,.Hizi akili za kusema eti ubepari ni kunyonya tuu nchi masikini ni mawazo ya ajabu sana,.Ubepari una faida zake nzuri sana tu,na hasara pia zipo.Kama ilivyo mifumo mingine.Ila tusikaririshwe tu eti ubepari ni unyonyaji..NO.
😀 😀 .Sipingani mkuu ila I am certain kwamba viongozi wote wa serikali ni mabepari halisi,achana na maneno yao ya mdomoni,Kwa hiyo wewe unapingana Na serikali yetu kuhusu msimamo wetu kuhusu ubepari
😀 😀 .Sipingani mkuu ila I am certain kwamba viongozi wote wa serikali ni mabepari halisi,achana na maneno yao ya mdomoni,
😀 😀 😀 Najua hawako serious,acha wao wawapondee mabeberu tu..msimamo wa nchi ni kwamba mabeberu na ubepari ni maadui wakubwa hawatakiwi kusifiwa au kuusifu ubepari
Canada,USA na Australia mbona ni mabara kabisa lakini yanapitwa na vinchi mji kama Luxembourg, Singapore na nchi ndogo kama Switzerland?!!
Nijibu hapo kwanza tuendelee na mjadala
Uko sahihi mkuu, Urusi inatakiwa iwe inachuana na Marekani kwenye kila nyanja muhimu ikiwemo kiuchumi ili kuweka mizani sawa,asiwepo mwenye nguvu mmoja.
Ila cha ajabu wamepokonywa hiyo nafasi na China, ila kwenye kutumia rasilimali zao vizuri wamejitahidi sana maana wamezua sana gesi huko Ulaya magharibi na imewatajirisha sana.
Hi sio mada ya kiuchumi,acha kupindisha mada isiyo yako,jikite kwenye mada halisi.usitutoe nje ya mstari.Russia nchi kubwa namna hiyo sio sahihi kabisa wazidiwe kiuchumi na nchi nyingi za magharibi, sio haki kabisa.
Wajitizame na wajitathmini vizuri waangalie kama kweli watu wenye tamaa ya madaraka kama Putin kweli wana uhalali wa kuitawala nchi kama Russia.
Russia ndio nchi ya kwanza duniani kwa kuwa na rasilimali nyingi za asili lkn eti inazidiwa kiuchumi na China nchi ambayo inategemea zaidi Intellectual Property Theft kunyanyua uchumi wake...!!!
Kwa rasilimali walizonazo na Technical Know-how, walitarajiwa wawe namba mbili nyuma ya Marekani, hiyo ndiyo ilipashwa iwe position halali ya Russia kiuchumi lkn kwa kuwa na watawala wasiojua vipaumbele stahiki ndio maana wapo hapo walipo leo hii.
Kuhakikisha CCM inashinda hata kwa goli la mkono.Wewe taifa lenu kipaumbele chenu cha maana ni kipi ..?
Beans Utamu huyo jamaa sio mkurupukaji tu,Bali kaharibiwa na sinema za akina Stallone,Van Damme,Chuck Noris,Anold Schwarznegger,Bruce Wills,Will Smith.etchahaha usimwite KILAZA bana MKUU ila jamaa anaonesha nimkurupukaji sana
Ha ha haaa Hearly bana.Kuna watu wana kera sometimes... Haya nimetengua kauli yangu...anisamehe
hhh khatar sana kmbe kaharibiwanna cinema eeeeh....Beans Utamu huyo jamaa sio mkurupukaji tu,Bali kaharibiwa na sinema za akina Stallone,Van Damme,Chuck Noris,Anold Schwarznegger,Bruce Wills,Will Smith.etc
Jamaa akikaa kwenye makochi tangu asubuhi anawacheki tu aiina Rambo wanavyolipua kambi za Wavietnam,Watalaban na warusi lol anaona Hakuna Kama wao.
Ha ha haaa Simba bingwa 2020 bwana.
Hivi wewe alokuambia warusi wanasota Ni Nani?Uchumi wa Tanzania unamilikiwa na watu wangapi na lini hizo rasilimali nyingi za Russia zitakuwa utilized na wanasubiri nini wasizi-utilize leo hadi wanasota hivyo.