Aleyekwambia ubepari ni unyinyaji pekee ni nani,Marekani wameanza kuzivamia nchi nyingine baada ya kuwa na nguvu ya kiuchumi na kijeshi,wangekuwa dhaifu wangemnyonya nani??..Marekani wali invest kwenye brain toka nchi inazaliwa,watu wakawa na mawazo huru kufikiri na kugundua chochote wanachokitaka with full government support na mazingira pia..Top 20 ya vyuo bora duniani vingi vinatoka Marekani,na ni mavyuo ya zamani kana Yale,Stanform,MIT n.k.Unafirki hii ni bahati mbaya?.No,wali invest katika akili za watu,na hii ni faida moja wapo ya ubepari watu hamtaki ku admit,.Ubepari unaruhusu mawazo huru na ugunduzi huru na umiliki pia..Ndio maaana hata Mchina aliona Marekani ni sehemu sahihi kupata mfano akaanza kupeleka wachina wakasoma USA na kupata exposure na maarifa ya kibepari then wanakuja China kuyatumia mawazo hayo na uwezo waliopata marekani..Sayansi yote ya wachina Mentor wake ni marekani.Unafkiri wachina ni wajinga kuiga marekani?.Kwa nini wasiige Russia au kwa Wacommunists wenzake?..Angalia nchi kama South Korea,miaka ya 60s walikuwa kama sisi,ila baada ya ku adopt mifumo ya kimarekani,nchi ipo kama ilivyo sasa hivi,very innovative.Cheki wajapan,walipo sasa,huwezi sema ndio walipigwa bomu mwaka 45,hii ni baada ya kuiruhusu marekani kuwa mentor wake..Kuna mifano kibao sana tu,.Hizi akili za kusema eti ubepari ni kunyonya tuu nchi masikini ni mawazo ya ajabu sana,.Ubepari una faida zake nzuri sana tu,na hasara pia zipo.Kama ilivyo mifumo mingine.Ila tusikaririshwe tu eti ubepari ni unyonyaji..NO.