Habari kutoka ubeligiji zimethibitisha Panya wa kitanzania aliyekuwa anasaidia kutegua mabomu ya ardhini huko nchini Cambodia amefariki dunia
Chanzo cha habari ni BBC Dira ya dunia ya tarehe 11/01/2022
Panya huyo wa kitanzania amewahi tunukiwa medali maalum ya haki za binadamu ya nchini uingereza
Shirika maalum la misaada la Nchini ubeligiji limethibitisha kutokea kwa kifo cha Panya huyo wa kitanzania aitwaye Magawa
Panya Magawa aliweza kupata mafunzo mbalimbali kutoka Shirika la misaada la Nchini ubeligiji
Panya Magawa aliweza kutegua mabomu zaidi ya mia moja Nchini Cambodia
Sina hakika kama mwili wa Panya Magawa utasafirishwa kurudi Tanzania au ndio utahifadhiwa kwenye makumbusho huko ulaya