Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimuonee donge Hayati Magawa yoote hayo ni kwa juhudi za upeo wake wa kufikiri na kiutendajiWatanzania wengi wanakosa huduma za kijamii lakini kuna fungu la kuwatunza Hawa panya hadi uzeeni. Hii si sawa kabisa yani mnatunukia panya nishan ya dhahabu kweli?
Fakin' rodent!
Kumbe ni ndezi!akiwa na uzani wa KG 1.2 na urefu wa Sentimita 70
Teh teh teh...😂😂😂....kweli hizi habari zimewagusa sana...Marehemu nilisoma naye hyu ..UD pale .
alikuwa mtu poa sana
sikua na mood ya kucheka Leo ila Kwa hapa uvumilivu umenishinda,wewe Maghayo ni mkolofi Sana Aisee!
Shutup black shwain
Kutegua tena [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Panya wa kiume kutoka Tanzania, Magawa ambaye mwaka 2020 alitunukiwa nishani ya dhahabu kutokana na uwezo wake wa kubaini mabomu ya kutegwa ardhini nchini Cambodia, amekufa akiwa ni panya Mzee mwenye umri wa miaka minane ambao ni umri mkubwa kwa panya.
Mwezi November mwaka jana Magawa alitimiza umri wa miaka minane na alistaafu pia mwaka jana kutokana na uzee wake kwakuwa alianza kupunguza kasi ya kutegua mabomu.
Magawa alizaliwa Tanzania November 5,2014 akiwa na uzani wa KG 1.2 na urefu wa Sentimita 70 na hadi anakufa amenusa mabomu na silaha nyingine zaidi ya 100.
Magawa amefia nchini Cambodia kwakuwa baada ya kustaafu hakurejeshwa Tanzania na amekufa usiku wa kuamkia Jumapili ya juzi.
General MAGAWA ameshazikwa huko Cambodia.Huyo Panya afanyiwe mazishi ya heshima kwa mchango wake alioutoa kwa jamii enzi za uhai wake,kama vile mazishi wanayofanyiwa Mbwa wa Polisi huko mambele.