Panya Road achomwa moto Manzese

Panya Road achomwa moto Manzese

KUCHUKUA SHERIA MKONONI HAIJAANZA LEO WALA JANA
KUNA WATU AMBAO NI WATUKUTU NA WATU WA MATUKIO KUNA WAKATI INAFIKA JAMII INAWACHOKA,SERIKALI INAWACHOKA...SOLUTION YAO NI MOJA KUWAONDOA DUNIANI
HAYA MATUKIO YA KUWAONDOA YANAFANYIKAGA SANA,SIKU RAIA WAKIAMUA NA KWA TAARIFA YAKO RAIA HAWAAMUI TU WAO,KUNA BARAKA WANAPEWA TOKA JUU

KUNA WAKATI FULANI KUNA WAKABAJI AMBAO WALIKUWA WANASUMBUA SANA SEHEMU ZA KINONDONI,NAKUMBUKA WALIPEWA
ONYO SANA MPAKA KWA WAZAZ WAO WAWAKANYE WATOTO ZAO WAACHE...LAKN MWISHONI WATOTO
WALE WALIKUWA WANAJIFANYA MANUNDA HAWASIKI
KUNA TEAM ILIPITA MAKWAO NA KUWACHKUA MKONONI MWA WAZAZ WAO WENGINE WAKIWA MAGHETONI MWAO
WALIPELEKWA BIAFRA UWANJANI PEMBENI,WALIPIGWA NA KUMALIZWA WOTE HAPO HAPO

OVA
Nimekaa kinondoni B, MANYANYA, toka 1998. Kulikuwa na wezi wengi kweli wengine nawakumbuka sua tu nishawasahau akina Kindingondigo, IDDY Boy etc.
nilichoandika sio kila mtu anaelewa, kuna dogo alikuwa ametoka kibaha yuko site, baada ya kuona foleni akaona bora arudi site maana akienda kibaha atachelewa kufika na atachelewa kuja site. Akiwa njiani anarudi akakutana na sungusungu wakampiga wakimshutumu kuwa ni mwizi kwa nini azunguke usiku. Dogo hakuwa mwizi wala hakukutwa anaiba baadae akawapa elfu 10 wakamuachia. .
Hakuna mtu anayependa wezi na hakuna mtu anapenda kuibiwa ila sasa ili kulinda sheria zikatungwa watu wazifuate mtu anakuwa na hatia na mahakama. .

Tuachane na mambo ya wezi, toka nihamie manzese nimegundua watu wa manzese na wa kinondoni wana tofauti kubwa na miss sana kurudi Kino. Watu niliosoma nao wengi waliahama na wako mbali, nilipiga Kumbu Kumbu hapo. .
 
Kuna jambo la kusikitisha sana ambalo limenifanya niwaze sana mda huu. Jioni hii saa moja kuna kijana ambaye ni panya road amechomwa moto barabara ya kutokea sweet corner kuelekea Manzese darajani (karibu na machine za kusaga). Kijana huyo ambaye alimpora mtu Hkwa kutumia silaha amepigwa na kuchomwa moto.
Hivi kila kibaka ni Panya Road?
 
wewe unajua damage ya panya Road ama unakuja kuandika hapa?
Hayajamkuta huyu ,anaandika nadharia ,mtu usiyejua utashawishika Mimi vibaka nawachukia sana ,eti jamaa anadai mtu anachomwa sababu ya nguo moja, kauli dhaifu sana hawa panya rod wanakuua kwa sababu ya elfu kumi ,hilo hulion ndio maana tuna wasiwasi jamaa aliyetoa Uzi ni panya rod.wanakuchinja kwa sababu ya simu tuu aroooo
 
Kifo cha mwanadamu sio jambo la kufurahia kwa sababu hakuna chenye thamani kama uhai wa mtu...japo wezi ni watu wanaorudisha nyuma sana maendeleo,kuna wezi waliniibia system ya wirring nyumba nzima,thamani yake kwa wakati huo ilikua 2M +,mpk leo nina hasira nao sana wezi.
 
Kuna muda sheria huwa haifai kutumika..KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI
 
Habari za Jioni,

Kuna jambo la kusikitisha sana ambalo limenifanya niwaze sana mda huu. Jioni hii saa moja kuna kijana ambaye ni panya road amechomwa moto barabara ya kutokea sweet corner kuelekea Manzese darajani (karibu na machine za kusaga). Kijana huyo ambaye alimpora mtu kwa kutumia silaha amepigwa na kuchomwa moto.

Kilichonisikitisha ni kuwa sikutegemea kama kuna watu wenye hulka za kuchukua sheria mkononi. Hii nchi ina mfumo wa sheria na hakuna mtu ambaye yuko juu ya sheria, leo hii wamemuua kijana wa watu inakuwaje kesho wakamuua mtu mwingine ambaye anashukiwa tu kuwa ni mwizi. Serikali, wadau wa haki za binadamu na jeshi la polisi linatakiwa liangalie hili suala kwa jicho la tatu.

Nakumbuka kuna kijana nilisoma nae form two alikuwa anaitwa James Nyoni, huyu kijana alikuwa anapenda maisha mazuri tu ya kujionyesha onyesha. Nakumbuka alichukua pamba za mtu gheto akazitinga jamaa mwenye pamba zake akakutana nae mitaa ya Ubungo.

Ilikuwa mwaka 2010, yule mwenye pamba akamwitia rafiki yake mwizi na watu walimpiga na kumchoma James Nyoni moto. Hili ni moja ya tukio ambalo liliniachia simanzi kubwa sana kwa sababu ya nguo jamaa akachomwa moto.

I am very sad about this. We are not savages we are real people and we should be civilized. People should not take the law at their own hands, and tonight I believe Panya Road will retaliate. My house is in the street of Manzese no one will be safe, begging the Police and the street watchmen to guard the innocent people and their families.
Umeandika ushuzi.. huu uzi unanuka
 
mkuu ngoja siku wavamie kwenu wabake na kukata watu mikono hlf urudi tena hapa
 
Walinizama hapa home wakaiba
TV
Radio
Pesa
Nguo za watoto na wife,
Magodoro na vi suti vyangu vya mtumba wakapita navyo

Waauwawe tu no way out
 
Back
Top Bottom