Panya Road achomwa moto Manzese

Nimekaa kinondoni B, MANYANYA, toka 1998. Kulikuwa na wezi wengi kweli wengine nawakumbuka sua tu nishawasahau akina Kindingondigo, IDDY Boy etc.
nilichoandika sio kila mtu anaelewa, kuna dogo alikuwa ametoka kibaha yuko site, baada ya kuona foleni akaona bora arudi site maana akienda kibaha atachelewa kufika na atachelewa kuja site. Akiwa njiani anarudi akakutana na sungusungu wakampiga wakimshutumu kuwa ni mwizi kwa nini azunguke usiku. Dogo hakuwa mwizi wala hakukutwa anaiba baadae akawapa elfu 10 wakamuachia. .
Hakuna mtu anayependa wezi na hakuna mtu anapenda kuibiwa ila sasa ili kulinda sheria zikatungwa watu wazifuate mtu anakuwa na hatia na mahakama. .

Tuachane na mambo ya wezi, toka nihamie manzese nimegundua watu wa manzese na wa kinondoni wana tofauti kubwa na miss sana kurudi Kino. Watu niliosoma nao wengi waliahama na wako mbali, nilipiga Kumbu Kumbu hapo. .
 
Hivi kila kibaka ni Panya Road?
 
wewe unajua damage ya panya Road ama unakuja kuandika hapa?
Hayajamkuta huyu ,anaandika nadharia ,mtu usiyejua utashawishika Mimi vibaka nawachukia sana ,eti jamaa anadai mtu anachomwa sababu ya nguo moja, kauli dhaifu sana hawa panya rod wanakuua kwa sababu ya elfu kumi ,hilo hulion ndio maana tuna wasiwasi jamaa aliyetoa Uzi ni panya rod.wanakuchinja kwa sababu ya simu tuu aroooo
 
Kifo cha mwanadamu sio jambo la kufurahia kwa sababu hakuna chenye thamani kama uhai wa mtu...japo wezi ni watu wanaorudisha nyuma sana maendeleo,kuna wezi waliniibia system ya wirring nyumba nzima,thamani yake kwa wakati huo ilikua 2M +,mpk leo nina hasira nao sana wezi.
 
Kuna muda sheria huwa haifai kutumika..KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI
 
Umeandika ushuzi.. huu uzi unanuka
 
mkuu ngoja siku wavamie kwenu wabake na kukata watu mikono hlf urudi tena hapa
 
Walinizama hapa home wakaiba
TV
Radio
Pesa
Nguo za watoto na wife,
Magodoro na vi suti vyangu vya mtumba wakapita navyo

Waauwawe tu no way out
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…