Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Hali kwa sasa ishakuwa Tete leo majira ya saa Saba usiku kundi la vijana wapatao 50 wamejeruhi watu watatu nakuiba pesa na Mali Kama tv halI ya majeruhi n mbaya Sana wapo temeke hospitali.
Tunaomba serikali iwape nguvu Zaid jeshi la polisi na mgambo kwa vifaa na ujuz pia.
Huku tozo huku wizi Mali huku kifo au kujeruhiwa kiukwel tumebanwa Sana hatuna jinsi serikali lifanyeni hili Jambo liwe la dharula jamani.
Pia mh Rais ikikupendeza tumbua mkuu wa mkoa kwani inaonekana kazi ndiyo imemshinda kabisa