Panya Road waiba na kujeruhi Kilungule Mbagala

Panya Road waiba na kujeruhi Kilungule Mbagala

Haswa kabisa wapelekwe Russia [emoji635] kwa Putin wamsaidie kuwateketeza mashoga walahi
 
Hawa vijana wa kuitwa panyard ni watoto wetu, ndugu zetu, jirani zetu nk

Tusipowathibiti hawa panyaroad tutazalisha kundi haramu kama mungiki

Na natamani hawa vijana wakamatwe kisha watoe taarifa kuhusu mikoa, wilaya, mitaa familia walimotokea, wazazi baba na mama n.k

Hawa vijana walizaliwa sawa tuu kama watoto wengine ila kwa wingi wao katika matukio ya uhalifu lazima kuna sehemu sisi tuliowaleta duniani na jamii kwa ujumla tunakosea

Tuanze kwa kuwatafuta mababa na wamama, wajomba, mashangazi, bibi na babu wa hawa panyaroad tunaweza tukapata chanzo na suluhu ya kudumu.
Hii comment, mh! Ukishampata Baba, Mama na Bibi ukawaona wana maisha magumu hata chakula hawana utatatuaje tatizo?
 
Hii comment, mh! Ukishampata Baba, Mama na Bibi ukawaona wana maisha magumu hata chakula hawana utatatuaje tatizo?

Kila mwenye maisha magumu ni mhalifu? Au je, kila mhalifu/jambazi/kibaka ni matokeo ya maisha magumu?

Na kama ndivyo hayo maisha magumu yanayoplekea watoto kuwa panyaroad ni ya level ipi? Na tunayapimaje?
 
Hao lazima wafanye hivyo mungu aliumba watu WABAYA kwa ajili ya siku mbaya sahivi ni siku mbaya Sana Dares salaam imejaa laana kali Sana inafikia kipindi watu katika vyombo vya usafiri wanazini, Roho mbaya , watu wanabakana, kulawitiana, kufanya vitu vya ajabu ajabu sio kwamba serikali haioni serikali I naona Sana ila kwanza wacha adhabu itolewe baadae maovu yakipungua na panya road watapungua wenyewe bila kutumia nguvu
 
Kila mwenye maisha magumu ni mhalifu? Au je, kila mhalifu/jambazi/kibaka ni matokeo ya maisha magumu?

Na kama ndivyo hayo maisha magumu yanayoplekea watoto kuwa panyaroad ni ya level ipi? Na tunayapimaje?

The best thing to do in this country is, no collective responsibility, mind your own business!
 
Wanakamatwa then utasikia sijui dhamana !.

Hao ni kupiga chuma kuchoma moto kabisa sio binadamu wanakula mavalium, bangi, ugoro kubust wawe na roho ngumu kwa kweli hao watoto kukamata na kupiga kinyama.
 
The best thing to do in this country is, no collective responsibility, mind your own business!

Utamind your own business wakati halijakufika ila pale utakapoletewa habari kwamba panyaroad wamemuua mwanao, mke, mzazi.....ukakaa msiba, ukazika na kubaki pengo lisilozibika utawaza tofauti
 
Utamind your own business wakati halijakufika ila pale utakapoletewa habari kwamba panyaroad wamemuua mwanao, mke, mzazi.....ukakaa msiba, ukazika na kubaki pengo lisilozibika utawaza tofauti
Dawa ni kuwangoa tu

Na hii kuwangoa ikitumika inaletaga sana majibu

Nakumbuka wakati rpc gewe,enzi za TZR aliwapunguza sana wahalifu
Kwa style hii
We unaona mhalifu kahukumiwa miaka 30 jela miezi 2 katoka,anatokaje jela 'jiulize'
Na akitoka anaendelea na uhalifu
Sasa mtu kama huyo ni kumfanyaje
Ni kumngoa tu

Ova
 
😑😑😑
 
Halafu mbona mnawaita panya road, si mseme vibaka.
 
Hakuna aliyesalama ni swala la mda tu! Simba akishaonja nyama ya binadamu huwa aachi na huwa anajiongeza zaidi maarifa ya kuitafuta, njia pekee kulimaliza hilo mapema kabla ya simba huyo kuwafundisha mawindo hayo kwa wanae ni KUUA huyo simba.

Watoto wameshaonja utamu wa kuvunja na kupora na mission yao accomplished kifatacho ni kujiupgrade na kufanya makubwa zaidi hapo ndipo kila mtu atashtuka lakini mda utakuwa umekwisha.
 
Hawa watoto nadhani watu wanaadithiwa tu ...Hawa ni watoto nunda hasa wasioogopa chochote na wanaweza mfanya mtu kitu chochote. Hawana chakupoteza na wakipelekwa polisi wanajua wataingia nakutoka...hizo kauli za mkuu wa mkoa kumwaga askari 300 kwao wazichekelea tu.. nidhahiri polisi wameshindwa kwa miaka Mingi panya road wamekuwepo na wamekuwa wakitulia na kurudi ..itafika miaka huko mbele tunatengeneza vijana tishio kwa taifa....wamekosa tu silaha za moto ..wakiwezeshwa tutatengeneza uasi mkubwa sana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom