Tatizo ni
Jamii
Hii ndo huwalea, inawajua kabisa, inajua magenge yote ya bangi, haina ushirikiano na polisi,
Wanasiasa na wanaharakati
Panyaroad wakiumiza watu wanasiasa wataongea ili serikali ionekane vibaya, Wanaharakati watakuwa kimyaaa
Panyaroad wakiumizwa, wanaharakati wanasema haki za binadamu hazijafuatwa, wanasiasa nao watasema haki haijatendeka
Polisi
Lawama zatupiwa polisi ila polisi kisheria sio mahakama, yeye kazi yake kukamata tu, wengi wao ni watoto wadogo, hivyo inakuwa kazi kuwatunza polisi au magerezani