Sababu ya CCM, mnawaza ma V8Hatari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu ya CCM, mnawaza ma V8Hatari
CCM wameshindwa kazi ya kuongoza nchi, nchi inaenda mramaHali kwa sasa ishakuwa Tete leo majira ya saa Saba usiku kundi la vijana wapatao 50 wamejeruhi watu watatu nakuiba pesa na Mali Kama tv halI ya majeruhi n mbaya Sana wapo temeke hospitali.
Tunaomba serikali iwape nguvu Zaid jeshi la polisi na mgambo kwa vifaa na ujuz pia.
Huku tozo huku wizi Mali huku kifo au kujeruhiwa kiukwel tumebanwa Sana hatuna jinsi serikali lifanyeni hili Jambo liwe la dharula jamani.
Pia mh Rais ikikupendeza tumbua mkuu wa mkoa kwani inaonekana kazi ndiyo imemshinda kabisa
Hapo ufipa st mko salama?Sababu ya CCM, mnawaza ma V8
Tutawaua na kuwaponda ponda maana sisi tuna Mungu nyinyi mna Jiwe shetani anawaongozaHapo ufipa st mko salama?
Yule ambaye amethibitishwa UAHaya matoto yanajulikana kamateni mmoja apewe kifinyo atawaongoza maskani yao wote.Then waueni wote.Wanajeshi nawakubali sana wakiibiwa wanakamata mwizi mmoja tu ila mtatajana wote.
Jeshi la Wananchi la nini kwa vitoto visivyokua hata na gobole!? Police bado hawajaamua ku deal na hivyo vi panya road perpendicular!!!Jeshi la wananchi liingie kazini siku 3 za toshasaa hata 10 doria
Tatizo la hao vijana wa JKT wao wakijua hiyo Nyumba anaishi panya road,huwa wanapiga Nyumba nzima hadi vikongwe wasipopata ushirikiano!!Wale vijana wa jkt walioko mtaani bika ajira wangerudishwa camp kama wiki hivi halafu waingizwe mtaani hata wiki aifiki panya road itakua historia,miaka ya nyuma nasikia jkt walikua wanapiga kazi hizo za mitaani
Dar bila Makonda haiwezi kamwe kuwa salama, Makala keshaota kitambi hana muda wa kukimbiza panya, Samia tuletee Bashite wetu ashike usukaniHali kwa sasa ishakuwa Tete leo majira ya saa Saba usiku kundi la vijana wapatao 50 wamejeruhi watu watatu nakuiba pesa na Mali Kama tv halI ya majeruhi n mbaya Sana wapo temeke hospitali.
Tunaomba serikali iwape nguvu Zaid jeshi la polisi na mgambo kwa vifaa na ujuz pia.
Huku tozo huku wizi Mali huku kifo au kujeruhiwa kiukwel tumebanwa Sana hatuna jinsi serikali lifanyeni hili Jambo liwe la dharula jamani.
Pia mh Rais ikikupendeza tumbua mkuu wa mkoa kwani inaonekana kazi ndiyo imemshinda kabisa
Yupo likizoHivi kamanda Muliro aliondolewa pamoja na Siro? Hasikiki kabisa siku hizi.🤔
Polisi wanaogopa kutumia nguvu, wanalinda vibalua vyao.Dah! naona polisi wamezidiwa strategy........sijui nani sasa wapewe jukumu hilo, au tuache iwe freestyle.