Panya Road waiba na kujeruhi Kilungule Mbagala

Panya Road waiba na kujeruhi Kilungule Mbagala

Hawa vijana wa kuitwa panyard ni watoto wetu, ndugu zetu, jirani zetu nk

Tusipowathibiti hawa panyaroad tutazalisha kundi haramu kama mungiki

Na natamani hawa vijana wakamatwe kisha watoe taarifa kuhusu mikoa, wilaya, mitaa familia walimotokea, wazazi baba na mama n.k

Hawa vijana walizaliwa sawa tuu kama watoto wengine ila kwa wingi wao katika matukio ya uhalifu lazima kuna sehemu sisi tuliowaleta duniani na jamii kwa ujumla tunakosea

Tuanze kwa kuwatafuta mababa na wamama, wajomba, mashangazi, bibi na babu wa hawa panyaroad tunaweza tukapata chanzo na suluhu ya kudumu.
Dawa ni kuwaua mama D wazazi hawana makosa watoto wenyewe wameshindikana
 
Yaani serikali itusaidie kwakweli wanaume wa dar tumekuwa hatuna amani kisa hivi vitoto yaani sahivi nimehamishia kopo la kukojolea ndani kwangu
Naogopa kutoka nje usiku

Yaani hata kuangalia tamthilia usiku nashindwa naogopa wasije sikia sauti

Piga kelele kwa polisi wake weuweeee

Eti shoga angu mawardat kuna tamthilia gani nzuri sahivi
 
Shida inaanzia POLISI kwenyewe hawa watoto wakikamatwa baada ya siku 3 wanakuwa uraiani yaani POLISI imekuwa njia ya kupitia Tu...
kama wangekuwa wanafungwa wasingekuwepo mtaani
Umeona khe!!! Hao ni wale wale Kuna kipindi walikuwa wanaosha magari eti wameacha na wanajulika hapo walishatia watu vilema wamekaa wiki kadhaa eti washajifunza adabu wameachiwa kwa nn tabia isiendelee ??

Hawa kuwanyonga tu.
 
Hawa panyaroad hawana hofu kabisa pamoja na kauli ya RC kuwataka waache uhalifu la sivyo watakutwa kituo cha polisi au hospitali
Nazana panya road ni ujumbe kwa watawala, ndiyo maana hata Makala kakoroma lakini wao wamemjibu kikazi, inamaana bado ujumbe wao haujasomeka, na wanataka usomeke!!
 
Yaani serikali itusaidie kwakweli wanaume wa dar tumekuwa hatuna amani kisa hivi vitoto yaani sahivi nimehamishia kopo la kukojolea ndani kwangu
Naogopa kutoka nje usiku

Yaani hata kuangalia tamthilia usiku nashindwa naogopa wasije sikia sauti

Piga kelele kwa polisi wake weuweeee

Eti shoga angu mawardat kuna tamthilia gani nzuri sahivi
🤣🤣🤣🤣🤣 wanaume wa Dar
 
Wavulana wa Dar [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom