Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii comment, mh! Ukishampata Baba, Mama na Bibi ukawaona wana maisha magumu hata chakula hawana utatatuaje tatizo?Hawa vijana wa kuitwa panyard ni watoto wetu, ndugu zetu, jirani zetu nk
Tusipowathibiti hawa panyaroad tutazalisha kundi haramu kama mungiki
Na natamani hawa vijana wakamatwe kisha watoe taarifa kuhusu mikoa, wilaya, mitaa familia walimotokea, wazazi baba na mama n.k
Hawa vijana walizaliwa sawa tuu kama watoto wengine ila kwa wingi wao katika matukio ya uhalifu lazima kuna sehemu sisi tuliowaleta duniani na jamii kwa ujumla tunakosea
Tuanze kwa kuwatafuta mababa na wamama, wajomba, mashangazi, bibi na babu wa hawa panyaroad tunaweza tukapata chanzo na suluhu ya kudumu.
WanajeshiHivi wale waliokomesha mauaji ya kule pande za Kibiti, Mkuranga........walikuwa wanajeshi au police?
Hii comment, mh! Ukishampata Baba, Mama na Bibi ukawaona wana maisha magumu hata chakula hawana utatatuaje tatizo?
Kila mwenye maisha magumu ni mhalifu? Au je, kila mhalifu/jambazi/kibaka ni matokeo ya maisha magumu?
Na kama ndivyo hayo maisha magumu yanayoplekea watoto kuwa panyaroad ni ya level ipi? Na tunayapimaje?
The best thing to do in this country is, no collective responsibility, mind your own business!
Dawa ni kuwangoa tuUtamind your own business wakati halijakufika ila pale utakapoletewa habari kwamba panyaroad wamemuua mwanao, mke, mzazi.....ukakaa msiba, ukazika na kubaki pengo lisilozibika utawaza tofauti
😑😑😑Dawa ni kuwangoa tu
Na hii kuwangoa ikitumika inaletaga sana majibu
Nakumbuka wakati rpc gewe,enzi za TZR aliwapunguza sana wahalifu
Kwa style hii
We unaona mhalifu kahukumiwa miaka 30 jela miezi 2 katoka,anatokaje jela 'jiulize'
Na akitoka anaendelea na uhalifu
Sasa mtu kama huyo ni kumfanyaje
Ni kumngoa tu
Ova
Labda kama ulikuwa hauishi uswazi ,matukio uswazi yalikuwepo kedekede mm nimeona,nimesikia sanaNajiuliza tuu , hvi Mzee wa Chato aliwezaje kuwadhibiti waarifu wote kwa ujumla na Nchi ikatulia [emoji848][emoji848]