Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Polisi wengi wameelekezwa kukusanya rushwa barabarani, ugumu wa maisha umeingia mpaka kwa wakubwa hawatosheki na mishahara wanategemea rushwa.Tunaomba serikali iwape nguvu Zaid jeshi la polisi na mgambo kwa vifaa na ujuz pia.
Sio rushwa ni michangoPolisi wengi wameelekezwa kukusanya rushwa barabarani ...kama ni ugumu wa maisha upo mpaka kwa wakubwa hawatosheki na mishahara wanategemea rushwa
Sahihi kabisaHawa vijana walizaliwa sawa tuu kama watoto wengine ila kwa wingi wao katika matukio ya uhalifu lazima kuna sehemu sisi tuliowaleta duniani na jamii kwa ujumla tunakosea
Tatizo hao wa kuwapelekea moto wako wapi?Hawa ni wa kuwapelekea moto tu 🤠🤠
Vijana wanajulikana na hawanaga huruma usiombe ukutane nao..Kuna msela huko mbagala kama mwaka Jana walimkata kidole cha mkono akiwa anajaribu kujihami na panga la uso yaani kidole cha mwisho halipo vya kati zimekatwa kaumi ni ulemavu kabisa, kapotwa vitu kibao kama simu na fedha,unaona kabisa ni majangili panga la uso 😥😥😥😥si kutaka kumuua mtu kabisa kwa nn iwe ivi?jamaa wa watu alikuwa mzima kazi haweza kufanya mkono wa kulia una maumivu kwa ndani mda sana anakaa kwao umaskini wa hali ya juu.
Wanakamatwa then utasikia sijui dhamana !!! Hao ni kupiga chuma kuchoma moto kabisa sio binadamu wanakula mavalium, bangi ,ugoro kubust wawe na roho ngumu kwa kweli hao watoto kukamata na kupiga kinyama
Mkuu wa mkoa tambo lote la Jana liko wapi.
Ngoja tu wapate silaha hii nchi kama haijajaa tamu
Ni kweli. Chimbuko la vitendo vya hawa watoto vinaanzia majumbani. Utakuta mtoto wa miaka 12 hajulikani anashinda wapi, analala wapi na anakula nini. Na mzazi hata habari hana, Cha zaidi akionana na mwanae anamuomba na pesa kabisa.Hawa vijana wa kuitwa panyard ni watoto wetu, ndugu zetu, jirani zetu nk
Tusipowathibiti hawa panyaroad tutazalisha kundi haramu kama mungiki
Na natamani hawa vijana wakamatwe kisha watoe taarifa kuhusu mikoa, wilaya, mitaa familia walimotokea, wazazi baba na mama n.k
Hawa vijana walizaliwa sawa tuu kama watoto wengine ila kwa wingi wao katika matukio ya uhalifu lazima kuna sehemu sisi tuliowaleta duniani na jamii kwa ujumla tunakosea
Tuanze kwa kuwatafuta mababa na wamama, wajomba, mashangazi, bibi na babu wa hawa panyaroad tunaweza tukapata chanzo na suluhu ya kudumu.