Hili swala waende wakapate uzoefu kwa mzee wa kiraracha yy anajua walichofanya na mzee mkapa rip kuwamaliza majambazi hasa waliokuwa. Mby rpc akiwa kova au mwema kama sijakosea na rc alikuwa mramba majambazi wa chunya na kila eneo walikimbia hadi leo jombi hajulikani alipo miaka mid 90's hapo hakuna jambazi aalikuwa anakamatwa anapelekwa eti kituo cha polis
Ningekuwa mm ningefanya silent cleaning kama ya oparesheni tokomeza ya jk mpaka leo majangili wamepungua
Sijui hawa viongozi wanafikiria nin,dawa yao ni kuwapoteza tuu nadhan kipindi cha mzee jiwe kilijitokeza hiki kikundi lakn wakimatwa walikuwa wanapotezwa tuuExactly. Kamata, Kichapo, Ua. Kamata, kichapo Ua. Kama alivyofanya Duterte kwa waZungu wa Unga. Mambo kama haya hayataki sijui eti Diplomasia, Hotuba kwenye vyombo vya habari, sijui innocent until proven gulity, sijui haki binadamu. Mtu anapoamua kujitoa akili na ku destabilise amani ya nchi dawa yake ni kumpoteza tu. Amani na Utulivu wa nchi ni muhimu kuliko maisha ya vijana kadhaa waliochoka kuishi. Kill them.
Polisi wetu waliingizwa sana kwenye mambo ya kisiasa hasa kudhibiti wenye Mawazo tofauti na watawala, Walisahau kabisa Kazi yao ya kulinda raia na mali zao!Nahisi kabisa kuna watu, wako nyuma ya kundi la hawa magaidi Lengo lao ni hii nchi isitawalike
Nahisi kabisa kuna watu, wako nyuma ya kundi la hawa magaidi Lengo lao ni hii nchi isitawalike
Tusisahau kuna panya road wa maofisini, hao wanapora mabilioni yetu kwa nguvu huku wakitulazimisha tuwashangilieNahisi kabisa kuna watu, wako nyuma ya kundi la hawa magaidi Lengo lao ni hii nchi isitawalike
Ujangiri kuua tembo umerudi, upigaji kwenye miradi ya serikali, biashara ya madawa ya kulevya, panya road pia wamerudi, tutasikia mengi sana
Kwanini haya matukio ya uhalifu wa mtaani,hujirudia kwa baadhi ya awamu?
Maana sio tu kwa Dar, hata mkoani watu wanalalamika wizi wa mtaani kurudi kwa kasi. Tatizo ni nini???
huwa yanachagua awamu zinazogawanyika kwa mbili bila kubaki desimaliUjangiri kuua tembo umerudi, upigaji kwenye miradi ya serikali, biashara ya madawa ya kulevya, panya road pia wamerudi, tutasikia mengi sana
Hawa ni magaidi ,inatakiwa wauliwe harakaNahisi kabisa kuna watu, wako nyuma ya kundi la hawa magaidi Lengo lao ni hii nchi isitawalike
Kwa inshu ndogo kama hiyo unataka na mungu pia atusaidie kweli huo ni udhaifu wa kiwango cha lamiMungu mkuu hajawahi kushindwa, ataokoa Tu waja wake Kwa namna yake!